Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Daah mzala pole sana aisee hata wewe hauzitaki hizi pisi aisee hamjui kuwa haya ndio maua yetu...
 
Unajifaragua lakin kimsingi mwanamke hana mbadala

Kuna wakat utafika utachoka kununua au kuwa unabadilisha wanawake, utatamani uwe na familia yako

Mimi pia nilikuwa na mtazamo kama wako.
ingawaje bado sijaoa. ila usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
MaQu haina mbadala wake. Utanyetuka weeeeh lakini itafika wakati utahitaji Chiu wa mwanamke, ni suala la muda tu. Vinginevyo labda uwe haudindishi kbs!
 
Matatizo ya wazazi kudekeza watoto kupita kiasi ndo haya, Mtu anashindwa kukabiliana na changamoto ndogo ndogo za kihisia, anataka kila kitu kiende vile anataka yeye kwavile wazazi wake walimzoesha hivo.
Stay strong my brother kulia lia waachie upande wa pili jinsia yao inaruhusu
 
Maisha ni yako na maamuzi ni yako,
Wala hukua na haja ya kutuambia juu ya maamuzi ya maisha yako,

Huu uzi ni dalili ya kua hujiamini kwa maamuzi yako uliyo yachukua,
Hapa unatafuta tu Public validation au Public approval rather than from within.
 
Maisha ni yako na maamuzi ni yako,
Wala hukua na haja ya kutuambia juu ya maamuzi ya maisha yako,

Huu uzi ni dalili ya kua hujiamini kwa maamuzi yako uliyo yachukua,
Hapa unatafuta Public validation au Public approval rather than from within.
Kuna I'd ya yule dogo aliye dai anavutiwa na wanaume ana sound kama huyu🤔
 
Back
Top Bottom