tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,405
- Thread starter
- #21
Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.
Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
Hahahaha