...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

Dah asiee,,

kiongozi ni mwoga sana..kwaiyo ukatoka zako nduki hadi mwanza bila hata kupiga japo bao moja??

Mimi ningehakikisha japo koni analamba,asinitanie kabisa..

Heshima mbele kwa wanabodi + wandugu wote popote pale JF mtandao mkubwa wa kijamimi unapo patikana

Wana-jamii nimekuja mbeleyenu leo kwa nia ya kutaka mnipe ushahuri nifanye nini kwa majaribu yaliyonikuta hivi karibuni huko Singida

Takribani ni mwezi sasa umetimia tangu tukubaliana na mrembo mmoja kuwa na uhusiana wa kimapezi,kupitia kwenye mtandoo mmoja wa kijamii unaofahamika kama "hi5"

Huyu mrembo ndo alinianza kwa kunitumia message na kunieleza ya-kwamba umevutiwa sana na picha yangu,hivyo kama itawezekana angependa kuwa na uhusiano wa kirafiki na mimi

Kuanzia hapo tukawa tunawasiliana sana kwenye huo mtandao(hi5) na tumefikia hadi kubadirishana namba za simu na email adress

Mawasiliano kati yangu na huyu dada yamekuwa ni mazuri sana kiasi kwamba nimeona kweli yuko serious,amenitumia picha zake nyingi sana akiwa peke yake na nyingine akiwa na wazazi na ndugu zake

Huyu mrembo yuko Singida kikazi lakini yeye ni mwenyeji wa Songea,mimi niko Mwanza

Katika mwasiliano yetu tukakubaliana kuwa niende Singida ili tuweze kufahamiana vizuri zaidi

"Mtu mzima" nikajipanga sawa sawa nikafunga safari hadi Singida,[\color] kwa bahati nzuri nikafika salama na mwenyeji wangu akanipokea na kunipeleka hoteli aliyoniandalia

Tofauti na nilivyokuwa nikimwona hayu dada kwenye picha,"live" nilimkuta ni mrembo sana,ki ukweli mtoto kaumbika yaani kakamilika idara zote

Baada ya kuoga na kupata msosi tukawa tumekaa kitandani tukiongea ili na lile kama kawaida ya wapendanao wakutanapo faragha

Tukaendelea na maongezi huku mikona yangu nayo nikiitembeza kwenye maungo laini ya huyo mrembo,mmmh! mtoto akalainika na kuanza kuishiwa pumzi

"Mzee mzima" nikaanza kuchojoa ili nipige hata bao moja la kuondolea uchovu wa safari

Ghafla mtoto akainuka kitandani na kuhamaki na kusema..."no no no hapana hapana hapana"...nikamuulizi why?,akanijibu kwamba..."ni kweli my love ninajisikia sana hamu ya kufanya mapenzi na wewe"...akaendelea kusema..."but baby naomba uwe na subra,kama ni kufanya mbona tutafanya saaana tu,wala usiwe na haraka lakini sio sasa hivi"...

Kwa kuwa mzuka ulikuwa umeishanipanda siku mweelewa ikanibidi nimuulize tena why?,akaniambia kuwa yeye huwa hawezikufanya mapenzi akiwa anaonana na mtu nayefanya-nae mapenzi,hivyo upenda kufanya mapezi kwenye giza totoro

Jibu lake sikulielewa nikarudia kumuuliza tena swali lilelile

why?,akaniambia..."honey nielewe mimi huwaga sipendi kuuona ume na sitaki vilevile mtu

auone uke wangu"...

Kwa jibu hilo niliishiwa na maswali na badala yake sasa nikaanza kujiuliza mimi mwenyewe..."je kulikoni hadi kwenye giza tu na si kwenye mwangaa?"...

Sio siri nilianza kuingiwa na hofu na kujiuliza maswali mengi sana siyokuwa na majibu,ili nisimwonyeshe kuwa nimeshtuka ikabidi ni-ziue kwa stori nyingine mchanganyiko

Ilipofika mida ya jioni kama saa moja na nusu hivi,huyo dada akaniaga kwamba anaeda kwao kuweka mambo sawa ili arudi tulale wote,hapo sasa tena ndo chupi ilianza kunibana coz nilikuwa tayari nimeishaanza kumwoofi na sina tena hamu nae

Alipoondoka kama baada ya muda wa nusu saa hivi,nikajiongeza fasta nikampigia simu na kumwombia usisumbuke kurudi kwani sijisikii vizuri,nimechoka na kichwa kinaniuma

Ilikuwa vigumu sana kunielewa hivyo akawa anag'ang'ania tu arudi tulale pamoja lakini na mimi nikashikilia msimamo wangu wa kumtaka asirudi na tuonane kesho yake asubui,kwa shingo upande akawa amenikubalia

Nikalala salama na asubui mapema nikadamkia sitendi ya mabasi kukata tiketi ya kurudi Mwanza,nikiwa hapo stendi nikampigia simu na kumwambia asisumbuke kwenda hotelini aje moja kwa moja stendi

Alipofika nilipokuwa alikuwa anaonekana ni mtu mwenye uzuni sana,kitu cha kwanza kuongea nami kabla hata hatujasalimiana lilikuwa ni swali..."mbona unaondoka ghafla"...kwa kweli lilikuwa swali gumu sana kulijibu kwa kumweleza ukweli,hivyo ilinibidi nimdanganya kwamba usiku bosi wangu amenipigia simu na kuniambia kwamba nahitajika ofisini haraka sana kunatatizo kazini limetokea

Ilikuwani vigumu sana kuniele lakini nilijitahidi sana kumshawishi kwa kumwahaidi kuwa nitarudi mapema baada ya kuweka mambo ya ofisi sawa,kwa kuwa tayari nilikuwa na tiketi mkononi na basi lilikuwa linakaribia kuondoka hakuwa na jinsi,alikubali kwa unyonge na mimi nikaondoka salama Singida

Haya kwa ufupi ndo yaliyonikuta kwa huyo mrembo wa Singida,naomba wanabodi mnisaidie kupambanua hili jambo...je ni kwa nini huyo dada hayuko tayari kutoa "utamu" kwenye mwanga?...je sababu ya kutotaka kuiona "dusheleee" na kukataa kuonekana kwa ''kisima chake cha mapezi" zinajitoshereza au kuna kitu nyuma ya pazia?...

Kweli ninaamini men can sacrifice anything for love....jaman mm cwezi hata kwenda hapo kibamba for blind love let alone cash cash....

Nenda Gamboshi pale kuna watoto wazuri tu wanafanyaga mchana kweupe

Sijaona tatizo mkuu, baadhi ya wanawake wanakuwa na hali hiyo hasa kama ndio mnaanza kufahamiana kama case yake ni sahihi kabisa, Wakati nakutana na mama watoto alikuwa hataki nimwone kwa hiyo sharti lilikuwa lazima iwe usiku taa imezimwa na shuka juu tulikuwa mikoa yenye baridi sana, nilipata shida sana ila baada ya kufahamiana kama 1yr hivi mambo yalibadilika kabisa hata sasa 6 mchana kama kawaida.....Ulikurupuka sana siku ya 1 huku yeye akiwa na hofu ya namna ya kujiibia nyumbani mje kustarehe si unajua bado hujajitambulisha kwao? Cha kufanya....andaa safari nyingine sio yeye aje mwanza Noooooooooooo! ukifika upunguze midadi ongeeni mambo yenu hata siku 1 nzima kisha elekea kwenye ulimwengu wa mahaba kwa sharti atakalotoa, baada ya muda mambo yatajiseti mkishafahamiana vya kutosha.....Lazima uende kwani nae ataingiwa hofu kwa mkasa uliopita..........Note: "USISAHAU DAWA YA PENZI"

...haya unayosema mkuu ni sawa,lakini kabla ya mimi kuchukuwa uamzi wa kukata kona,hiyo issue yake ya kufanya mapenzi usiku tu,tuliijadili sana na kwa kirefu...katika maongezi yetu nilijaribu sana kumdadisi kujua kama anatatizo lolote,akasema hapana yuko poa,na kaongeza kuwa mimi sio mtu wake wa kwanza kwani hata hao walionitangulia(wawili) sharti lilikuwa hilohilo kama ni ku-do lazima iwe usiku kwenye giza tu...na nilivyokuwa nikijaribu kumshawishi aregeze msimamo huo,alikuwa anabadirika na anaanza kukasirika na kuwa mkali...hapo sasa ndo na mimi nikaanza kuingiwa na hofu...suala la kwamba "nilikurupuka",hapana mkuu coz wakati tunaongea kitandani na kadri muda ulivyokuwa ukienda sote tulijikuta tumezama ktk dimbwi la mahaba mazito,tumekumbatiana na mambo mengine kama hayo but mwenzangu nilishangaa ameinuka ghafra nae

kitu kizuri kula kwenye mwanga, gizani kuna kitu gani kinafichwa?
kwenye mwanga mzuka zai hadi kwani shepu shepu ya mrembo inaonekana na kuongezea mzuka!

ungempa tu ukweli kwamba mapenzi gizani huwezi kufanya, na akuambie kwanini yeye anataka hizo sehemu nyeti zisionekanane? hajui bara yaliwa hiyo...

...huo mpango wa kumwambia ukweli ninao ila kwa sasa nimeona nisimwambie kwanza,mpaka hapo ntakapo mwandaa vizuri ili atakapo upokea huo ukweli asijisikie vibaya...

...dah!...hizi photo zinasikitisha sana,mkuu hayo ni maradhi au ni maumbile?...mmm!...kama ni hivi mbona hata hamu sina tena...
Hayo ni maradhi, kama sehemu hizo hazichunguzwi na wapenzi, yaweza ukawa mhanga pia.

Heshima mbele kwa wanabodi + wandugu wote popote pale JF mtandao mkubwa wa kijamimi unapo patikana

Wana-jamii nimekuja mbeleyenu leo kwa nia ya kutaka mnipe ushahuri nifanye nini kwa majaribu yaliyonikuta hivi karibuni huko Singida

Takribani ni mwezi sasa umetimia tangu tukubaliana na mrembo mmoja kuwa na uhusiana wa kimapezi,kupitia kwenye mtandoo mmoja wa kijamii unaofahamika kama "hi5"

Huyu mrembo ndo alinianza kwa kunitumia message na kunieleza ya-kwamba umevutiwa sana na picha yangu,hivyo kama itawezekana angependa kuwa na uhusiano wa kirafiki na mimi

Kuanzia hapo tukawa tunawasiliana sana kwenye huo mtandao(hi5) na tumefikia hadi kubadirishana namba za simu na email adress

Mawasiliano kati yangu na huyu dada yamekuwa ni mazuri sana kiasi kwamba nimeona kweli yuko serious,amenitumia picha zake nyingi sana akiwa peke yake na nyingine akiwa na wazazi na ndugu zake

Huyu mrembo yuko Singida kikazi lakini yeye ni mwenyeji wa Songea,mimi niko Mwanza

Katika mwasiliano yetu tukakubaliana kuwa niende Singida ili tuweze kufahamiana vizuri zaidi

"Mtu mzima" nikajipanga sawa sawa nikafunga safari hadi Singida, kwa bahati nzuri nikafika salama na mwenyeji wangu akanipokea na kunipeleka hoteli aliyoniandalia

Tofauti na nilivyokuwa nikimwona hayu dada kwenye picha,"live" nilimkuta ni mrembo sana,ki ukweli mtoto kaumbika yaani kakamilika idara zote

Baada ya kuoga na kupata msosi tukawa tumekaa kitandani tukiongea ili na lile kama kawaida ya wapendanao wakutanapo faragha

Tukaendelea na maongezi huku mikona yangu nayo nikiitembeza kwenye maungo laini ya huyo mrembo,mmmh! mtoto akalainika na kuanza kuishiwa pumzi

"Mzee mzima" nikaanza kuchojoa ili nipige hata bao moja la kuondolea uchovu wa safari

Ghafla mtoto akainuka kitandani na kuhamaki na kusema..."no no no hapana hapana hapana"...nikamuulizi why?,akanijibu kwamba..."ni kweli my love ninajisikia sana hamu ya kufanya mapenzi na wewe"...akaendelea kusema..."but baby naomba uwe na subra,kama ni kufanya mbona tutafanya saaana tu,wala usiwe na haraka lakini sio sasa hivi"...

Kwa kuwa mzuka ulikuwa umeishanipanda siku mweelewa ikanibidi nimuulize tena why?,akaniambia kuwa yeye huwa hawezikufanya mapenzi akiwa anaonana na mtu nayefanya-nae mapenzi,hivyo upenda kufanya mapezi kwenye giza totoro

Jibu lake sikulielewa nikarudia kumuuliza tena swali lilelile
why?,akaniambia..."honey nielewe mimi huwaga sipendi kuuona ume na sitaki vilevile mtu
auone uke wangu"...

Kwa jibu hilo niliishiwa na maswali na badala yake sasa nikaanza kujiuliza mimi mwenyewe..."je kulikoni hadi kwenye giza tu na si kwenye mwangaa?"...

Sio siri nilianza kuingiwa na hofu na kujiuliza maswali mengi sana siyokuwa na majibu,ili nisimwonyeshe kuwa nimeshtuka ikabidi ni-ziue kwa stori nyingine mchanganyiko

Ilipofika mida ya jioni kama saa moja na nusu hivi,huyo dada akaniaga kwamba anaeda kwao kuweka mambo sawa ili arudi tulale wote,hapo sasa tena ndo chupi ilianza kunibana coz nilikuwa tayari nimeishaanza kumwoofi na sina tena hamu nae

Alipoondoka kama baada ya muda wa nusu saa hivi,nikajiongeza fasta nikampigia simu na kumwombia usisumbuke kurudi kwani sijisikii vizuri,nimechoka na kichwa kinaniuma

Ilikuwa vigumu sana kunielewa hivyo akawa anag'ang'ania tu arudi tulale pamoja lakini na mimi nikashikilia msimamo wangu wa kumtaka asirudi na tuonane kesho yake asubui,kwa shingo upande akawa amenikubalia

Nikalala salama na asubui mapema nikadamkia sitendi ya mabasi kukata tiketi ya kurudi Mwanza,nikiwa hapo stendi nikampigia simu na kumwambia asisumbuke kwenda hotelini aje moja kwa moja stendi

Alipofika nilipokuwa alikuwa anaonekana ni mtu mwenye uzuni sana,kitu cha kwanza kuongea nami kabla hata hatujasalimiana lilikuwa ni swali..."mbona unaondoka ghafla"...kwa kweli lilikuwa swali gumu sana kulijibu kwa kumweleza ukweli,hivyo ilinibidi nimdanganya kwamba usiku bosi wangu amenipigia simu na kuniambia kwamba nahitajika ofisini haraka sana kunatatizo kazini limetokea

Ilikuwani vigumu sana kuniele lakini nilijitahidi sana kumshawishi kwa kumwahaidi kuwa nitarudi mapema baada ya kuweka mambo ya ofisi sawa,kwa kuwa tayari nilikuwa na tiketi mkononi na basi lilikuwa linakaribia kuondoka hakuwa na jinsi,alikubali kwa unyonge na mimi nikaondoka salama Singida

Haya kwa ufupi ndo yaliyonikuta kwa huyo mrembo wa Singida,naomba wanabodi mnisaidie kupambanua hili jambo...je ni kwa nini huyo dada hayuko tayari kutoa "utamu" kwenye mwanga?...je sababu ya kutotaka kuiona "dusheleee" na kukataa kuonekana kwa ''kisima chake cha mapezi" zinajitoshereza au kuna kitu nyuma ya pazia?...

Waoga hawastahili kuitwa wanaume.
Umesafiri toka Mwz hadi Singida,
Umekula denda, imepiga madole; halafu kirahisi unapiga chini qa sababu ya kitoto.
kama hatari tayari umeshaipata; halafu waokimbia nini!
Ulichofanya ni upumbafu
Na ndio hatari ya kutumia akili ya dhakari kufikuri
Unapokuja kutumia akili ya kichwa, unatoa maamuzi ya kipumbafu kabisa.​
Sabung'ori wewe ni PAMbaF kabisa.

Rudi fasta kachape mzigo ila kumbuka KONDOMU

Bazazi!

Last edited by a moderator:
...haya unayosema mkuu ni sawa,lakini kabla ya mimi kuchukuwa uamzi wa kukata kona,hiyo issue yake ya kufanya mapenzi usiku tu,tuliijadili sana na kwa kirefu...katika maongezi yetu nilijaribu sana kumdadisi kujua kama anatatizo lolote,akasema hapana yuko poa,na kaongeza kuwa mimi sio mtu wake wa kwanza kwani hata hao walionitangulia(wawili) sharti lilikuwa hilohilo kama ni ku-do lazima iwe usiku kwenye giza tu...na nilivyokuwa nikijaribu kumshawishi aregeze msimamo huo,alikuwa anabadirika na anaanza kukasirika na kuwa mkali...hapo sasa ndo na mimi nikaanza kuingiwa na hofu...suala la kwamba "nilikurupuka",hapana mkuu coz wakati tunaongea kitandani na kadri muda ulivyokuwa ukienda sote tulijikuta tumezama ktk dimbwi la mahaba mazito,tumekumbatiana na mambo mengine kama hayo but mwenzangu nilishangaa ameinuka ghafra nae
Nimekupata boss, ila nasisitiza uende kwa upole pia waweza kumstukiza ktk safari utakayoenda i.e "Nategemea kupata safari ya kikazi Singida, bado sijaambiwa ni lini ila nitakuarifu, unaweza kuandaa safari ukifika tafuta hoteli then mpigie simu umefika bt sorry yalikuwa maamuzi ya ghafla na nikashindwa kukuarifu kwani nililetwa na gari la office, hii itasaidia kwani kama kuna mambo ya kujiandaa hataweza kufanya hivyo, na atakapo kuja mpe muda wa kujieleza na usiulizie tena jambo la kufanya mapenzi gizani..Wakati wa mapenzi unajidai kama kuna tatizo na unawasha hata simu ili kujionea,....yote kwa yote Ondoa hofu na dhana uluyojijengea kwani kama haitaondoka ni bora uamue kuachana nae kuliko kuitesa nafsi yako.

Nenda Gamboshi pale kuna watoto wazuri tu wanafanyaga mchana kweupe

...duh!...Gamboshi ipi mkuu?...au ni-kile kijiji nasikiaga kinasifika kwa nguvu za giza?...kama ni uko siwezi hata kuthubutu coz unaweza kupigwa changa la-macho,ukajiona umeopoa bonge la demu usiku ukajikuta umelala na fisi...ahaaa ahaaa ahaaa..."chezea Gamboshi wewe"...

Hayo ni maradhi, kama sehemu hizo hazichunguzwi na wapenzi, yaweza ukawa mhanga pia.

..."hapo sasa ndo niambie nimekubali kufanya gizani na mtu ana matatizo kama hayo!?"...mmmh!...kwa nukta hiyo,atakaye niona mimi ni mwooga sawa tu...acha niwe mwooga lakini niendelee kubaki salama...

Kapige mzigooooo....acha ulimbukeniii..sasa kama unasema kakamilika idara zote, wasiwasi wa nini kulia mzigo gizaniiiii!

Nimekupata boss, ila nasisitiza uende kwa upole pia waweza kumstukiza ktk safari utakayoenda i.e "Nategemea kupata safari ya kikazi Singida, bado sijaambiwa ni lini ila nitakuarifu, unaweza kuandaa safari ukifika tafuta hoteli then mpigie simu umefika bt sorry yalikuwa maamuzi ya ghafla na nikashindwa kukuarifu kwani nililetwa na gari la office, hii itasaidia kwani kama kuna mambo ya kujiandaa hataweza kufanya hivyo, na atakapo kuja mpe muda wa kujieleza na usiulizie tena jambo la kufanya mapenzi gizani..Wakati wa mapenzi unajidai kama kuna tatizo na unawasha hata simu ili kujionea,....yote kwa yote Ondoa hofu na dhana uluyojijengea kwani kama haitaondoka ni bora uamue kuachana nae kuliko kuitesa nafsi yako.

...mkuu nmekusoma,nakushukuru sana kwa kuguswa na hili lililonikuta,ngoja nijipange vizuri ili niufanyie kazi ushauri wako na wanajamii wote...

Huyo demu nahisi atakua na upele au makovu sehemu za siri, ndio maana anaogopa kuonyesha kitumbua chake hadharani.!

Waoga hawastahili kuitwa wanaume.
Umesafiri toka Mwz hadi Singida,
Umekula denda, imepiga madole; halafu kirahisi unapiga chini qa sababu ya kitoto.
kama hatari tayari umeshaipata; halafu waokimbia nini!
Ulichofanya ni upumbafu
Na ndio hatari ya kutumia akili ya dhakari kufikuri
Unapokuja kutumia akili ya kichwa, unatoa maamuzi ya kipumbafu kabisa.​
Sabung'ori wewe ni PAMbaF kabisa.

Rudi fasta kachape mzigo ila kumbuka KONDOMU

Bazazi!

...Bazazi siamini kama unamaanisha hiki ulichoa-kiandika hapo juu...yaani unataka kuniambia ya-kwamba mwanaume jasiri ni yule anayefanya mambo bila ya kutafakari kwanza!?,na yule anayetafakari na kutenda ni mwooga?...no nitakubaliana na wewe ktk mambo mengine lakini ktk hili utanisamehe coz sidhani kama sifa ya mwanaume jasiri unae-mmaanisha ni yule asiye tafakari

Nadhani utakuwa ulikuwa na ushauri mzuri sana wa kunipatia badala ya matusi na kunidhihaki hivi(na nukuhu)..."ulichofanya ni upumbafu na ndio hatari ya kutumia akili ya dhakari kufikiri,unapo kuja kutumia akili unato maamuzi ya kipumbafu"(mwisho wa kunukuu...ndugu yangu Bazazi nakuheshim sana japo hatufahamiani,kama nilivyotangulia kusema mwanzoni kabisa mwa uzi huu "heshima mbele kwa wanaJF na wandugu wote"...sioni ni kwa nini uporomoshe maneno yasiyo faa ktk janvi hili la wastaharabu,ebu tujaribu kuwa wavumiliana..."HILO ULILOFANYA SI SAWA!"...

Kuhusu kodomu,hizo shaka ondoa kwani nilizianda siku tatu kabla ya safari na nilikuwa sinampango wa ku-do nae nyama kwa nyama,katika hili nakushukuru kwa kunitahadhalisha...

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom