Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Watu wengine huchangiaji wenu wa hii thread unaniacha hoi Kama sio kunishangaza, it's like school girls/ boys!!
 
Kwa hiyo rangi ikiwa mbaya yenyewe inaendelea kuwa nzuri? Acha hizo wewe.
Kwa mwanamke kumuona uchi mwanaume ambae hana feelings nae actually inakera na kutia kinyaa.
say who? mwanamke anafeeling na mwanaume yeyote yule provided anayo anachotaka mwanamke e.g chakula,malazi,show off,
 
mbona kama una mix mada? Mtoa mada hajasema mbaya ila rangi ndo mbaya!
Nway wanaume wenye tabia hizo please tupeni kule bana! kidogo Dada yetu hapa apate Orgasm, Achen Bhana! sipati picha na mngurumo wa engine plus imaginations kichwani kwa mdada like niliiona wapi hii...inafanya kazi gani vile....???
halafu bi mdada kanichekesha sana kumbe hautubiagi kabisa ndo maana hajui rangi zake!

Babu weee kwani zote ni nyeusi...halafu sababu si kuwa ni nyeusi ndo imenikera No....ni sababu sijavutiwa nae...ukiplus na rangi...ukiplus pale c mazingira halali...hata ingekua nyeupe ningeponda cz hana adabu
 
Hahahah hujawahi kuona bidhaa ikiwa sokoni, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....sasa jamaa wa watu hajui kutongoza but silaha anayo
 
Hahahah hujawahi kuona bidhaa ikiwa sokoni, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....sasa jamaa wa watu hajui kutongoza but silaha anayo

Hahahaha. ..c angemwaga sera
 
sasa kilichokushtua ni nini? Ina maana na wewe pia uliipenda hio kitu only that mazingira hayakuruhusu. Hahahaaa sio tabia njema kutamani waume wa wenzio
Babu weee kwani zote ni nyeusi...halafu sababu si kuwa ni nyeusi ndo imenikera No....ni sababu sijavutiwa nae...ukiplus na rangi...ukiplus pale c mazingira halali...hata ingekua nyeupe ningeponda cz hana adabu
 
Mpwa wangu tofali the way ulivyokuwa umemchukulia from the begining ni wazi kuwa usingempa hata sekunde aseme neno lake to cut the story short akaamua atoe silaha yake ya mwisho akuonyeshe maana tangu umeingia kwenye gari umeangalia nje tuuuu as if na yeye humuoni, hahahaaaaaa just kidding bhana. Pole sana Mpwa, ntakutumia dawa ya kupunguza uzuri jamani
Hahahaha. ..c angemwaga sera
 
Last edited by a moderator:
sasa kilichokushtua ni nini? Ina maana na wewe pia uliipenda hio kitu only that mazingira hayakuruhusu. Hahahaaa sio tabia njema kutamani waume wa wenzio

Mmhhh sijafikia huko..my HUBBY anatosha
 
Yaani wewe lazma dunia inakuonea. Nanihii ya kwake, aiweke wazi na still ujisikie vibaya wewe! Ama ulimtamani?

Wanted to write the same...nahisi ni wale wadada ambao wapo emotional sana
 
Duh mkuu tofali (kwanza nlizaniaga we wa kiume mbe!) pole!

Please tell me kuna siku nyingine ambayo hutaisahau yenye mwisho mzuri.

Nangojea uhadithie hiyo..usisahau kuniita!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee,kumbe hayo mambo yapo kweli? Najisikia vibaya kwa mwanaume mwenzangu kuwa low kiasi hicho.
 
Habari wana jf
siku ambayo kamwe Sitoisahau coz sikutegemea km vitu km hivyo vipo...ila yakanikuta na nikaamini watu tunatofautiana...
Ilikuwa ni siku ya jumamosi natoka zangu nyumbani kwenda posta mida km ya saa nne asubuhi..siku hiyo sikuwa na mood za kuendesha gari kwa kuwa sikuwa na mizunguko just to meet someone na kugeuza....nikapanda daladala ya kivukoni pale kituoni nikachagua sitI ya dirishani...kwa kuwa gari ilikua tupu watu walichagua siti za kukaa ..pembeni yangu akaja kukaa mkaka wa kawaida sanaa...shati kola imetanuuka..hajipendi...sikumfatilia si abiria tu...atashuka km mm ntavyoshuka..safari ikaanza yule kaka jirani yangu akakutana na rafiki yake wamesoma nae wakawa wanapiga story..kwa jinsi story zilivyokua ni kwamba jiran yangu aliishia tu form six wt no direction....I guess na mwenzie ni lawyer au daktari km sijasahau so mambo safi na yuko very mature mpk kuongea na alivyo smart..tukiwa njiani yule daktari/lawyer alipata siti so akaenda kukaa nyuma...HAPO NDO MZIKI ULIPOANZA yule jirani yangu alikua na bahasha ya kubwa ya kakhi..mm sikua najua nini kinaendelea..as nilikua busy kuangalia nje...kumbe katoa uboo wake ana ufikicha (masturbation)....akaniuliza aunt saa ngapi ..nikamjibu saa ....fulani ss wakt na mjibu si nilimgeukia ndo nikakuta kautoa nje kaufunika na bahasha kiasi kwamba mm nauona wengine pembeni walosimama na walokaa pembeni hawauoni....aaarrrgggh nilitamani kupiga kelele nilishtuka...nikahisi naota au..kiukweli I felt bad nikamuuliza Mungu ni nn hichi jamani...nilitamani kulia...yani nikawaza amenichuliaje mpk aanze kumasterbate mbele yangu...halafu alivyogundua nimeuona wala hakushtuka akaendelea..uko njee kabisaaa...nikawa sasa naangalia mtu aliyesimama ili nimpishe aje akae niondokane na ujinga ule..kucheki watu woote wamekaa..aarrrrrgghh sina la kufanya...nna hasira..natamani nimtukane kwann anafanya vile mbele yangu lakini kiukweli mimi si mtu wa kupigizana kelele na watu...ikafika maeneo fulani wakapanda abiria..nikanyanyuka haraka na kumpisha mtu akae me nikaendelea kusimama..akauingiza fasta kwa suruali ili anayekaa asimuone..ila lazima abiria walinotice kitu....kwann huyu dada asimame huenda kaudhiwa....ila kiukweli niliumia saaanaaa siku ile..kwanini.?? Kama ni mavazi sikuvaa vibaya..me napenda nikipanda daladala nivae suruali..ila nikiwa na gari yangu najiachia nitakavyo..siku yangu ilikua ya mawazo..kila nikigeuka..linakuja picha la uboo mweusi hatariiii...kiukweli haukinivutia .niliona km ni mzimu wa shetani..huo wa kudisplaiwa mmhhh....I was seriously affected psychological that day...nikawaza hivi ningekua kwa gari yangu yangenikuta haya.????hivI kumbe dunia ndo imeharibika hivi.....it was a year back.....

ntakuwa wa mwisho kuamini hii story..anyway nakumbuka mwaka jana hata cantalasia alikuja na hadithi kama hii
 
Aisee,kumbe hayo mambo yapo kweli? Najisikia vibaya kwa mwanaume mwenzangu kuwa low kiasi hicho.

Yeah_mimi sio tu najisikia vibaya..najickia aibu kubwa sana kama kuna mwanaume anafanya kweli hayo mambo...pitful so to speak
 
Unaweza kupigana na mwanaume. .au unamrushia vitu

tetetee kwani wanaume wana nini sio wote wenye msuli wa kupigana after all kupigana kwahitaji mbinu na wepesi. hata hivyo ukiamua kuingia vitani kila unachoweza kutumia kumshinda adui tumia iwe frying pan, pasi,kumkaba koo, teke kichwa, mtwangio, CD ni silaha nzuri ila inaweza kuua ukiweza kuitumia vizuri na kwa mbinu, kwa kufundishana adabu usitumie CD Kisu sindano uzi nk.

tusiwaogope hawa watu kwanza siku hizi hawana nguvu wako legelege tu kama walivyokuwa wanatuona sisi zamani. chipsi soseji soda soda mikate imewafanya wewe mdebwedo tu. ukikomaa hata ngumi kwa ngumi uaweza mtoa out cha muhimu ni kujiamini tu. kibao cha uso nawe unampa ngumi ya pua.
 
C nilikuwa mimi,niliutamani mzigo nikaona niupigie nyeto,xa itabidi nikuendee kwa babu ning'oe jumla.utamuu
 
alifanya mapenzi na ww kwa kutumia bluetooth technonology, baada ya kuona kitu yake ime-connect na ya kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom