Sitaki kuolewa

mhhh bidada ghorofa litakuhug usiku na kukupa ujauzito??

ujauzito nitaupata hata clinic tena kwa kuchagua mbegu ninayoitaka , kuhugiwa hakuna maana sana kama raha 20% tena kwa muda mfupi 80% inayobaki ni karaha tupu, raha najipa mwenyewe kwa sababu ipo ndani yangu, ukisubiri raha toka kwa mwingine utaumiza kichwa sana.
 

Teh teh teh teh,,,despates bana naona unajipa hope! Sizitaki mbichi hizi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 

loser'sizitaki mbichi hizi.
 
Huu uzi umenichekesha sana duuh! Alafu waongo wakifukunyuliwa wanajuaga kupanic kumbe mnajuana nje ya jukwaa tens. Ndo kimbembe kilipoanza dah! Musijuwane jamani iiiish(in sukuma tone)
 
hiv jana niliwuliwa?
nilijiwuwa?
waliniwuwa?
au dubwana gani lilinikuta?
tafazali mtu yeyote mwenye mapenzi mema anihelp!
cc lara1, amu Dinazarde Khantwe @ et al
puleeez dada mkubwa anahitaji drip moja tu ya glucose.

Odo nisaidie adhabu ya Name calling humu.
Cc imuendee shem Matola maana kila nkiitafuta siioni.
 
Last edited by a moderator:
Odo nisaidie adhabu ya Name calling humu.
Cc imuendee shem Matola maana kila nkiitafuta siioni.
adhabu uliyomzawadia kwani ni ndogo odo?
msamehe bili kwangu!
wawache wahangaike nalo!
hujaloose chochote odo wangu!
uzuri wako najua u never pick wrong fights!
so ushamaliza hilo tupa kure ujilie visra tu!
 
Last edited by a moderator:
Odo nisaidie adhabu ya Name calling humu.
Cc imuendee shem Matola maana kila nkiitafuta siioni.

name calling adhabu yake ni ban mpaka ya miezi mitatu, hiyo post mods waliifuta lakini siyo issue.

si kila name calling inakuwa mtu ame-expose jina lako bali mtu mwingine huwa anaweweseka tu, hata le mutuz mk8kabana koo naye lazima akutaje jina ambalo si lako kwamba upo marekani na unalishwa na mwanamke au atakupa undugu na ngwilulupi family.

close casket, wacha misha yaendelee.
 
Last edited by a moderator:
dah umeniongezea furaha mkuu,mauno ya kwenye sherehe ni hatari

Pengine wanaouliza hivyo wanazichukulia ndoa au kuolewa nia fasheni ya maisha tofauti na maana halisi. Wanawake wamekuwa wengi kuliko wanaume, sasa kwa wale wanaokosa wanaume iweje?
 
mimi naamini ndoa ni hitaji muhimu litokalo ndani ya mtu, so mara hitaji linapomzidi mtu kila mtu hua na sababu yake maalum, so mda ukifika kila mtu huolewa,
 

Usianze tena baadae kuhangaika kutafuta wachumba
Sent from my Nook barnel & Tablet
 
usipate tabu, tafuta uzi wenye heading 'maskini Sofia wangu ...'

Ni aina ya uandishi, mie victim number one, natumia nafsi ya kwanza. Sioni shida kabisa.

me naona hakuna haja ya kuanza dada yangu, wifi yangu au jirani yangu anaomba ushauri, inatakiwa tujue sio wote watuzungukao wana aces ya kupost jf, na kinachomata ni kichwa cha habari husika kinachoombewa ushauri sio hilo jambo limemkuta nani.Kuna tabia humu ya kutoa ushauri with bias , sasa kama unaona upo katika position ya kushauri shauri kama muhusika angeona thread zinarelate atalink kama hajalink hazina uhusiano. lets coments kwenye thread sio mleta thread. Poleni mtakaoelewa tofauti
 
acha uongo kwa yote uliyyongea its ok but usiseme ur not concerned!!! u might not be panicking but for sure ur at least concern hasa issue ya umri kwenda, unless hujavuka 30, ila kama ushavuka 30 and ur not concern, u need prayer!!!
 
kwani una miaka mingapi? nataka nikueleze ukweli mimi kama mwanaume.

huna haja ya kuuliza umri, navoelewa watu wanaposema umri kuenda wanamaanisha suala la kuchelewa kuzaa. Lakini navojua mimi suala la kuzaa lipo tu haijalishi mtu kaolewa/kaoa au hajaolewa/hajaoa. Mtu akiamua kuzaa anazaa wakati wowote bila kujali hali ya ndoa. Maisha yenyewe ya siku hizi sio ya kung'ang'aniana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…