Sitaki tena ajira Bandari

Sitaki tena ajira Bandari

Ndugu yangu unaongea Shit sana kuna maisha baada ya kupata Kazi acha huo utoto hiyo nafasi wamekosa watu na si kwamba VILAZA hapana kuna mda jaribu kutenga muda kumshukuru MUNGU wako na si kumkejeri kila mtu aliyekosa na kujiona zaidi MUNGU anachukia kitu unachokifanya.
 
sa mlikua 152, wanataka 48, huoni kama walokosa ni wengi, na wengi wao wametulia
Hivi inaelewa dhana la Andiko langu kweli.. Jiulize haya malalamiko ni ya kwako? Please huna cha kuandika kaa kimya tafadhali..
 
Nikuulize tu swali dogo.. Hayo majina matatu yaliyoitwa kazini na hayakuwepo kwenye mchakato mzima wa usaili nini maana yake.. Labda wewe utakuwa utueleze
 
Hivi inaelewa dhana la Andiko langu kweli.. Jiulize haya malalamiko ni ya kwako? Please huna cha kuandika kaa kimya tafadhali..
sa si umeeka Jamii forum kama ulikua utaki nichangie ungekaa nayo, kaipganie tasac kwa nguvu zako zote.

ila kama nmekukwaza sorry
 
Ushahidi unaendelea.. Hili ni tangazo la kuitwa kazini.. Kuna majina matatu mapyaaa kabisa yameonekana humo ktk kada hiyo2 ya Operation Clerk C... Kwa nini nisipate mashaka kama msailiwa huru...
SINA SHAKA NA HIYO AJIRA KUNA UHUNI HAPO, KUNA VIJANA NAWAFAHAMU WENGI WAMESOMEA BANDARI HAPO COURSE YA SHIPPING WAMEPIGWA CHINI, KUNA WATU WATATU HAPO NAWAFAHAMU WANA WATU WAZITO TU HAPO KWENYE SYSTEM, TOKEA CHUO WALIKUWA WANAJISIFU NA KWELI WAMEPETA
 
brooo, vp ushakula barua nini, naona saivi umeamua uongee ki utu uzima,
Hahah unazingua sana mdogo wangu unajua hizi hussles za wana huzielewi tatizo mi nimepitia sana ndo maana namnyenyekea hata mtoto mtaani kuna funzo kubwa sana we maisha laini sema huwezi elewa wana wanayopitia ila iko hivyo PSRS wana madudu pia ukikomaa ipo siku unatoboa,japo kuna baadhi wana vismart kama wewe one touch umetoboa sasa usijeona wana wako wrongly wako sahihi PSRS madudu yapo narudia nami mmoja wapo nilishayaona sana hii michezo maana nimegonga ORAL nyingi sana kama 5 hivi na hizi zote napitia michujo ya watu 600 tunaingia 10 au 8 tena passmark nzuri tu ila siku ya siku Replacement zikija jina umetemwa,so naelewa hussles za PSRS zinahitaji uwe na roho ngumu kwelikweli wewe mwenyewe nakumbuka ulikata tamaa na tulikupa moyo na tukakupa Desa nzuri tu hatimae ukatoboa.
 
dah, kweli broo, ila sitakusahau man, mi ndo tamaa nilikata kabisa mpaka nikikumbuka nakua na wenge, nakumbuka kuna kipindi uliniambia dogo una wenge
 
duhhh, bas wacha nikae pembeni, kumbe sijui chochote
 
dah, kweli broo, ila sitakusahau man, mi ndo tamaa nilikata kabisa mpaka nikikumbuka nakua na wenge, nakumbuka kuna kipindi uliniambia dogo una wenge
😂 Leo Unasubiria Salary ya TPA tu haya bhana.
 
Nilichogundua humu ndani katika huu uzi huyu #Jstar1 ni premature naona sitakuwa nimemtusi kwa lugha hiyo, alafu hataki jifunza na kujua jambo....

Jamaa kaweka PDF zenye ushahidi lakini still anatetea uozo, inamaana majina matatu yaliochomekwa ambayo hayakupita katika mchakato mzima yametoka wapi kwa akili yako ya kawaida(Jstar1)...?

Jifunze kujifunza, unamuuliza jamaa (Converse) watu wengine mbona hawajakuja JF kucomplain, watu tuko tofauti jamaa kachimba na kulitambua jambo yakuwa kuna shida na ushahidi anao tofauti na wengine au wewe ambaye umepata iyo nafasi yako...

Mimi nafikiri mzee ushukuru tu na nafasi uliyopata asee na si kukaa kifua mbele kutetea taasisi fulani kwakuwa umepata nafasi....

Ujumbe kwa Jstar1 "Not everything is as it seen"
 
yaah nilitetea, ila nmejitoa maana nmebaki dilema, ndo maana nmesema yawezekana mimi sjui

Bado pia hajajua nini maana ya great thinkers.. Kikubwa nachokiona kwake anaota vitu rahisi baada ya kupata kazi.. Ushahidi upo wazi ni vile tu mambo mengine unaamua kukaa kimya
 
Hivi jamani huko bandari wanalipa vizuri kweli? au kama halmashauri tu
 
Zamani kipindi Cha overtime na malupulupu ya safari ..siku hizi hamna kitu Cha maana labda wale wanaoenda SBM
 
SINA SHAKA NA HIYO AJIRA KUNA UHUNI HAPO, KUNA VIJANA NAWAFAHAMU WENGI WAMESOMEA BANDARI HAPO COURSE YA SHIPPING WAMEPIGWA CHINI, KUNA WATU WATATU HAPO NAWAFAHAMU WANA WATU WAZITO TU HAPO KWENYE SYSTEM, TOKEA CHUO WALIKUWA WANAJISIFU NA KWELI WAMEPETA

Pole kwa hao..Kuna watu wanabisha TPA hakuna ubebwaji wakati upo Sana tu..
 
Back
Top Bottom