SOLOMO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 267
- 81
MzeePunch
Kwanini unavua nguo zako ndani ya jf! Hakuna asiyetambua maovu yaliyofanywa na CCM wakati wa Uongozi wa ENL! Kubwa hapa ni kupata wafuasi zaidi tukielekea uchaguzi mkuu. Sasa wote tukiungana na wewe kuchana kadi (dhahabu) ya cdm, kazi ya kuikomboa TZ tunamwachia nani!? Kuwa mwelewa ndg yangu! Shubiri ni chungu lkn tumeinywa ili tupone sisi na vizazi vyetu. Hata wewe ni shahidi, adui ya watz siyo mafisadi bali ni mfumo wa ccm. ENL hatakuwa na ubavu wa kuendesha nchi anavyotaka yeye. Ataongoza kwa sera murua za UKAWA. Lengo hapa ni kuing'oa ccm na siyo kuishi na visasi. Adui anapotekwa vitani huwa hauawi! Hutumiwa kama nyenzo nzuri ya kumshinda adui! Tafakari iwapo UKAWA itapata kura za watu milioni 2 kutokana na ujio wa ENL, hiyo si achievement kubwa kwako na makamanda wengine. Soma mfano wa shubiri hapo juu kisha fanya uamuzi sahihi!

Last edited by a moderator: