Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Alikuwa ni chiz na angeweza hata kukudhalilisha.
 

Mapepo yamekuja duniani kunyoosha miguu sasa
 
name kwakweli nimeshangaa sijui akiona hata ya kichaa huko nje inakuwa hivyo hivyo! of course ni kitu cha kustaajabisha lakini si cha kukufanya hadi uweweseke!
 
Baba V...sijuiii...ila let the people around me waseme...sipendi kujisifia....Hahahaha

Wewe baba V usicheze na tofali ni mtoto wa ukweli, unajua kuna wakati namuangaliagaaa afu najiuliza "hivi huyu nae aliumbwa kama wengine" hakuna mfanowe ila we jua ni mvuto!!!
 

Kwa hiyo tatizo ni boro jeusi au?
 
Wajua wakati mwengine mtu unajiuliza, huyu kweli ni binadamu ama ni jini vile alivyo umbika!!!, Lakini mbele na hayo, kutoa AK47, mbele ya muhadhara!!!!!!!, LOOO huyo anaweza sababisha HATARI!!
 
Yaani wewe lazma dunia inakuonea. Nanihii ya kwake, aiweke wazi na still ujisikie vibaya wewe! Ama ulimtamani?

Ndio maana wanasema mkuki mtamu kwa nguruwe. Ngoja na wewe siku moja yakukute
 
Nice Story na tunashukuru sasa members wa MMU tunajua unalo gari japo hatujui la aina gani..dada tofali
 
DEMBA hivi kwani hawa watoto wakishua wanabahati mbaya sana na usafiri wetu?? Manaake kila anaepanda kwa mara ya kwanza lazima ajealalamike
 
Naomba match.
 
ndio mjue tunayokutana nayo kwenye daladala tunazopanda. Its not :A S new: for us wapanda daladala
 
King'asti....nilijisikia vibaya kwaninI aifanye wazi wazi mbele yangu..huo ni udhalilishaji...ile haikuwa sehemu sahihi...kuhusu kumtamani nooo mydia....lol.....

.... King'asti hakutakii mema, je angekumwagia #MajiYaUzima Usoni, si mambo ya kuchafuana burebure na #Najisi hiyo?!
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa ni chiz na angeweza hata kukudhalilisha.

Ndio maana nikaamua nikae kimya...nikanyanyuka kumpisha na sitI yake jibu la mjinga kukaa kimya so atakua aliisoma namba japo kimya kimya...
 

.... King'asti hakutakii mema, je angekumwagia #MajiYaUzima Usoni, si mambo ya kuchafuana burebure na #Najisi hiyo?!

Km ulikuwepo..niliwaza hivi akipizi...atamwaga wapi...dirishani? ? Au chini....au atanimwagia kwakweli kujiepusha nikanyanyuka ili asifike orgasm halafu me ndo niwe mhanga
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…