Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,871
Endelea kuamini kama wafuasi wa Kibwetele.Ndio usisome, wengine tutasoma. Hata CHADEMA hatutaki uiamini. Sisi tutaendelea kuiamini, na tunamuunga mkono mgombea wetu Lowassa. Siyo watu mnakuja na propaganda za upuuzi kutoka CCM, halafu mnajidai ni wapenzi wa CHADEMA. Tumeshawagundua