...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

Woga wako ndio umaskini wako inaonesha ilikuwa mapema so unge do gizani 2 hamnaga shida au tatizo lako nini?

...tatizo langu ni hayo masharti ya ku do gizani tu...si kwamba sijawai ku-do gizani na si kwamba mi sipendi ku do gizani bali huo msimamo wake ndo ulinishtua....
 
...aiseee!..."wa-nyumbani" sijui
nikupe pole au
hongera?,anyway bilashaka
unastahili kupata mambo yote
mawili.Kwanza pole sana kwa
kuingia ktk majaribu na
hongera sana kwa
kujinasua,ktk mazingira kama
hayo ata kama ingekuwa ni
mimi ningefanya kama
ulivyofanya wewe.Kuna baadhi
ya wachangiaji wamekuita
"mwooga",mimi sikubaliani
nao kwani ni muhim sana
wakati wote kwa mtu makini
kuchukua taadhali,hasa kwa
jambo ambako anakuwa
hana uhakika nalo...Lakini na
wewe "Mzee Mzima" ulikuwa
fasta sana,yaaani kufika tu na-
kuta ku-google!?...kwìíì kwììì
kwììì...aiseee!...si hajabu tangu
unaanza safari toka Mwz hadi
unaingia Singida dushelele iko
online...YOTE KWA YOTE "YOU'R
GREAT THINKER",ulihisi hatari na
kuchukua hatua za taadhali haraka,haya
maneno kwamba ulikuwa
mwoga,si jui ulikuwa na
haraka sio muhim saaana zaidi ya
usalama wako kwanza.Watu
wanaofanya mambo kwa
mazoea na kuchukulia kila kitu
kuwa ni cha-kawaida,ndo kama
hao tunawaona kwenye tv
wakikimbizwa Temeke
hospitali kunasuliwa.Mwisho
itakuwa vizuri nikakushauri
kwamba,kwa kuwa kweli huyo
mrembo anakupenda kwa-jinsi
inavyoonesha,jaribu
kwendanae taratibu,mwisho wa siku naamini
utaweza kumshawishi na
atakubali kutoka kwenye giza na
kukufuata kwenye mwanga.Na
kumbuka kwamba watu
tunatofautiana sana
kutegemea mazingira
tuliyokulia,uwezi-jua mkuu,labda
huyo dada alishapatwa na
magumu yaliyompelekea yeye
kuwa ktk hali kama hiyo(i mean
linaweza kuwa ni tatizo la
kisaikolojia zaidi)..."JADWOONG'I OYA-OLEE"...
 
ungempa tu ukweli kwamba mapenzi gizani huwezi kufanya, na akuambie kwanini yeye anataka hizo sehemu nyeti zisionekanane? hajui bara yaliwa hiyo...
 
Heshima mbele kwa wanabodi + wandugu wote popote pale JF mtandao mkubwa wa kijamimi unapo patikana

Wana-jamii nimekuja mbeleyenu leo kwa nia ya kutaka mnipe ushahuri nifanye nini kwa majaribu yaliyonikuta hivi karibuni huko Singida

Takribani ni mwezi sasa umetimia tangu tukubaliana na mrembo mmoja kuwa na uhusiana wa kimapezi,kupitia kwenye mtandoo mmoja wa kijamii unaofahamika kama "hi5"

Huyu mrembo ndo alinianza kwa kunitumia message na kunieleza ya-kwamba umevutiwa sana na picha yangu,hivyo kama itawezekana angependa kuwa na uhusiano wa kirafiki na mimi

Kuanzia hapo tukawa tunawasiliana sana kwenye huo mtandao(hi5) na tumefikia hadi kubadirishana namba za simu na email adress

Mawasiliano kati yangu na huyu dada yamekuwa ni mazuri sana kiasi kwamba nimeona kweli yuko serious,amenitumia picha zake nyingi sana akiwa peke yake na nyingine akiwa na wazazi na ndugu zake

Huyu mrembo yuko Singida kikazi lakini yeye ni mwenyeji wa Songea,mimi niko Mwanza

Katika mwasiliano yetu tukakubaliana kuwa niende Singida ili tuweze kufahamiana vizuri zaidi

"Mtu mzima" nikajipanga sawa sawa nikafunga safari hadi Singida, kwa bahati nzuri nikafika salama na mwenyeji wangu akanipokea na kunipeleka hoteli aliyoniandalia

Tofauti na nilivyokuwa nikimwona hayu dada kwenye picha,"live" nilimkuta ni mrembo sana,ki ukweli mtoto kaumbika yaani kakamilika idara zote

Baada ya kuoga na kupata msosi tukawa tumekaa kitandani tukiongea ili na lile kama kawaida ya wapendanao wakutanapo faragha

Tukaendelea na maongezi huku mikona yangu nayo nikiitembeza kwenye maungo laini ya huyo mrembo,mmmh! mtoto akalainika na kuanza kuishiwa pumzi

"Mzee mzima" nikaanza kuchojoa ili nipige hata bao moja la kuondolea uchovu wa safari

Ghafla mtoto akainuka kitandani na kuhamaki na kusema..."no no no hapana hapana hapana"...nikamuulizi why?,akanijibu kwamba..."ni kweli my love ninajisikia sana hamu ya kufanya mapenzi na wewe"...akaendelea kusema..."but baby naomba uwe na subra,kama ni kufanya mbona tutafanya saaana tu,wala usiwe na haraka lakini sio sasa hivi"...

Kwa kuwa mzuka ulikuwa umeishanipanda siku mweelewa ikanibidi nimuulize tena why?,akaniambia kuwa yeye huwa hawezikufanya mapenzi akiwa anaonana na mtu nayefanya-nae mapenzi,hivyo upenda kufanya mapezi kwenye giza totoro

Jibu lake sikulielewa nikarudia kumuuliza tena swali lilelile
why?,akaniambia..."honey nielewe mimi huwaga sipendi kuuona ume na sitaki vilevile mtu
auone uke wangu"...

Kwa jibu hilo niliishiwa na maswali na badala yake sasa nikaanza kujiuliza mimi mwenyewe..."je kulikoni hadi kwenye giza tu na si kwenye mwangaa?"...

Sio siri nilianza kuingiwa na hofu na kujiuliza maswali mengi sana siyokuwa na majibu,ili nisimwonyeshe kuwa nimeshtuka ikabidi ni-ziue kwa stori nyingine mchanganyiko

Ilipofika mida ya jioni kama saa moja na nusu hivi,huyo dada akaniaga kwamba anaeda kwao kuweka mambo sawa ili arudi tulale wote,hapo sasa tena ndo chupi ilianza kunibana coz nilikuwa tayari nimeishaanza kumwoofi na sina tena hamu nae

Alipoondoka kama baada ya muda wa nusu saa hivi,nikajiongeza fasta nikampigia simu na kumwombia usisumbuke kurudi kwani sijisikii vizuri,nimechoka na kichwa kinaniuma

Ilikuwa vigumu sana kunielewa hivyo akawa anag'ang'ania tu arudi tulale pamoja lakini na mimi nikashikilia msimamo wangu wa kumtaka asirudi na tuonane kesho yake asubui,kwa shingo upande akawa amenikubalia

Nikalala salama na asubui mapema nikadamkia sitendi ya mabasi kukata tiketi ya kurudi Mwanza,nikiwa hapo stendi nikampigia simu na kumwambia asisumbuke kwenda hotelini aje moja kwa moja stendi

Alipofika nilipokuwa alikuwa anaonekana ni mtu mwenye uzuni sana,kitu cha kwanza kuongea nami kabla hata hatujasalimiana lilikuwa ni swali..."mbona unaondoka ghafla"...kwa kweli lilikuwa swali gumu sana kulijibu kwa kumweleza ukweli,hivyo ilinibidi nimdanganya kwamba usiku bosi wangu amenipigia simu na kuniambia kwamba nahitajika ofisini haraka sana kunatatizo kazini limetokea

Ilikuwani vigumu sana kuniele lakini nilijitahidi sana kumshawishi kwa kumwahaidi kuwa nitarudi mapema baada ya kuweka mambo ya ofisi sawa,kwa kuwa tayari nilikuwa na tiketi mkononi na basi lilikuwa linakaribia kuondoka hakuwa na jinsi,alikubali kwa unyonge na mimi nikaondoka salama Singida

Haya kwa ufupi ndo yaliyonikuta kwa huyo mrembo wa Singida,naomba wanabodi mnisaidie kupambanua hili jambo...je ni kwa nini huyo dada hayuko tayari kutoa "utamu" kwenye mwanga?...je sababu ya kutotaka kuiona "dusheleee" na kukataa kuonekana kwa ''kisima chake cha mapezi" zinajitoshereza au kuna kitu nyuma ya pazia?...
Mambo ya gizani yanaweza yakawa kama haya!
 
Nitupie namba ya uyomwali, inaonekana we mwoga, ha ha haaaaaaaaaaaaaa
 
mwanzo wa story umesema kwao na mrembo ni songea na hapo singida yuko kikazi...lakini katikati ya story unasema jioni alikuaga na kwenda kwao kuweka mambo sawa ili aje mulale wote!!!!!...........aisee....

...ok...ili kufupisha hiki kisa kuna mambo ambayo nimeyaacha kwa makusudi ya kutokumchosha msomaji...kama nivyoeleza hapo juu huyo dada nyumbani kwao yaani kwa wazazi wake ni Songea,baada ya kumaliza chuo alibahatika kupata ajira serikalini na kupangiwa kituo cha kazi Singida.Huko Singida alifikia na anaishi nyumba kwa mjomba wake,kwamaana hiyo hapo nyumbani kwa kaka yake na mama yake ndo kwa sasa anapaita nyumbani...
 
Chezea malovee wewe.!
Nauli ya Mwanza-Singida.

...Mwz to Singida 15,000,kwenda na kurudi 30,000...kumbuka kuna watu wanahonga hadi nyumba na hawaoni hatari..."chezea kupenda wewe!?"...
 
..."OYAOLE NG'IIMA?"...ahaaa ahaaa ahaaa...umenikumbusha home mkuu,itanibidi niku-PM tuchape lugha...nashukuru sana kwa ushauri wako...hapo kwenye ku-google asikuambie mtu,ukiwa kwenye zero distance alfu mtoto analipa laaazima ufanisi wa bleki huwe mdogo sana...
 
The way nilivyoisoma hii kitu tatizo naliona kwako zaidi......binti sioni kama ana tatizo sana,ni kwamba binti ni kweli kakupenda,lakini lazima ujue mkiwa faragha si lazima mzee ile kitu" imesane na mwensie"........wanawake wanapanda zaidi kuspend tym na wanaume wawapendao,especially those ones who are not boring.Hawako focused sana kwenye tendo la ndoa especially when just met.Anataka aji feel confortable with you first at least ajiridhishe kuwa amafanya chaguo bora.This needs tym.Hiyo gia ya kutopenda kuona dushelele na kuonwa papideh ni gia tu ya kukuondoa kwenye tyming dogo........grow up!

so kijana kwakuwa akili yako yote ilihamia kwenye kichwa cha dushelele badala ya ubongoni,you completely lost your game......simply you had no game.Kwahiyo njia kwako rahisi ikiwa ni kukimbilia Sanctuary yako Mwanza na kumpiga Ban............kwakweli ulichemsha.......you failed to close the deal after coming afar preparing for the big day!:confused2:

Ningekua karibu,I would have bitchslapped your face wussy boy!:target:

Nakubaliana na wewe. The guy didn't give her a chance at all. I bet any woman atajisikia vibaya sana.

Inawezekana mwanamke alikuwa na some sort of past experiences ambazo zilimfanya a-behave vile, and if given time, angemweleza. Si unaona mpaka alimwahidi kuwa anaenda ku-sort mambo homehalafu angerudi to spend time with him for the rest of the night?

Au inawezekana she was shy or wanting to know him more. Could even be that she was a virgin. Tatizo, he didn't give her time to feel comfortable kumweleza why.

Agrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!! Kwa kweli huyu anafaa kuwa bitch-slapped. Ovyo sana.
 
Mambo ya gizani yanaweza yakawa kama haya!

...dah!...hizi photo zinasikitisha sana,mkuu hayo ni maradhi au ni maumbile?...mmm!...kama ni hivi mbona hata hamu sina tena...
 
kweli kabisa mkubwa!! Mualike Aje mwanza na kubali kulala naye usiku but make sure kuwa anakuwa under control yako!! asiwe na mawasiliano yoyote wala usikibilie mapenzi naye mapena!!
 
Sijaona tatizo mkuu, baadhi ya wanawake wanakuwa na hali hiyo hasa kama ndio mnaanza kufahamiana kama case yake ni sahihi kabisa, Wakati nakutana na mama watoto alikuwa hataki nimwone kwa hiyo sharti lilikuwa lazima iwe usiku taa imezimwa na shuka juu tulikuwa mikoa yenye baridi sana, nilipata shida sana ila baada ya kufahamiana kama 1yr hivi mambo yalibadilika kabisa hata sasa 6 mchana kama kawaida.....Ulikurupuka sana siku ya 1 huku yeye akiwa na hofu ya namna ya kujiibia nyumbani mje kustarehe si unajua bado hujajitambulisha kwao? Cha kufanya....andaa safari nyingine sio yeye aje mwanza Noooooooooooo! ukifika upunguze midadi ongeeni mambo yenu hata siku 1 nzima kisha elekea kwenye ulimwengu wa mahaba kwa sharti atakalotoa, baada ya muda mambo yatajiseti mkishafahamiana vya kutosha.....Lazima uende kwani nae ataingiwa hofu kwa mkasa uliopita..........Note: "USISAHAU DAWA YA PENZI"
 
Pole sana, kwanini ulijiandaa kula kitu cha mtu ambaye hamjawahi hata kuonana mara moja? Je angekukaba humo gizani?
 
Labda amekeketwa.......
i second u! wadada wa singida, dodoma wengi huwa wamekeketwa. wanaona haya kwelikweli siku ya kwanza tu kufanya kwenye mwanga, labda mpaka baada ya muda akikuzoea! pole lakini.
 
Wewe na ukimwi wote huu na magonjwa ya zinaa unakurupuka toka Mwanza hadi Singida kufika tu unataka kuchovya? Kaazi kweli kweli!!
 
i second u! wadada wa singida, dodoma wengi huwa wamekeketwa. wanaona haya kwelikweli siku ya kwanza tu kufanya kwenye mwanga, labda mpaka baada ya muda akikuzoea! pole lakini.

Kasema huyo mdada ni mwenyeji wa Songea. Singida anafanya kazi huko tuu.
 
...uzoefu wako unaoneshaje...kwamba kila unayekutana naye mara ya kwanza anakupa na alivyokunyima wewe unashangaaa.....Watanga wanasema "WAJA leo wanitaka leo leo si ulale unitake kesho?"
 
acha uoga wewe ungekula kitu roho inapenda bana. ukute dem bikra alikuwa anaona noma kuona dudu likimuingilia live. kama vipi rudi tena singer ukapige kitu kitamu kilichozidi utamu kwenye hii dunia
 
kweli kabisa mkubwa!! Mualike Aje mwanza na kubali kulala naye usiku but make sure kuwa anakuwa under control yako!! asiwe na mawasiliano yoyote wala usikibilie mapenzi naye mapena!!

...ok...nikitulia nitajaribu kuona kama tunaweza kupanga aje Mwz...
 
Back
Top Bottom