tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
- Thread starter
- #121
Mara kuna watu walikuwa wamesimama mara wote walikuwa wamekaa! Hii story yako pitia utunge upya!
Km hujaelewa shauri yako..kumbuka daladala ina move...kuna watu wana shuka na wengine wanapanda..so lazima itafikia mda watu mmekaa na mtavyozidi kumove either watu wataongezeka au kupungua....tatizo ushazoea mabasi yenu ya....... unasimama mwanzo mwsho hamshuki wala kupanda njiani....