Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

sitaki kupenda niumizwe,sipendi ngono,natafuta hela sitaki mawazo ya kuwazawaza najipenda tu mwenyewe. maana nilizaliwe mwenyewe nanitakufa mwenyewe.siamini kupitia mapenzi naamini kupitia pesa.
Utakuwa shoga Mkuu, usipooa kinyume chake ni kuolewa, pesa hazina mwisho kutafuta hakuishi, halafu kuumizwa kuko pale pale uwe umeoa au haujaoa, utasalitiwa na rafiki zako, mwezi wa tatu hapa tumezika jamaa mmoja ambaye alichomwa kisu na rafiki yake ambaye amemsaidia kimaisha kisa wivu wa maendeleo.

Kama hupendi ngono haujakamilika, ngono wanyama wenyewe wanapenda iweje wewe binadamu useme eti hupendi tafakari chukua hatua
 
Ni punguani mtu yeyote anayedhani Msingi pekee na wa kwanza katika ndoa ni Mapenzi. Kaa pembeni tuu, haya mambo huyawezi.
 
Back
Top Bottom