min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,275
- 167,441
Kichaga ng'ombe akiwa heat , tunasema anatafuta maziwa😅Kama hataki kulomba, hataki na nyeto. Huyu cjui tumuweke kundi gan
Kichaga ng'ombe akiwa heat , tunasema anatafuta maziwa😅Kama hataki kulomba, hataki na nyeto. Huyu cjui tumuweke kundi gan
Utakwea mnazi mpaka mnazi ukuzoee kummamakezakositaki mawazo ya kuwazawaza najipenda tu mwenyewe
Kwahy huyu jamaa anataka nn?Kichaga ng'ombe akiwa heat , tunasema anatafuta maziwa😅
Sasa kama anadai humu yeye ni bikra na wengi humu wanawinda bikra , hapo mbona jibu lipo wazi bwasheeKwahy huyu jamaa anataka nn?
Ukipat izo hela nenda mombasa🤣🤣🤣 Kapigwa na kitu kizito
Nilipo soma heading nilidhan huoi yule msemaji.sitaki kupenda niumizwe,sipendi ngono,natafuta hela sitaki mawazo ya kuwazawaza najipenda tu mwenyewe. maana nilizaliwe mwenyewe nanitakufa mwenyewe.siamini kupitia mapenzi naamini kupitia pesa.
Kupitia mapenzi ya baba na mama yako wewe ulizaliwa...watu wote tukiwa na mawazo mabaya kama yako dunia itabaki utupu...sitaki kupenda niumizwe,sipendi ngono,natafuta hela sitaki mawazo ya kuwazawaza najipenda tu mwenyewe. maana nilizaliwe mwenyewe nanitakufa mwenyewe.siamini kupitia mapenzi naamini kupitia pesa.
YeahNani, Selina tikili?
JF VAR CHECK
Labda, kuna kipindi alisema atajinyonga! sasa sijui kafikia wapi!Yeah
Vijana wa humu wanahitaji msaada mkubwa!