Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,639
kwanini wakupige chini kama sio ulighushi cheti? we ndo makalioCheti feki unakijua? Usiwaze kwa makalio
kwanini wakupige chini kama sio ulighushi cheti? we ndo makalioCheti feki unakijua? Usiwaze kwa makalio
hakuna aliyefungwa kwa cheti Feki, wameondolewa kazini tu. I speak from experience as HRSidhani kama kafanya hii kitu....kwani haogopi jela
Hatupokei ushahidi wa mitandaoni.utakuwa huna sifa weweKwa wenye macho ya mbaaali kama mimi hebu pitia vizuri jina moja baada ya jingine kwa Kozi ya Operation Clerk C.. Ukurasa wa 152
Usikurupuke huko ulipotoka.. Wenye akili timamu wanajua nimeandika nini.. Rudi nyuma view attachment zilizopo ndo uje uulize
hii coment inaweza kujenga urafiki zaidi ya hapa...hakuna aliyefungwa kwa cheti Feki, wameondolewa kazini tu. I speak from experience as HR
hakuna aliyefungwa kwa cheti Feki, wameondolewa kazini tu. I speak from experience as HR
Kwa mfano wewe ungekua na mtoto wako usingempa ajira kwa vile hajafanya interviewUrasimu mkuu... Watu bado wanapeana kazi Sana pale ndani
Kw
Kwa mfano wewe ungekua na mtoto wako usingempa ajira kwa vile hajafanya interview









Mkuu unajua kuwa utumishi mtu akifanya vizuri kwenye usahili taarifa zake huwa zinabaki kwenye data base so ikitokea kazi mbeleni ya field yake huwa anaitwa ku report kazini moja kwa moja...unalijua hilo???Hujaelewa hoja ya mleta mada..Anasema kuna watu hawakuwepo kwenye zoezi zima la usahili toka mwanzo lakini wamepata kazi..Hoja yake kubwa ndo hiyo..
Huoni kama kuna tatizo??
Mkuu haina haja ya matusi hapa tunawekana sawa...Mkuu unajua kuwa utumishi mtu akifanya vizuri kwenye usahili taarifa zake huwa zinabaki kwenye data base so ikitokea kazi mbeleni ya field yake huwa anaitwa ku report kazini moja kwa moja...unalijua hilo???Usikurupuke huko ulipotoka.. Wenye akili timamu wanajua nimeandika nini.. Rudi nyuma view attachment zilizopo ndo uje uulize
tuligundua huna kadi ya kijani.Dah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Mkuu mimi bado hujajibu swali langu...una uhakika gani hao walioitwa kwenye usahili hawakuwa kwenye database ya utumishi??Ushahidi unaendelea.. Hili ni tangazo la kuitwa kazini.. Kuna majina matatu mapyaaa kabisa yameonekana humo ktk kada hiyo2 ya Operation Clerk C... Kwa nini nisipate mashaka kama msailiwa huru...
Mkuu mimi bado hujajibu swali langu...una uhakika gani hao walioitwa kwenye usahili hawakuwa kwenye database ya utumishi??
Mi kuna mtu namfahamu ni rafiki angu tena mtoto wa mkulima tu kama sisi juzi kati aliitwa kazini tena kwenye kitengo nyeti bila hata kufanya usahili but alishafanya usahili wa post kama iyo siku za nyuma tena ni mda mrefu tu umepita
Hao utumishi ni kweli wana madudu yao sababu watu wengi huwa wanawalalamikia so watu wote hawawezi kudanganya but kuna vitu huwa mnawasingizia
Ushahidi wooote toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..
Atakuwa amekosea...mimi mwenyewe ni msaka ajira kama yeyeukiendelea atasema unajiona na umemuita mjinga
HR wewe...!!!? Haha kweli si kila aliyesoma kaelimika....hakuna aliyefungwa kwa cheti Feki, wameondolewa kazini tu. I speak from experience as HR