"Sitomuibia tena Mwalimu! Najuuta" Bishanga anahusika!

"Sitomuibia tena Mwalimu! Najuuta" Bishanga anahusika!

Judgement.. Una nini na Bishanga..? Kwanza mnamlelesha mtoto c wake.. Leo umekuja kutoa ciri yake nyingine..!
 
Last edited by a moderator:
Rist ya ATM inayoonesha salio 0:00 haikuwemo mkuu?
 
nawapa copy hawa walau wapunguze vilimilimi
1. Nicas Mtei (Mkwe naye anamwonea wivu mkwe wake, loh)
2. Arushaone (sina uhusiano wowote naye yaana hatujuani)
3. Erickb52 (kijana mdogo anataka mambo ya kikubwa, loh)
4. @watu8 ( ni bendara tu kufuata upepo)
5. Bishanga (hayakuhuuuu)
wale mashosti nawamezea kwanza yaani nawaweka kiporo.

Hujambo mkwe? Msalimie mke wangu Luu
 
Bishanga kama ndio hali uliyonayo deni langu utalipaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Sisi walimu, .mbona hatuthaminiwi na makaratasi yetu ...
 
Au ikute kibaka mwenyewe ni Judgement na baada ya wizi ndio vitu alivyovikuta kwenye walet ya Bishanga? Just curious.

Tena usirudie kusema hivyo! Wapigakura wangu wakikusikia, Mhe waliompa "zamana" (dhamana) wewe unamwita Kibaka! Watakugawana viungo!
Usijesema hujaonywa!
 
Last edited by a moderator:
maisha halisi ya mwalimu wa tz..huyo kibaka hajarudisha hiyo wallet kweli?
 
Back
Top Bottom