Sitaki tena Sipendi: Viongozi Vijana Wasio na Misimamo Wakiwa na Madaraka...

View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!
Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"
Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo. Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!

Mkuu'
"Upako Kutoka Kuzimu" ukiisha lazima akili zao ziwarudie na dhamiri zao ziwasute tu!!
 
Ulikuwa mkemea maovu, mwenye kuona maovu ya watu madarakani, strange enough huoni maovu ya Jiwe, huoni mauaji yanayoendelea nchini, huoni ubovu wa mahakama zetu, huoni maonevu ya upinzani......... haya zamani ulikuwa unayaona kwa jicho lenye reasoning ya hali ya juu! Leo kila kitu ni chema.
Unsahau kuwe wewe ni mmoja wapo wa watu waliokuwa na hekima Jf, siyo leo! Dhamira yako siyo ya kweli anapokuja Jiwe!
MMM ameathiriwa na ukabila kwa kiwango cha kutisha mno !
 
mwanakijiji ningeomba unijibu haya machache usiyaruke.

kwanza natanguliza kwamba wanasiasa wote ni waongo na hubadirika kwa kupima upepo. kuongea kwa ukali au upole sana wa JPM sio kipimo cha kusimamia misimamo.

alipokua pemba alimsema rais karume kwamba ni rais wa ajabu kwa kuteua wapinzani katika serikali yake na yeye akajiapiza kamwe haji kufanya hivyo!! siku chache baadaye akawateua kibao mmoja wao mkuu wa mkoa mama Anna Mgwila.

wakati anaingia madarakan mbele ya marais wastaafu alisifia mchakato wa katiba na akaahidi kuuendeleza na alisisitiza mchakato umekula hela nyingi lazma ufikie hatima yake .
je bado msimamo wake ni huo huo?? nadhani unaujua msimamo wake mpya!!

alipokua arusha alisema aliikuta sukari ikiwa bei ni elfu 5 yeye ndio kaishusha kuifikisha 2500 au 3000. je ni kweli si yeye huyo na maamuz yake ya kuzuia sukari kuingia toka nje??

ukiondoa siasa najua unajua utendaji wa serikali. unataka kuniambia ule mchakato wa kikokotooo ulikua ni msimamo wa akina Jenista yeye hakuhudhuria vikao vya baraza kuupitisha? kwann baadaye aushangae na kuufuta??

yapo mengi ila haya machache niambie misimamo ya JPM. huku msiwabomoleshe wamenipigia kura huku bomoa na silipi hata mia??

misimamo ni kusimamia haki na kwa usawa
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!
Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"
Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo. Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!
Ujumbe umewafikia walengwa, maana si kupishana huko 360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa mfano tuujadili..ila kumbuka sijashika nafasi yoyote ya uongozi wa umma

Kwa jinsi ulivyopoteza msimamo kabla hata hujapewa ofisi, wewe ukipewa ofisi utakuwa worse zaidi.

Na kama kuna watu hawajaelewa maana ya hii thread, naomba tu niwaambie kwamba lengo lako ni kuwaponda Nape na Makamba na unajaribu kuzitenga kauli zao na huyo unayetudanganya eti ana msimamo.

Wewe ni kigeugeu.
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!
Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"
Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo. Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!
Kuna ambayo ni ya msingi ambayo hatutarajii anayeyasimamia abadilike, pasipo hoja za msingi. Lakini kuna yale ambayo mtu anaweza kubadilika kutokana na hali halisi inavyokwenda. Namheshimu zaidi yule anayegundua kwamba amekosea na kubadili msimamo, kuliko yule ambaye anabaki tu hivyo hivyo kama JIWE. Hata Nyerere alitambua makosa yake. kwa mfano naamini kwamba sababu za kuhamia Dodoma zilizokuwepo miaka ya 1970, hazina mashiko katika dunia ya leo na kwa hiyo uamuzi wa "kutekeleza azimio la kuhamia Dodoma" ulikuwa ni mbovu.

Kuhusu Rais Magufuli kwamba amebadilika au vipi, mbona amebadilika katika mengi tu? Kwa mfano mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, Magufuli alisikika akiwakemea CCM waache kuvuruga uchaguzi wa Meya wa Jiji la DSM, kwamba kama CCM hawakushinda vya kutosha, basi wakubali matokeo. Hii ilikuwa kauli njema kabisa ya kidemokrasia. Lakini baadaye tumemshuhudia Magufuli anayerubuni viongozi wa upinzani ili wahamie CCM. biashara hii ya wapinzani imekoma baada ya sheria kuzuia wabunge au madiwani kuweza kuchaguliwa tena baada ya kujiuzulu kwa hoja ya "kuunga mkono juhudi".

Pia sasa hivi Magufuli ni "mzee ruksa": Ruksa kuingia maeneo ya hifadhi, si ruksa kubomolewa watu nyumba, nk.

Kwa watu wenye fikra kwamba kujenga madaraja, barabara, kununua ndege, ndiyo maendeleo, bila shaka kwa Magufuli ni kama nabii. Sikubaliani na fikra hiyo
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!
Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"
Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo. Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!

Ni kioja cha mwaka mtu kusema Magufuli ana msimamo unaoeleweka. Mtu mwenye msimamo huwa consistent kwa maneno na matendo yake.
Utamuitaje kuwa ni mwenye msimamo wakati amebomoa nyumba za watu Kimara (tena wengine wamepewa haki na mahakama) lakini anawaambia watendaji wake Mwanza "msiwabomoleshe hawa hata kama wameingilia eneo la kiwanja cha ndege kwa kuwa walinipigia kura"?

Ni mtu gani mwenye msimamo anaewafukuza kazi watu kwa madai ya kuwa na vyeti bandia lakini wakati huo huo anasema Bashite aka Makonda "hata kama hajui kuandika sijali bora anachapa kazi"?

The only thing consistent about Magufuli is his inconsistency.
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!
Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"
Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo. Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!
Kama kweli JPM wako anapendwa na kukubalika kwanini anaogopa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
ww mwanakijiji mbona nawe ni kigeu geu ! umeungana na hawa wanaowahesabu wapinzani kama wasaliti wa taifa yaan sahz ccm inabukiza watanzania waamini wapinzani ni maadui kama ilivyo magonjwa na mafisadi nawe umeungana nao ww je nawe unaamini hivyoooo?? mfano Lissu anaitwa msaliti na bwana mkubwa alisema msaliti hastahili kusirvive
 
Sitakutukana ndugu Chahali , JF haijaruhusu matusi , na nadhani hukunielewa , mimi si mjinga wa kuwaamini Nape na January , nafahamu kila njama waliyoshiriki , bali andiko langu lililenga kumtahadharisha tu mwanachama mpya wa ccm ndugu Mwanakijiji kwamba wengine wanapopandisha maruhani na kuanza kuropoka uchawi walioubeba kwa niaba ya waliowatuma hana haja ya kuumia , kumbuka kwamba andiko la Mzee Mwanakijiji limelenga kuwashutumu vijana wanaoropoka yale waliyoyatenda gizani huko nyuma .

Lingine ni kwamba , kuwa huru tu kuandika hapa jf bila hofu ya kutukanwa , sheria za JF zjnakataza matusi , siwezi kukutukana kisa tu hauko upande wangu , ni hayo tu
Mwanakijiji ni mwanachama mpya?
Au upya unauzungumzia kwa muktadha gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watu wa siasa kuwa kigeugeu haina mwanasiasa mzee au kijana, ni wachache sana ndio wanaweza kuwa na uthabiti wa kile wanachokiishi na kukiamini. Mzee, wengi huangalia maslahi yakoje na yako wapi. Usije ukamuamini mwanasiasa kwamba ataamini daima dawamu mawazo yake, utaishia kushangaa kila uchao. Wanasiasa ni vigeugeu kama kinyonga
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!

Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"

Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo.

Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!
Tcha! Eti magufuli anaweza kushinda kwa kishindo kikubwa. Hizi ni ndoto za alinacha unazoota kutokea huko ughaibuni. Huku uwanjani hali ni tofauti kabisa. magufuli anachukiwa mpaka na wanaccm wenzake.
Ungekuwa na akili timamu, ungeeleza kwa nini matumizi ya dola sasa ni makubwa sana. Ni dola ndiyo itakayompa ushindi uncle; sio kura. He is unpopular president. Halafu uncle hana msimamo thabiti. Ni kigeugeu. Ila ana hulka ya ukatili. Huo sio msimamo; ni hulka tu.
 
View attachment 1026826

Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka. Viongozi 'vijana' wanapoonekana wanachukua misimamo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa (political expediencies) manake ni kuwa ni rahisi sana kubadilika badilika. Kama ulijikuta unalazimika kuchukua msimamo ambao dhamira yako inapingana nao ulikuwa na wajibu wa kujiuzulu wakati ule ule! Viongozi bila misimamo ni majanga!

Hapa nimewasema viongozi vijana lakini nawalenga viongozi wote ambao wakiwa na madaraka wanaonekana kuwa na misimamo ambayo inakinzana na dhamira zao. Wakikosa madaraka makubwa wanaanza kupata akili kuwa sasa 'wameokoka" na wanaweza kuona vizuri na wanazungumza kana kwamba wana "hekima". Fikiria baadaye Lugola aje na kusema "niliyosema kuhusu CCTV haikuwa msimamo wangu!"

Mojawapo ya vitu ambavyo havina ubishi ni kuwa misimamo ya JPM haijabadilika; hata kabla ya kuwa Rais misimamo yake kuhusu utendaji, viongozi na mambo mengine mengi ilikuwa inajulikana. Na inawezekana wengi walimchagua au kumuunga mkono kwa sababu hiyo na inawezakana akashinda kwa kishindo kikubwa zaidi mwakani kwa sababu hizo hizo.

Tatizo ni viongozi ambao wana misimamo kwa kuweka kidole hewani, kukitemea mate, halafu kukiinua hewani kuangalia upepo wa kisiasa unaenda wapi!

Unaweza kuninukuu!

Tukitaka Taifa letu libadilike, lazima kuwe na approach tofauti ya kukuza viongozi. We have to have many breeding sites for future leaders.
Hawa opportunists tulionao hawana lolote la kuchangia. Wanaenda kama zombies....especially when push come to shove...watakuuza
 
Hawa walitakiwa waachwe kwanza wakue na wapevuke..wasipewe madaraka yoyote hadi wakue..kama kina mzee mkuchika, mzee muhongo, mzee mwijage, mzee lukuvi, mzee mwakyembe, mzee kabudi na kina mama ndalichako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuri ni kina LUGOLA wanaosema uongo SAA 7 mchana kuwa hakukuwa na CCTV makazi ya viongozi Dodoma siku Lissu anapiga risasi?
Hao unaotaka wakue kwanza wakati wanafungia bunge live na kupitisha bao la mkono uliona sahihi na kushangilia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom