Sitaki kabisa mume mlevi

1-3 zinahusika,Ila kazi napiga ili niweze kupata vyote,nilijaribu kuacha pombe nikaishiwa hata 10 nakosa. Kunywa pombe upate akili.
 
Sasa hapa sijui itakuwaje? Maana mimi kwenye jokofu langu lazima kuwe na bia za kutosha! Kila SIKU ni LAZIMA nipige moja au mbili baada ya Dinner,na zikipungua wife lazima aongeze! Japo yeye hagusi!
Mungu anakupa wa kufanana nae Mkuu, ndiyo maana wife karidhika na anakuongezea zikipungua.
 
Nyie bado mpo kwenye fantasy tu, mwanaume anabadilika kuendana na familia yake, mwanamke ndo anaweza kumshauri na kumfanya mwanaume akabadilika, so huwez kupata mwanaume perfect kabla hujamwelewa kiundani
 
Nyie bado mpo kwenye fantasy tu, mwanaume anabadilika kuendana na familia yake, mwanamke ndo anaweza kumshauri na kumfanya mwanaume akabadilika, so huwez kupata mwanaume perfect kabla hujamwelewa kiundani


mm wangu pampula... macho kama kenyata!ila nshamjulia !wala simnunulii adhabu yake akiishiwa pesa....unaweza taka mpelelka kwa mwingira!ila kuwa na mlevi inahtai wito sana sana
 
Kuna walev na wanywaji,
Ila Mim Namuomba Mungu Sana Mwanangu asinywe Bia, Aaaagh, Ukilowea ni ngumu sana kutoka.
 
Kuishi na mume mnywa pombe ni kipaji.
 
Kuishi na mume mnywa pombe ni kipaji.
Mzee wangu alikua anakunywa kistaarabu, sahv hanywi, mama alikua anagusagusa kidogo, so kunywa ni normal, na wamenisomesha hadi nikaunguza vitabu so hamna kitu kipya nitakachoona kwa mwanaume anayekunywa, km hana maadili ni yeye tu alone, usiunganishe wote, ni km kusema wanawake wote malaya just kwasababu dem wako umemfumania
 
Nafikiri ulinielewa niliposema ni kipaji. BTW hao wote walikuwa wanywaji hivyo chupa na mfuniko.
 
Hahahah mwanafunzi ni Undefeated ,asokubali kufel sasa km unahisi utamtoa kwa TKO...Jipange sanaaaaaaaaaa.

Aya Sikichaa kapewa Rungu?? Ujifunge kanga kiunoni
Kama ni mambo ya kujifunga kanga kiunoni na rungu mkononi basi zile vocabularies zako tufanye nimeshazielewa.
.
I will keep quoting you until connected with your Ras S.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…