...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

Labda amekeketwa.......

Mbona walokeketwa wako poa tu japo wanakua wanaangalia kama mtu ni kabila lake na kama siyo kabila lake je anaufahamu wa watu dizaini hiyo.

Wako na kovu fulani kichwani kwa uelewa wangu ndiyo maana wanakua wachaguzi sana hawa waliyokeketwa na hawajiamini kabisa hadi wakuzoe sana.

Ila mziki wao CD 700
 
Mficha uchi hazai!

....methali yenye maana sawa na hii kule nyumbani Shirati tuna sema hivi "obusok'i busok'i kilele,kilekile burulaa!"(tafasili yake...mficha ficha maradhi kifo umfichua)...ahaaa ahaaa ahaaa...wapi wa-nyumbani Mr Ojoromong'o?...
 
Hizo zinaitwa sexual deviations. Ni ukengeufu wa kisaikolojia. Ni athari fulani ya makuzi yake. Yanaongeleka kama una nia ya dhati na yeye.
 
Back
Top Bottom