moses anania
New Member
- Jul 28, 2015
- 1
- 0
hata mm nimesikitishwa sana na kubenea
Wewe ndiye pumbavu sasaWewe ni mpumbavu. Lowasa amesasema suala la ufisadi ni ngazi za juu ndizo zilihusika na ndio maana yeye akajiuzulu. Anekuwa na makosa angafikishwa mahakamani, jambo ambalo tangu 2008 halijafanyika. Ni nini usichoelewa? mpumbavu ukimtwanga kweye kinu upumbavu wake hauwezi kumtoka. Tumshukuru Mungu Lowasa amejiunga UKAWA; Atasaidia sasa kuufumua mfumo wa ufisadi ulioko CCM kwa miaka mingi. Usipoteze kura yako. Mpe Lowasa, UKAWA watupe katiba nzuri KWA AJILI YA MAENDELEO NA UTAWALA BORA WA TAIFA LETU. LOWASA HOYEEEEEE!
Leo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Lakini badala yake nimekutana na habari nyingi zinazoonesha kusifia na kutetea uamuzi wa fisadi huyo kuingia CHADEMA.
Nilikuwa naliamini gazeti hili kama nilivyokuwa naiamini CHADEMA katika mapambano dhidi ya ufisadi. Sasa kuanzia leo sitanunua wala kusoma tena gazeti hili.
Siku fisadi alipopokelewa CHADEMA nilichana kadi yangu ya uanachama na kuitumbukiza chooni! Sitaki kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea hivi sasa ndani ya upinzani.

Kaka uko sahihi 100 kwa 100.Wafuasi wa lowasa hawana tofauti na wafuasi wa kibwetele ipo siku wataungua na chadema yao,ila lowasa atabaki mzima na kirejea zake ccm salama
Leo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Lakini badala yake nimekutana na habari nyingi zinazoonesha kusifia na kutetea uamuzi wa fisadi huyo kuingia CHADEMA.
Nilikuwa naliamini gazeti hili kama nilivyokuwa naiamini CHADEMA katika mapambano dhidi ya ufisadi. Sasa kuanzia leo sitanunua wala kusoma tena gazeti hili.
Siku fisadi alipopokelewa CHADEMA nilichana kadi yangu ya uanachama na kuitumbukiza chooni! Sitaki kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea hivi sasa ndani ya upinzani.
Soma UHURU/MZALENDO,DAILY/SUNDAY NEWS. TAZAMA, sikiliza TBC FM, UHURU FM, angalia TBC, Star tvLeo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na CHADEMA kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA.