Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

hhaha! mzabzab wewe nawe ila ukweli mie uwa unaniparaha lol!

ila na wewe wanipa raha swity...ila kusema kweli huyu kijana naomba u-consider maneno yake maana kweli bidada ata mie wanipagawisha na mastory yako ya kukojoleshwa lol
 
Mentor kaa kushoto
watu tupo kazini hapa!kaa kipande ile,btw gwin anakuita mkacheze mpira mguu ushakuwa poa!

Nami nalog off...

I've missed you too my dearest sister..wa ukweli yani!!!

Mungu akutangulie jamani tuonane mwakani tena, i'd love to see u soon!!!
 
Ngoja tumsubiri Billie aje atupe feedback ya yaliyojiri huko kunakoitwa PM maana huko muafaka utatolewa na hapa hatutoki hadi tuujue mwisho wake.
 
Kah kwani kukaa na nge kwapani mi napenda! Yanini maumivu ya kujitakia wakati kuna ndoo kubwa kichwani na vidumu viwili mikononi!

ahahahahhahahhahahhahahahhahahahhahhahahha watu we'weheee !
wapi evelyne salt
 
Last edited by a moderator:
babu DC umekutana nae pande za wapi?
na ye ananisalimia salimia kwa C/O hivi ndo nini si afunguke tuu ka mwenzie ahhahahahhhahhahhahahhaha
shikamoo Dark City


Eti nini??

Mzima wewe snowhite??

Mie mzima wa afya, naendelea kuguguna pension yangu...

Nakutakia heri ya mwaka mpya wa 2013......ukuletee mapacha wazuri wa kike...niongeze wajukuu na vitukuu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Eti nini??

Mzima wewe snowhite??

Mie mzima wa afya, naendelea kuguguna pension yangu...

Nakutakia heri ya mwaka mpya wa 2013......ukuletee mapacha wazuri wa kike...niongeze wajukuu na vitukuu!!

Babu DC!!
ahahahhahahaha babu mi nilikuwa natania!ni watu8 huyo ndo ameniandikia hapo juu!
AHSANTE KWA BARAKA BABU NA WE UBARIKIWE SANA!wajukuu waje mapacha mbona nitafurahi!si wajua sijalea siku nyingi!mjukuu wako mdogo(sio wa mwisho )ana miaka 8,imagine!
 
Last edited by a moderator:
sioni aliyenisaidia kumbembereza gfsonwin wangu ili nipate kuonana n
ae au hata phone number yake.Labda nimuite Kimbweka Boflo Smile manoah,@figaniga Tutor, Mazabzab mgegedaji na wengine kibao.
Billie huangalii upepo bana?
Kuna wadada kibao wanaingojea walau salamua yako wachangamkie zabuni;
Wewe bado wanangaika na gfsonwin.Kakafungua macho uone na hususani umuone Evelyn Salt ;
Yupo hapo nje anataabika qa ajili yako.
Anasubiri kauli yako tu. Ukishindwa kauli basi hata kope.

Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha sound na jamvi zima tena mtongoza anasaidiwa na mashostito ,kweli hii vita ni ngumu kwa bibie gfsonwin

aaah! wapppyyyyyyyyyyyyyyy

imeandikwa hivi ukiona unazimia siku ya taabu ujue nguvu zako ni chache. sasa mm bado kabisa nguvu ninazo.
 
Back
Top Bottom