Sitaki tena ndoa na Mamndenyi...!!!

^^
Raha ya Chit Chat ukae pembeni utaona jinsi watu wanavyotafutana na kupigana vibuti.
^^
 
^^
Raha ya Chit Chat ukae pembeni utaona jinsi watu wanavyotafutana na kupigana vibuti.
^^

umeonaee..! Lakini mimi sikai pembeni hadi nimalize kuwakagua kwanza then tutajumuika wote huko pembeni
 
Mwita Maranya, nyie wakurya ni noma, yaani eti hata wanawake wanaoa, dah... wacha mi niendelee kujipendekeza kwa Mamndenyi huenda tukafanya maajabu ya Musa itokekee familia takatifu
 
Last edited by a moderator:
We subiri..nitakutana na wewe mahakamani..kumwacha mamndenyi kwa kutangaza ni kosa sana
Na sitakuacha kweli...hadi umwombe msamaha

Nakung'ata sikio na iwe siri yako. Mamndenyi tumesharudiana kimya kimya.
Nani anaweza kukubali kumuachia mwanamke mtamu kiasi kile? subutu...
 
mwanangu kiwatengu habari za huko milimani lakini, Mwita Maranya alinipa talaka kwa shingo upande
ndo anaangukia hapa, lakini bado bado sijamwelewa vizuri
labda akachukue sale aje aangukie nalo.
We subiri..nitakutana na wewe mahakamani..kumwacha mamndenyi kwa kutangaza ni kosa sana
Na sitakuacha kweli...hadi umwombe msamaha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…