Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Thats byutful...dazain inaitia huruma!..daah dats hw love z!..ongera kwa kufunguka tena hadharan!..wengne 2ngekufa na ye2 moyon!...let me pray 4 u!..op bidada ataelewa2
 
nimekuja jamani mwambie Billie nashkutu sana kwa kunipenda lol!

hahahaha kuna wimbo waliimba "kupendwa ndio huku kupendwa kuheshimiwa..." endelea kuimba gfsonwin, raha ilioje

ngoja na mimi nije kumwaga la moyoni lishanielemeaaa bado kidogo linidondoshe...
 
Mi nipo mbona nimeelemewa na penzi zito hadi nashindwa kureply comments zenu.Ila nashukuru kwa msaada wenu.

Billie relax kuna kitu cha white party we uzuke tu utaonana na ticha.
Tena jipangilie kisawasawa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kama Hiki Chuma Hakina Mwenyewe Tafadhari!! Naomba Ukamatie Na Ukiweke Ndani kwani Ni Bonge Moja La Mtu Ninae Mwaminia
Hana Makuu,Mstaarabu Vilevile Ni Mwelewa...Sijui Nimwelezeje Kwa Kweli
Ila Naomba Ufanye Kweli Sio Unaishia Kupayuka Tu Hapa Bila Maana Yoyote!

Mapatano Mema Huko Kwenye PM!
 
BAK thanks for that, but wewe mwenyewe si unajua?? mtafutie wimbo mzuri wa contry music wowote ule uburudishe jamani. pia mwambie Billie asjali kuhusu kuonanan na mie. siku ya white party tutakayoifanya hapa dar aje tu tutanana na kucheza mziki na kama kawa lol!

Siku Ikifika Nami Unistue Tafadhari Mwalimu!!!
 
Last edited by a moderator:
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

Kwa jibu ulilompa mbona hata mimi nimekupenda ghafla. Kwa ushauri wangu ungempa nafasi uonane naye mufahamiane (kama bado anataka). msimamo wako umeuweka wazi kwa hiyo hakutakuwa na shida. Poa.
 
aaa wapi mi nikikutaka wewe sekunde 0 nakamatia mic.
Sasa kwani uongo si rafiki yako yule????
Keleuwiiiiii!! Nafwa mieeeeeeee!

Hebu kam zis wei kwanza nikuombe kitu flani....:confused2::confused2::confused2::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
mwali mbona kama unabembeleza !ndo yametokeamo haya nikiwa sipo humu karibu saa nzima !uuuwih! Bazazi ulikuwa wapi?

mwali nimebembeleza sasa?? nikiweka zile tungo kama za baba klein ingekuwaje??

apa niliona kama kijana anataka kupanda kwa povu sasa asijejiaribia siku tena na ivi anakaa ukonga ni FFU ukaskia usiku kajipiga risasi bureeeeeeeeeeee. stak mada kesi mie.
 
hii siledi ukichangia tu unapata likes za bure, anyways mi sichangii about hao wanaopendana coz ni billateral agreements by the way mi na shida na likes zenu tu wanamkeka
 
Back
Top Bottom