moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Limemfokoa
Limemfokoa
Duh pole mkuu ,,Sitaki tena ajira za serikali. Walichokifanya Mamlaka ya Bandari sina hamu kabisa. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Hao ni hizi Mamlaka za maji karibia zote hizo ndizo tabiya zao,Local NGO 'S na chache international ,Mkuu baadhi ya taasisi za serikali wanaajiri mwezi mmoja au miwili kabla alafu ndio wanatoa tangazo la kazi kama geresha tu na wanapitia hatua zote za usahili na unashangaa watu hawaitwi kazini