Sitaki dawa

Sitaki dawa

Ni kitu kilichojijenga kwenye maisha yangu na nilishaapa hakuna uwongo unaoweza kupita mbele yangu salama... Ndo mana mi nilivokuwa school watu walikuwa wananichukia sana maana i was always crash with facts...

Mimi siyo kibabu....uongo, kweli?
 
I AM SORRY TANZANIA..I AM SORRY GUYS!

I AM SORRY JF AND ALL WHO CALLED ME MENTOR.

ADIOS...
Acha uzembe tafadhali, kuwa na HIV wewe sio kukosa Scholarship, na sio mwisho wa maisha, tafadhali sana MAN UP na ukimaliza kusikitika na kuhuzunika ujue maisha yanaendelea na utaleta hasara kujitia ushakufa otherwise hakuna hasara uliyoleta ni kikwazo kidogo tu kimejitokeza. Be strong, accept and move on.
 
Huna jipya bro. Unatoa hoja nyingi zisizo na mantiki.kwa mfano unasema HIV test haipimi AIDS badala yake inapima vitu vingine , nivitu gani hivyo? Kwanini vipimo hivyo vioneshe + ve kwa mwenye AIDS na - ve kwa asiye na AIDS? Bado unatoa majibu ya jumla jumla.lete hapa sources zinazojulikana na kukubalika na jopo la wanasayansi wanaotambulika kutoka vyombo vinavyojulikana.nitakuamini. don't bit around the bush.haya majibu ya kuniambia kuwa mifano ipo mingi siyataki.nataka ushahidi wa unachokisema.otherwise acha kudanganya watu waache dawa za kuongeza maisha wafe mapema.kwanza nakuhakikishia kama si watu kumeza vidonge tungepoteza ndugu zetu wengi mapema sana.

Unaona hapo kwenye bold?Yaani sijui maneno unayoyaongea unayatoa wapi,nikikuuliza uoneshe ni wapi nimesema kama hivyo ulivyosema wewe hapo kwenye bold utanijibu nini?Mimi nimesema kwamba vipimo vinavyoaminika kwamba ni vya HIV havipimi HIV kwa muonekano lakini wewe unasema kwamba mimi nimesema HIV test haipimi AIDS,yaani unaongea vitu usivyovijua wewe.Hivi mkitulia ili mfundishwe mnapata hasara gani?Mimi sikujui,wewe hunijui,sasa unaogopa au unaona aibu kwa sababu gani?

Ndio maana huwa nasema kuna watu wanatembea na miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine,I sorry for harsh words,lakini huo ndio ukweli,niko tayari kukufundisha kama utapenda na utakuwa tayari kwa kuwa nakupenda.

Hapo kwenye post uliyoniquote nimeweka hints 3 ili kuondoa ule usemi wenu kwamba mimi naongea maneno mengi matupu yasiyo na hoja wala msingi.Nimeweka hints hizo ili tuanze kutoa ushahidi wa kweli kwenye kila jambo hapo kwenye hints,kila upande uje na nondo zake.Sasa je,wewe hukuzisoma hizo hints?Au hukuzielewa?

Halafu pia sina uhakika kama HIV alipotangazwa kama ni 'PROBABLE' cause ulielewa maana yake ni nini.Unajua maana ya probable wewe?Sasa nakuwekea kipande cha hiyo conference ya mwaka 1984 HIV alipotangazwa kama ndio PROBABLE cause wa HIV.

Ninyi si mnataka ushahidi?Sasa angalia hiyo video na usikilize kwa makini,ukishafanya hizo itafute hiyo video kwenye youtube na usome comments zote chini yake ili uone wenzetu wazungu nao wanasema kuhusu suala hili.Hapa nataka kukuthibitishia kwamba wazungu na sisi ni tofauti kabisa,wao wanajitambua lakini sisi tumekalia kutunisha mishipa ya shingo na mate kuruka mdomoni kubisha hata bila kujua tunabishania nini.

Angalia comments za wenzetu wazungu kwenye hiyo video ili ujionee mwenyewe wanasemaje,maana ninyi mmekalia tu eti "mbona wazungu nao wanakufa",kila sehemu wajinga wapo,hata hao pia wapo wajinga,ila wachache sana,ukisoma comments zote hapo kwenye hiyo video ndio utatibitisha kwamba wazungu wameshajua uongo huu muda mrefu tu,pia utathibitisha kwamba wazungu wako smart upstairs katika kulidadavua jambo hata kama ni jipya kwao,hawapingipingi tu hovyo kama sisi.

Msipeane moyo eti "nimetumia ARVs kwa miaka 15",ARVs zina muda wake kwenye mwili kutokana na tolerance ya mwili wa mtu....muda ukifika ni matatizo tu.....sipendi jambo hilo liwafikie walengwa,lakini ndio ukweli ulivyo.Halafu nasikitika kwamba hamjui hata kama mtu hatumii ARVs anaishi kama kawaida tu miaka yote aliyopaswa kuishi duniani.

Hivi mmeshajiuliza hili kwamba;Siku zooote mtu yuko safi tu kiafya,lakini akienda kupima na kuambiwa ni HIV+ basi ndio anaanza kuumwa na matatizo hayaishi?Ina maana kila mtu anapoenda kupima na kuambiwa ni HIV+ anakuwa amelenga siku muafaka ya kwenda kupima?Is that coincidence?

Fuatilia hiyo video hapo chini:Tafakari haya maneno "PROBABLE CAUSE",halafu hakukuwa na hata scientific paper moja wakati wanatangaza upuuzi huo ili kufanya kile kinachoitwa probable kuwa real.Kama ilikuwepo lete hapa tuione,vinginevyo ninyi ndio mnashabikia mambo msioyajua.

 
Deception kama hutojali hebu nieleze ushauri wako ninini? Badala ya kutumia ARV unashauri watu hawa wenye maradhi ya UKIMWI watumie dawa gani? Ama wale matunda tu na kufanya mazoezi.nijibu tafadhali.

Sina uhakika kama akili yako iko sawa kupokea nitakachokwambia,nataka nijiridhishe kwanza kama wewe uko sawa au la,maana unabadilikabadilika,sikuelewi kabisa.Halafu UKIMWI sio maradhi,ndio maana nasema mnatakiwa mtulize munkari mfundishwe,lakini hamtaki.Kama huamini nachokisema basi muulize daktari yeyote anayejielewa na yeye atakwambia vivyo hivyo kwamba UKIMWI sio maradhi.

Suala hili linahitaji utulivu sana,lakini ninyi mnachukulia kirahisi tu.Halafu ninyi hamjui kama watu kama mimi ndio marafiki zenu na tunawapenda,lakini badala yake mnawashabikia wale wenye nia ya kuwaua taratibu.Yaani rafiki mnamuona kama adui halafu yule adui halisi ndio mnamsujudia bila kujijua.

Ukiwa tayari nitajua tu,na kama hutaki kuwa tayari na umesusa,basi sikulazimishi kwa kuwa silipwi hapa,nitaendelea na wengine tu.
 
Naona kama unajichosha tu mkuu. HIV virus wanaosababisha kupungua kwa kinga ya mwili wapo na wataalamu bado wanaendelea kutafuta dawa kukiangamiza kirusi hiki. Usidanganye watu hapa UKIMWI upo na UNAUA.watu wabadili tabia na kuchukua tahadhari. Hakuna cha mindsets wala nini.
Unachosema ni kweli lakini pia alichoandika huyu ndugu kinaweza kua na ukweli vile vile,wakati mwingine hata mimi hua natazama tabia za watu mpaka unasema kama kweli HIV ingekuwepo ni nani angekua mzima??tunafanya kazi na wake za watu/waume za watu na huko mitaani kwa vijana na wadada,wababa na wamama,sasa hv watu wanangonoka mpaka MUNGU mwenyewe anashangaa,nani angekua mzima?lakini angalia jinsi Maralia ivyoua watu Afrika hapa,cancer na maladhi mengine vinazidi vifo vya HIV.nina rafiki yangu pale Mwanza ni muhindi mzee mmoja maalufu tu mjini ni mtu ana hiyo HIV na ameigundua kua anayo mwaka 1987 mpaka leo,hua anapatwa na magonjwa kama homa kali,vikohozi na mengineyo ambayo watu wote hupatwa lakini anapona na anadunda kama kawaida mpaka hapa sasa hv ninaandika haya.yaani hiki kitu HIV sijui ni mdudu au ni laana au ni kitu gani
 
.... Wewe tunaelewana kwa sababu kwanza unakubali kuwa kirusi HIV yupo na anasababisha kupungua kwa kinga ya mwili.

Mnaweza kuelewana katika jambo ambalo ni uongo/batili lakini msijijue.Kuelewana katika jambo fulani haina maana kwamba jambo hilo ni kweli.
 
Mentor this does not mean a lunch with you and your twin Watu8 is no longer..... am still waiting ujue...... Akemi ........ want to have a one to one session with you and your twin.

Ukija uje na ganja maana sijalipuliza sikunyingi.

Kasie.
Am watching......
 
.... makubwa katika sekta hii ya medical.Mfano kuna yule mgunduzi wa kifaa kinachoitwa PCR ambacho kinatumika ktika kupma viral load anakataa uwepo wa hii ktu(jina la huyo mgunduzi nimelisahau)ila niliwah kufuatlia hli swala.

Huyo anaitwa Kary Banks Mullis.Mwambie amtafute na amsikilize vizuri huyo.Yaani huyo Prof ana ubongo mkubwa sana,walishamtunuku Nobel Prize wao wenyewe kuonesha kwamba wanamkubali,lakini alikuja kukataa kwamba HIV hasababishi AIDS ndio akaanza kuwa adui wao.

Kama watu bado hawajiulizi hapa pia,basi wanatembea kama makasha tu huku akili zao zikiwa zimeshikwa na wengine.Fikiria kwamba mtu anagundua PCR halafu wakati huohuo anapinga kwamba HIV hasababishi AIDS,ndio maana mimi husema hapa kwenye hili bila kutulia watu hawawezi kuambulia kitu,wataishia kushabikia wasioyajua tu.

Kama yupo mtu anapinga kwamba Prof Kary Mullis hakubaliani na suala hili la HIV/AIDS aje hapa tumpe evidence.
 
Yan wakat naanza kutumia dawa nilikuwa na miaka 10 na nilikuwa na CD4 8 tu... Hakuna aliyeamin kama ningesimama au ningefika Leo ila baada ya kutumia dawa nilianza kunenepa na nilipopimwa tena CD4 baada ya miez sita nilikuwa na CD4 230

Kama ni kweli,nina uhakika haukuwa unaugua ukimwi,maana ukimwi sio ugonjwa.Hebu kuwa honest,eleza ni ugonjwa gani uliokudhoofisha/kukulaza kitandani kipindi hiko,halafu useme ulipewa dawa gani zaidi ya ARVs,usifiche.Mafano,kama ni malaria huwezi kupewa ARVs,kama ni TB huwezi kupewa ARVs,lazima wakupe dawa ya ugonjwa husika pamoja na hizo ARVs.Sasa tuambie ulikuwa una ugonjwa gani hasa,ukimwi sio ugonjwa.Hapa ndipo watu wanapodanganyika.

Wewe ndio mfano mzuri wa kutumia.Ungekula mbegu za mlonge au mboga za majani na matunda pia CD4 zingepanda,nani anapinga hili?

Haya naomba ujibu hoja za pale juu ili tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom