Sitaki tena ajira Bandari

Converse

Member
Mar 19, 2018
60
92
Sitaki tena ajira za serikali. Walichokifanya Mamlaka ya Bandari sina hamu kabisa. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
 
Vipi kuhusu short list nafasi za bandari zilizotangazwa deadline ilikua 31 july
 
Sijajua bado kazi ya Sekretarieti.. Mchakato mwanzoni unanoga Sana unaona mambo rahisi mwishoni madudu yake unaweza kulia.. Nadhani wangeachana na utaratibu wa kuita watu usailini
 
Ushahidi wooote toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..
Kama ushahidi unao na unaweza kujitetea ukibanwa unakomaa nao tu, unaanza kupeleka taarifa kwenye magazeti habari zinasambaa hadi zinamfikia magu.
 
Dah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Mkuu baadhi ya taasisi za serikali wanaajiri mwezi mmoja au miwili kabla alafu ndio wanatoa tangazo la kazi kama geresha tu na wanapitia hatua zote za usahili na unashangaa watu hawaitwi kazini
 
Mkuu baadhi ya taasisi za serikali wanaajiri mwezi mmoja au miwili kabla alafu ndio wanatoa tangazo la kazi kama geresha tu na wanapitia hatua zote za usahili na unashangaa watu hawaitwi kazini
Dah kama mambo yapo ivyo bado tuna safari ndefu sana itabidi nikubaliane na ule msemo wa haki inapatikana mbinguni pekee mungu atusaidie sana
 
Dah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Sio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
 
Back
Top Bottom