Watu walalamishi sana, kwahiyo ulitaka uitwe wewe!!? Kwanza practical ulikua wangapi maana hakuna kada ambayo ameachwa mtu aliyefanya vizur sana katika upande wa practical....yaani watu wamezoea kulalamika tu.. wanafunz wa bandar wanalalamika kua walihaidiwa nafas na hawajaajiriwa, vibarua wa bandar wanalalamika kua hawaja ajiriwa , na nyie watu wa nje mnalalamika kua hamja ajiriwa, sasa walioajiriwa ni watu kutoka wapii??? Acheni lawama zisizo na msingi kazeni boot, kwenye ile practical kuna watu walijituma sana kama ma diver na masailor mpaka wakawavutia wale jamaa wa tpa na wakafanikiwa kuitwa kazini na hawakua na mtu yyte wanaemfahamu,