Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Kujaribu kupigana na mwanaume/mume ni kama vile kuuwasha moto, anaweza akakuulia ndani. Wewe washauri tu wenzako wakati wewe una adabu tosha kwa mumeo. Mke mwema harudishi kibao kwa mumeo.

tetetee kwani wanaume wana nini sio wote wenye msuli wa kupigana after all kupigana kwahitaji mbinu na wepesi. hata hivyo ukiamua kuingia vitani kila unachoweza kutumia kumshinda adui tumia iwe frying pan, pasi,kumkaba koo, teke kichwa, mtwangio, CD ni silaha nzuri ila inaweza kuua ukiweza kuitumia vizuri na kwa mbinu, kwa kufundishana adabu usitumie CD Kisu sindano uzi nk.

tusiwaogope hawa watu kwanza siku hizi hawana nguvu wako legelege tu kama walivyokuwa wanatuona sisi zamani. chipsi soseji soda soda mikate imewafanya wewe mdebwedo tu. ukikomaa hata ngumi kwa ngumi uaweza mtoa out cha muhimu ni kujiamini tu. kibao cha uso nawe unampa ngumi ya pua.
 
pole tofali hata mimi kwa comments zako na id hiyo sikuweza kudhani wewe ni ke , kuanzia leo tegemea pm kibao za wakware wa jf...
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe lazma dunia inakuonea. Nanihii ya kwake, aiweke wazi na still ujisikie vibaya wewe! Ama ulimtamani?

And it was a Year Back...
Leo ameukumbuka Uboho mweusi tii aliouona kwenye Daladala baada ya kuacha gari yake nyumbani.
 
Sidhani Kama una sababu za kuwaza sana kwasabab mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo, inawezekana Ana matatizo ya akili Kama unavyosema hata mavazi yake hayakuwa nadhifu, Nina rafiki yangu niliyesoma nae chuoni amekuwa mentally retarded and he was very bright huwa natamani kulia nikikutana nae, natamani nimrudishie ufahamu wake na bashasha yake! Hali yake inavyosikitisha huwa najiuliza maswali mengi kuhusu mungu na kuamini hata Mimi yanaweza kunikuta maisha yananifanya niwe mpole, learn to be humble, g'day.
Hutokeaga na huwa inauma sana ukiwa na mtu unayemfahamu na kapata kadhia hii...We tofali pole sana yakubidi uwe na gari yako hata kwa mizunguko mifupi
 
Last edited by a moderator:
Babu weee kwani zote ni nyeusi...halafu sababu si kuwa ni nyeusi ndo imenikera No....ni sababu sijavutiwa nae...ukiplus na rangi...ukiplus pale c mazingira halali...hata ingekua nyeupe ningeponda cz hana adabu
life is adventure maam...the situation was also counting as adventure! doesn't it?
 
Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.

Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?

Aisee hapo umenisaidia hata mimi....upo wise sana.be blessed
 
Kuna jamaa aliwahi kusema humu kuwa kuna watu wanatembea lakini walistahili kuwa Mirembe,
nakubaliana naye 100%.
 
.., Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless.

hivi ndivyo ilivyo!
Ah!, ila mama watoto nae anaongea sana, bila vibao vichache anakesha akiongea.
 
ntakuwa wa mwisho kuamini hii story..anyway nakumbuka mwaka jana hata cantalasia alikuja na hadithi kama hii

I swear it upon God...it realy happened to me....je wale wanaodunga pia huamini.??sina sababu ya kupoteza mda wangu kuandika just a story....shit happens
 
Habari wana jf
siku ambayo kamwe Sitoisahau coz sikutegemea km vitu km hivyo vipo...ila yakanikuta na nikaamini watu tunatofautiana.

Ilikuwa ni siku ya jumamosi natoka zangu nyumbani kwenda Posta mida km ya saa nne asubuhi.

Siku hiyo sikuwa na mood za kuendesha gari kwa kuwa sikuwa na mizunguko just to meet someone na kugeuza,nikapanda daladala ya Kivukoni pale kituoni nikachagua siti ya dirishani,kwa kuwa gari ilikua tupu watu walichagua siti za kukaa.

Pembeni yangu akaja kukaa mkaka wa kawaida sana,shati kola imetanuuka,hajipendi...sikumfatilia si abiria tu atashuka kama mimi ntavyoshuka.

Safari ikaanza yule kaka jirani yangu akakutana na rafiki yake wamesoma nae wakawa wanapiga story,kwa jinsi story zilivyokua ni kwamba jiran yangu aliishia tu form six with no direction,I guess na mwenzie ni lawyer au daktari km sijasahau so mambo safi na yuko very mature mpaka kuongea na alivyo smart.

Tukiwa njiani yule daktari/lawyer alipata siti so akaenda kukaa nyuma,HAPO NDO MZIKI ULIPOANZA yule jirani yangu alikua na bahasha ya kubwa ya kakhi.Mimi sikua najua nini kinaendelea as nilikua busy kuangalia nje,kumbe katoa uboo wake ana ufikicha (masturbation)

Akaniuliza aunt saa ngapi?nikamjibu saa fulani sasa wakati na mjibu si nilimgeukia ndo nikakuta kautoa nje kaufunika na bahasha kiasi kwamba mimi nauona wengine pembeni walosimama na walokaa pembeni hawauoni,aaarrrgggh nilitamani kupiga kelele nilishtuka nikahisi naota au.

Kiukweli I felt bad nikamuuliza Mungu ni nn hichi jamani,nilitamani kulia yani nikawaza amenichuliaje mpk aanze kumasterbate mbele yangu.

Halafu alivyogundua nimeuona wala hakushtuka akaendelea uko njee kabisaaa,nikawa sasa naangalia mtu aliyesimama ili nimpishe aje akae niondokane na ujinga ule.

Kucheki watu woote wamekaa..aarrrrrgghh sina la kufanya nna hasira natamani nimtukane kwanini anafanya vile mbele yangu lakini kiukweli mimi si mtu wa kupigizana kelele na watu.

Ikafika maeneo fulani wakapanda abiria,nikanyanyuka haraka na kumpisha mtu akae me nikaendelea kusimama,akauingiza fasta kwa suruali ili anayekaa asimuone ila lazima abiria walinotice kitu kwann huyu dada asimame huenda kaudhiwa.

Ila kiukweli niliumia saaanaaa siku ile..kwanini.?? Kama ni mavazi sikuvaa vibaya,me napenda nikipanda daladala nivae suruali ila nikiwa na gari yangu najiachia nitakavyo,siku yangu ilikua ya mawazo kila nikigeuka inakuja picha la uboo mweusi hatariiii.

Kiukweli haukunivutia,niliona km ni mzimu wa shetani huo wa kudisplaiwa mmhhh.I was seriously affected psychological that day nikawaza hivi ningekua kwa gari yangu yangenikuta haya.?

Hivi kumbe dunia ndo imeharibika hivi,it was a year back.

Mmmmh mbona umeusifia ivo?hujawahi kuuona nini?bwana wako anaokama huo?
 
And it was a Year Back...
Leo ameukumbuka Uboho mweusi tii aliouona kwenye Daladala baada ya kuacha gari yake nyumbani.

Hahahaha....sijaukumbuka uboo bali ujinga wake..how could he.??????
 
Back
Top Bottom