Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,064
- 3,633
kwa wale waliobakwa tuwaweke kundi gani.... wanaume bana ni wanyama tu hamna heri
umeenda mbali sana
kwa wale waliobakwa tuwaweke kundi gani.... wanaume bana ni wanyama tu hamna heri
umeenda mbali sana
Akamwuliza; Tized! unaona nini?..... ''Naona watu kama miti inakwenda''
Naomba nipewe jukumu la kumfanyia ukaguzi huyu lara 1...
Hahahaaaa! Mnaweza kumuua mtu na presha na mada zenu hizi! Looooh!
kwa wale waliobakwa tuwaweke kundi gani.... wanaume bana ni wanyama tu hamna heri
We jishaue kama nyanya mbichi! Mtu mzima HOVYOOOOOO!miss chagga, hata mimi?? #kumbuka-vyema
Heri hata umtaje FaizaFoxy anaendana vyema na maelezo yako.
NB: Kuna tofauti kubwa ya 'much-know' na 'kujiamini' #no-offence !
SIX PACKS, HANDSOME, CHOCOLATE COLOR, BIG BULGE PACKAGE BTN THE LEGS, ANIKAGUAGE TUUUUU! Kwani nimebishaaaaaaaa! Kwani nimebishaaaaaaaa! Anikaguage tu mwayego mi mnyonge nitafanya nini sasa?watu8 anataka akukague najua ubavu wa kupinga huna lol
Kuna hadithi moja ya mwanaume aliyewahi kubaka ila yeye ndo akatolewa bikra..chezea sugu wewe?
Khaaaaa....huu utafiti mbona kama upo kinyume? Mi nlidhani wale ambao hawajiamini ndo wanajitunza ili walau awe na sifa angalau ya kuwa mtulivu....