Hili ndio size yake na malumumba wenzie..
Umma wa Watanzania utawaukumu Ccm kukutengeneza mafisadi wanaokuja kupata sala yakitubio Chadema
ingawa mie sie mshabiki wa lowassa ila mwanachama wa cdm, lazima tutambue kuwa dunia tunamoishi ni dynamic. Ndiyo maana wahubiri wakuu ni wachungaji wa kilokole. Mapadre na makasisi wengine kwa sasa hawana mvuto kama hao wachungaji wa kilokole kama akina gwajima et. Al. Kwa nini wana mvuto ni kwa sababu ya uhalisia. Kawaida husema walikuwa walevi, wazinzi, majambazi etc na watu wanawaelewa na kuvutiwa nao. Mwisho wanasema kwa sasa wapo huru ndani ya yesu ambapo sie walevi, wazinzi, majambazi hutaka kuwafuata ili tuwe huru. Kwa mapadre huwezi kuwa mzinzi ukapata upadre hivyo wanaongelea hisia na si uhalisia wa wawahubirio.
Sasa turejee katika siasa, nadhani hakuna mchafu asiyependa kujitakasa. Kama alikuwa fisadi si haki kila wakati kumnyima fursa kwa kuangalia matendo yalopita bali tuangalia matendo yake yajayo (ingawa kuna usemi kuwa once a w.h.o.r.e always malizia.....). Angalia watawala walioingia madarakani wakiwa wasafi kama theluji, hata wabunge mwisho wa mihula yao wanakuwa mafisadi kwa kuiba raslimali za nchi. Pengine (haya ni mawazo yangu) kuwa aliyekuwa fisadi ni bora zaidi ya atakayekuwa fisadi akiingia madarakani kwani hata yeye atakuwa mwoga kuwa nikifanya hili nitajulikana. Hata umma utakuwa macho naye. Maisha ni kujaribu na kuchukua risk.
Ukisusa wenzako wala yakheee. Basi hamishia hasira zako kwenye magazeti ya Shigongo kama UWAZI, KIU, IJUMAA, JUMATANO, RISASI...ETCLeo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Lakini badala yake nimekutana na habari nyingi zinazoonesha kusifia na kutetea uamuzi wa fisadi huyo kuingia CHADEMA.
Nilikuwa naliamini gazeti hili kama nilivyokuwa naiamini CHADEMA katika mapambano dhidi ya ufisadi. Sasa kuanzia leo sitanunua wala kusoma tena gazeti hili.
Siku fisadi alipopokelewa CHADEMA nilichana kadi yangu ya uanachama na kuitumbukiza chooni! Sitaki kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea hivi sasa ndani ya upinzani.
Leo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.

Mimi nilikua nalisoma sana siku nilipoligundua nilichoma yote na sinunui tena'Yaani ni bora hata Tanzania Daima.TARATIIBU watu watamuelewa ZITTO.MBOWE is a very gr8t political entrepreneur........
Unafiki! Unafiki! Unafiki!
Ni kweli,sasa hivi watu Wanaanza Kumuelewa ZITTO KABWE.
Leo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Lakini badala yake nimekutana na habari nyingi zinazoonesha kusifia na kutetea uamuzi wa fisadi huyo kuingia CHADEMA.
Nilikuwa naliamini gazeti hili kama nilivyokuwa naiamini CHADEMA katika mapambano dhidi ya ufisadi. Sasa kuanzia leo sitanunua wala kusoma tena gazeti hili.
Siku fisadi alipopokelewa CHADEMA nilichana kadi yangu ya uanachama na kuitumbukiza chooni! Sitaki kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea hivi sasa ndani ya upinzani.
Ha ha ha haaaaaa hii nimeipenda sana mkuu.