Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Navutiwa sana na nyeto najisevia tuh sitaki ngono na sitamani mapenzi na sivutiwi na wadada
Au ungesema kuwa wewe ni muoga wa kutongoza wanawake kwasababu hauna resources za kuback-up maongezi yako baada ya kuwatongoza.

Mfano,kwa bando la shilingi 500. Unaweza ingia online ukadownload video za utamu ukajichukulia sheria mkononi na kupata raha zako. Hao unaowanyetukia ni wanawake pia.

So shida sio kwamba haupendi wanawake ila hauna uwezo wa kuanzisha mahusiano serious yenye commitment.

Wewe na wanawake kuungana kwenu hakuishii kwenye ngono tu kitandani ila kuna mambo mengi. Mapenzi ya kitandani ni kama 15% ya shughuli za ndoa. So Nadhani unatakiwa kujitafakari.
 
Back
Top Bottom