The way nilivyoisoma hii kitu tatizo naliona kwako zaidi......binti sioni kama ana tatizo sana,ni kwamba binti ni kweli kakupenda,lakini lazima ujue mkiwa faragha si lazima mzee ile kitu" imesane na mwensie"........wanawake wanapanda zaidi kuspend tym na wanaume wawapendao,especially those ones who are not boring.Hawako focused sana kwenye tendo la ndoa especially when just met.Anataka aji feel confortable with you first at least ajiridhishe kuwa amafanya chaguo bora.This needs tym.Hiyo gia ya kutopenda kuona dushelele na kuonwa papideh ni gia tu ya kukuondoa kwenye tyming dogo........grow up!
so kijana kwakuwa akili yako yote ilihamia kwenye kichwa cha dushelele badala ya ubongoni,you completely lost your game......simply you had no game.Kwahiyo njia kwako rahisi ikiwa ni kukimbilia Sanctuary yako Mwanza na kumpiga Ban............kwakweli ulichemsha.......you failed to close the deal after coming afar preparing for the big day!:confused2:
Ningekua karibu,I would have bitchslapped your face wussy boy!:target: