Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Huyu amewahi kuleta mada pia inayofanana kila kitu na hii iliyoanzishwa leo, na aina ya uandishi ni ile ile.

Nyuzi kama hizi siyo za kupandishwa jukwaani, sijajua moderators hili wanalichukuliaje.
 
Huyu amewahi kuleta mada pia inayofanana kila kitu na hii iliyoanzishwa leo, na aina ya uandishi ni ile ile.

Nyuzi kama hizi siyo za kupandishwa jukwaani, sijajua moderators hili wanalichukuliaje.
Anabadili tu user name,
JF imekua kama dampo siku hizi,
Kila takataka inakuja kutupiwa humu tu,
Mod's wasipochukua hatua za haraka,hii forums itajaa hawa kina upinde.
 
Sitaki kupenda nikaishia kuumizwa

Sipendi ngono, natafuta hela. Sitaki mawazo ya kuwazawaza, najipenda mwenyewe tu

Maana nilizaliwa mwenyewe na nitakufa mwenyewe. Siamini kupitia mapenzi, naamini kupitia pesa
Huwezi kujipenda mwenyewe Bali unaweza kujijali tu anyway usio Kwa sababu unampenda mwanamke tafuta mke mnaeweza zungumza lugha moja hapa naamanisha mawasiliano mazuri.
 
Huyu nae limemkuta huko. Kaa kwa kutulia achana na viapo.

Nakumbuka mim huyu nilikua mmoja kati ya wanaume waliokua wakipepelusha bendela ya hakuna kuoa single maza lakin saiv nina mke mwenye watoto watatu na kila mtot ana baba ake. Sjabahatika kuzaa nae ila nampenda
Dah mkuu uko vizuri unaanza game uko nyuma goli tatu, utaweza kuchomoa kweli 🤔
 
Sitaki kupenda nikaishia kuumizwa

Sipendi ngono, natafuta hela. Sitaki mawazo ya kuwazawaza, najipenda mwenyewe tu

Maana nilizaliwa mwenyewe na nitakufa mwenyewe. Siamini kupitia mapenzi, naamini kupitia pesa
pole mkuu wadogo zake Seran wamekufanya nini?

Ila kumbuka kuna NDOA na kuwa WAPENZI.

japo kwenye NDOA kuna MAPENZI
 
Lakini kulingana na jinsia ya wanadamu kanuni ni ama Kuoa au Kuolewa..
Sasa ukisema huoi unaingia kwenye kanuni ipi na wewe ukiwa ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom