Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Mentor kaa kushoto
watu tupo kazini hapa!kaa kipande ile,btw gwin anakuita mkacheze mpira mguu ushakuwa poa!
 
Last edited by a moderator:
Billie sasa mbona hueendelei kusongesha banaaa!
sie tupo ujue kukupa taf,af we unanyamaza namna hiyo vibaya hvo

Usikute keshaajitundika shemeji... Unajuwa HAPANA ulipotegemea ndiyo inamachungu yake...Pengine Billie kazimia akizinduka atakuja hapa atupe muelekeo...
 
Last edited by a moderator:
JF kiboko!

watu wanadondosha mioyo juu kwa juu.

btw, niwatakie wote heri ya mwaka mpya, machukizo ya 2012 yabaki huko huko, memo ya 2012 mwende nayo 2013.

wakatabahu
 
na we umezidi kuogea asali!
shurti wakikugusa wananata!
ahahahhahahhahahhahah utajibeba!

naanza kubadili sauti na aina ya maongezi.
simtii tena mtu moyo, wala kunyenyekea wala nn. nakuwa uso wa mbuzi
 
ahahahahhahahhahahahhahahhahahah
chezeya habar ya mfonzo!
mambo ya kuelezea mfededdo wazi wazi pata ona bado!
ahahahahahahha
kungwi lang8u silipatii picha linavong'ata kucha!
uuuuwih!
hebu cacico nipatie dompo nishushie hii habari ya shosti yetu wa ukweli kutongoza wazi wazi hivi!
BTW nimemisije hili neno kutongozwa!
ahahahahahahhahahha kweli leo ni tarehe 31/12/.

Haya mwaya maana komenti zk hata km nilikua msibani lazima nitabasamu tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

hongera kwa kuwa "open" mwalimu ana busara sana naamini atakufikiria, usikate tamaa na endelea kukazana na kuvuta subira pia! usisahau kumwomba MUNGU. Teh.teh
 
Haya mwaya maana komenti zk hata km nilikua msibani lazima nitabasamu tu.

sa na we si unianzishie thread!ahahahhahahahhahahahhahah furaha yangu kama nakupa tabasamu kwa post zangu
BARIKIWA SANA!mwaya na mwaka mupya mwema!
 
Usikute keshaajitundika shemeji... Unajuwa HAPANA ulipotegemea ndiyo inamachungu yake...Pengine Billie kazimia akizinduka atakuja hapa atupe muelekeo...

shemeji lau!
walahi leo kungwi wangu kapatikaa.......kapatikana!
 
mbavu sinaaaaaaaaaaa! huyu ndo wale wale dada unaitwa chemba dogo anakuja kuskiliza.

si ndio hapo!
kuna mdogo wangu mmoja aliwahi kuficha viatu vya shemlo wako!eti ili ashindwe kuondoka akutwe home!
ahahhahahhahah nilibembelezaaaaje!usinipimie masharti niliyopewa ili asiseme!sasa ndo Mentor huyo anataka kuleta za aina hiyo hapa! akacehze na kila klein huko!
 
Last edited by a moderator:
Mambo pokea zangu salamu pia naomba hata namba yako ya simu please sitakusumbua nitaitumia pale tu hali ya kukumbuka hata hivyo nipo tayari kuzingatia vigezo na masharti yako mpendwa.
Billie ww unaish wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom