Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 211
nirudi pm kufanya nn??
Uje ufunge huu uzi!
nirudi pm kufanya nn??
aaah! wapppyyyyyyyyyyyyyyy
imeandikwa hivi ukiona unazimia siku ya taabu ujue nguvu zako ni chache. sasa mm bado kabisa nguvu ninazo.
Kwani kazibwa pua jamani??? Subirini arudi toka huko PM
Akah mambo ya kuhesabu kalenda kwani twasubiri mshahara kwa kanjubahi hapa!
Billie huangalii upepo bana?Kuna wadada kibao wanaingojea walau salamua yako wachangamkie zabuni;
Wewe bado wanangaika na gfsonwin.Kakafungua macho uone na hususani umuone Evelyn Salt ;
Yupo hapo nje anataabika qa ajili yako.
Anasubiri kauli yako tu. Ukishindwa kauli basi hata kope.
Bazazi!
kumbe bado una nguvu?
billie naona amekimbia ,hata anapoishi kashindwa kutaja.
snowhite wapi wewe kungwi wako bado ananguvu huku ,njoo umsaidie billie
yaani hao makuwadi ndo kabisaa, hawaniwez bora tena na mwenye feelings naweza kuongea nae.
yule ne aliniletea shombo,
hivi sijui watu huwa wanakili gani?? wewe umkute mwanamke mahali na marafiki zake halafu bado uingie ndani eti unamtaka?? yaani yule alinipa hasira ya mwaka kidogo niaribie siku pale.
Blaine u mdogo sana lkn una akili ya maisha, nakupenda sana. nimekoma sasa nitaacha kuvaa vigaun niwe navaa suruali
sidhani kama tatizo ni gauni ,i think tatizo ni point zako kwenye ujengaji wa hoja wenye mrengo wa kushoto kama akuitavyo ciello na namna ulivyoishika hiyo gauni na mkono wa kushoto hapo kwenye avatar.
off topic; swali la kizushi hiyo picha nimewahi kukutana nayo kama profile picture ya mtu fb ,ni wewe kule?
i think there is much pressure for billie to hold ,si unaona hata anapoishi kashindwa kutaja......anyway jaribu hata kumpa nafasi akuone tu kama anataka ila kama ni mimi nisingeweza bora nibaki nakuonea humu humu jamvini
ha ha ha ha! hujanijibu ujue ,hebu ni pm jibu km ni ngumu kuliweka hapa hadharani.akya mbuzi binadam mna mambo.
msikilize lakini na yeye anaapendeleaje,,,,,,kama ni kufa na tai shingoni poa tu ,,,kama anataka akuone ila aishi akisononeka muda mrefu sawa tu. ni chaguo lake.na ni bora asinione manake ataendelea kuumiza nafsi yake.
relax Billie