Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

kupotea kwangu MMU kulikua si kwa bure...mwenzio nilienda kurenew tamu ya mapenzi na mahaba kutoka fukwe za Jiji la Mahaba Tanga kunani pale....
halafu Watu 8 nazidi kukutizama tu hapa sasa wewe endelea. kwanza ngoja nimwite KakaKiiza aje akupe makavu.
hupaswi kabisa kwenda eneo ambalo dada yako anasomeshwa sawa??
 
Last edited by a moderator:
nakuja kwako sasa hivi nikifika mbez sekondar nakupigia sm huwez kunipa tabu mie lol!

ahahahhahahahhahahhahah mwali mwenye nacho huongezewa humsikii evelyn slat hapo anasema

we jiachie tu humu kwa raha zako mwali wangu
af wala sipo home mpenzi unafikir hii jeuri ya umeme ningeipata wapi muda wote huu
nipo job
nikiwa narudi nitakustua
 
ahahahhahahahhahahhahah mwali mwenye nacho huongezewa humsikii evelyn slat hapo anasema

we jiachie tu humu kwa raha zako mwali wangu
af wala sipo home mpenzi unafikir hii jeuri ya umeme ningeipata wapi muda wote huu
nipo job
nikiwa narudi nitakustua

khaaa! nie mnautan na Senior sinister's wa humu sasa ngoja lara 1 aje utamkoma mie sina
 
Last edited by a moderator:
Asprin hii ndo kusema huna la kuchangia au!
umekaukamo tu huko!
 
Last edited by a moderator:
ulichopewa na mungu bureeeee kumnyima mwenzio dhambi.
Vya kuonja vinanoga asikuambie mtu.
Ila nakumbuka siku ile mwananyamal ulivyomtoa baru yule baba kha ukamtishia kumfumua rinda

yule ne aliniletea shombo,
hivi sijui watu huwa wanakili gani?? wewe umkute mwanamke mahali na marafiki zake halafu bado uingie ndani eti unamtaka?? yaani yule alinipa hasira ya mwaka kidogo niaribie siku pale.
 
Billie sasa mbona hueendelei kusongesha banaaa!
sie tupo ujue kukupa taf,af we unanyamaza namna hiyo vibaya hvo
 
Last edited by a moderator:
staki kuongea na ww kwanza. mbona umeingia huku?

halafu najua unajua ulivyo wa thamani kwangu, na wajua nikupendavyo mdogo wangu.
nime kumiss sana. Mentor nakupenda sana my dearest broda.
nephews wazima kabisa ila gwin kaongeza utundu mara mbili.


Jaamani kwani nmekosea nini mimi?

Hehehe...ndo kapona sasa mwache afidie muda aliokuwa mgonjwa! hope to see u soon....
 
yule ne aliniletea shombo,
hivi sijui watu huwa wanakili gani?? wewe umkute mwanamke mahali na marafiki zake halafu bado uingie ndani eti unamtaka?? yaani yule alinipa hasira ya mwaka kidogo niaribie siku pale.
na we umezidi kuogea asali!
shurti wakikugusa wananata!
ahahahhahahhahahhahah utajibeba!
 
bora umekuja kaka yangu wa moyoni hebu sema na Billie anielewe?? mwambie wewe nafkiri atakuskia zaidi.

My dear gfsonwin! Nimemsoma Billie na nilichogundua ni mtata tu anajaribu maji ya mto kwa mguu badala ya kijiti.
Watata ni kuachana nao!

Bazazi!

​
 
Last edited by a moderator:
Jaamani kwani nmekosea nini mimi?

Hehehe...ndo kapona sasa mwache afidie muda aliokuwa mgonjwa! hope to see u soon....
Mentor huwez kuingia eneo kaa ili hata kidogo.

sasa tuonane soon jan nimekumiss sana sana mdogo wangu mpenzi kuliko wote.
 
Last edited by a moderator:
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

what a heart touching reply
 
Back
Top Bottom