Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,639
nipe sababu mkuu ya unachosemaHR wewe...!!!? Haha kweli si kila aliyesoma kaelimika....
nipe sababu mkuu ya unachosemaHR wewe...!!!? Haha kweli si kila aliyesoma kaelimika....
sometimes raha sana kubishana kwa keyboard, ila real life kila mtu anajua lake.HR wewe...!!!? Haha kweli si kila aliyesoma kaelimika....
Mkuu kawaida ya utumishi mkifanya usahili na mkafaulu wengi huku nafasi ni chache wanakawaida ya kuwaweka watu wengine kwenye database ili ikitokea kazi iyo tena wale waliopo kwenye database wanapangiwa vituo vya kazi bila hata kufanya interview tenaMtu aliefanya interview utumishi akapata hawezi kukubali kua utumishi wana urasimu. Maana yeye alikua hamjui mtu na akapata
Ila wanaosema utumishi wana urasimu wasipuuzwe.Inawezekana wameona na wana evidence. Sio kwa sababu ulifanya na ukapata bila kushikwa mkono ndio kwamba wako 100% fair hapana.
Na hiyo database ya utumishi kwanini inakuwa kificho? kwanini isiwe wazi Mkuu?Mkuu kawaida ya utumishi mkifanya usahili na mkafaulu wengi huku nafasi ni chache wanakawaida ya kuwaweka watu wengine kwenye database ili ikitokea kazi iyo tena wale waliopo kwenye database wanapangiwa vituo vya kazi bila hata kufanya interview tena
Mtoa mada analalamika kuwa kuna watu wamepangiwa vituo vya kazi bila kufanya interview...tumemuuliza anaweza ku prove vipi kuwa hao waliopangiwa vituo vya kazi hawakwepo kwenye database ya utumishi...naona kakimbia na kashindwa kunijibu hilo swali mpaka mda huu
Appeal iletwe list ya all applicants ufanye matchingDah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
HR mbumbumbu asiejielewa.🤯🤯🤯HR wewe...!!!? Haha kweli si kila aliyesoma kaelimika....
Iwe wazi kivipi mkuuNa hiyo database ya utumishi kwanini inakuwa kificho? kwanini isiwe wazi Mkuu?
Hilo ndio chaka lakupitishia watu hapo
Una uhakika Mkuu?Kaza mwanangu TASAC hiyo inalipa vizuri kuliko TPA boss.
Converse
Nimefanya oral km zote utumishi. Lakini sijawahi pangiwa kituo cha kazi. May be coz sina ndugu wala jamaa ndo maana naishia kula za uso. Usilaumu sana kaka kila jambo linasababu yake.Ushahidi wooote toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..
Ndio Mkuu.Una uhakika Mkuu?
Umefanya Oral ngapi hadi sasa Mkuu🤔Nimefanya oral km zote utumishi. Lakini sijawahi pangiwa kituo cha kazi. May be coz sina ndugu wala jamaa ndo maana naishia kula za uso. Usilaumu sana kaka kila jambo linasababu yake.
270kSecurity Guard Wanaramba Basic Salary Yao Sh. Ngap
Wengine nyumbaniDah acha tu mkuu... Urasimu kuisha serikalini bado Sana... Mtu haitwi kwenye usaili na wala hafanyi usaili lakini jina linakuwepo kwenye shortlist ya kuitwa kazini
saivi ni 150K nasikia270k
Duh sasa bwana mdogo hapo utaweza kweli?saivi ni 150K nasikia
nmeachaDuh sasa bwana mdogo hapo utaweza kweli?
Umeacha linnmeacha
Hio bado ni kitendawili mkuuDatabase (kanzidata) ya utumishi ndio tobo pekee lililobaki kwa watu wenye nyadhifa zao kuingiza watu serikalini... waweke uwazi hapo kwenye kanzi data (kwanini wanaficha) na waseme mtu ameingia kwa oral ipi… hapo ndio unaweza mwaga machozi