Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

sa na we si unianzishie thread!ahahahhahahahhahahahhahah furaha yangu kama nakupa tabasamu kwa post zangu
BARIKIWA SANA!mwaya na mwaka mupya mwema!

Coming soon! Huu mwaka namuachia Billie ayatoe ya moyoni huku yangu yakiendelea kufurukuta ka pombe iliyochacha.
 
si ndio hapo!
kuna mdogo wangu mmoja aliwahi kuficha viatu vya shemlo wako!eti ili ashindwe kuondoka akutwe home!
ahahhahahhahah nilibembelezaaaaje!usinipimie masharti niliyopewa ili asiseme!sasa ndo Mentor huyo anataka kuleta za aina hiyo hapa! akacehze na kila klein huko!

bora umwambie haaaaaaaaa! mtoto anataka kuniletea balaa huyu.
 
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

Hahahaaaa hadi nafasi ya kidumu imejaa ticha??? Billie huu mwaka wako.
 
nyie mwaniogopa bure tuu....tena mngekuwa close mbona mgekuwa mwapata raha tuu
 
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.
we unapenda wabibi kumbe
 
Last edited by a moderator:
af ubaya sio billie alivokukamata ni vile watu tunavoshabikia ukamatike!

walosemaga wapambe wana nguvu kuliko mwenye mali hawakukosea.

yaani mtu mmoja anasaidiwa mtongozo na watu elfu?? hakya mbuzi tena sijui Billie kawaonga nn.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom