Hyo Story Ni Next Level Bruh,,,,yaani Inateka Hisia Za Mtu.Halaf Nimependa Hvyo Ulivyoweka Kama Vipande Tofauti Tofaut Vya Flashbacks,,,,its Epic Man....Keep It Up BruhI AM SORRY TANZANIA..I AM SORRY GUYS!
I AM SORRY JF AND ALL WHO CALLED ME MENTOR.
ADIOS...
Kuna dada mzungu aliolewa na mhindi, walipata mtoto mmoja wa kike. Kuna siku yule mhindi anatoka kazini alijikuta na homa kali, ilibidi akimbizwe hosptali, kufika kule vipimo vikachukuliwa kuangalia infection inayosababisha homa vyote vimekuja -ve. Alizidiwa katika muda wa masaa 24 hospitali alikata roho. Vipimo vya HIV vimekuja +ve wakati jamaa akiwa marehemu tayari. Familia yake walikataa kabisa ndugu yao hawezi kuwa HIV+, baada ya mazishi mke wake alipimwa alikutwa +ve, lakini mtoto hakuwa na matatizo. Yule dada alianza kutumia dawa, hii story amenipa mwenyewe, hii pia inanifungua macho jinsi wenzetu walivyo wazuri wa kuweka mambo bayana, labda kwakua wamefanikiwa katika kukontol ugonjwa.
Kunauwezekano mhindi alipata maambukizi baada ya mtoto kuzaliwa.Pamoja na kwamba yote yaliyoelezewa kumuhusu HIV si kweli,lakini hata huyo HIV hawezi kuua kwa staili hiyo ya sudden death,he he heee....yaani unaumwa na kufa ghafla....hata ule uongo tulioelezwa kuhusu HIV hauko hivyo.Huyo atakuwa amekufa kwa jambo lingine kabisa,kuna mambo mengi tofauti na uzushi huu wa HIV/AIDS yanaweza kuua kwa staili hiyo,wewe hujui tu.Kumbuka pia hata kwa kutumia maelezo yaleyale ya uongo,tumeambiwa HIV kwanza hushusha kinga,then ugonjwa mwingine unaofahamika ndio huingia kukuua,mfano malaria,TB nk...sasa huyo muhindi hakuonekana na ugonjwa wowote unaofahamika...yaani hata ule uongo tulioambiwa kuhusu HIV haufiti hapo.
Halafu nashangaa kwa nini hujiulizi ni kwa vipi mtoto wao hana matatizo wakati wazazi wake walikuwa hawatumii ARVs?Maana kama mama yake alikuwa anatumia ARVs wakati huo,watu/wewe ungesema kwamba ARVs ndizo zimemwokoa mtoto,sasa mama alikuwa hatumii ARVs lakini mtoto hajaathirika na wewe hujiulizi, na mama yake hajiulizi.Au ndio labda mungu amemwokoa eenh!!
Kuna kitu nadhani ni kigumu kueleweka na wengi hapa,naweza nikawa napoteza muda bure.Let me try again.Inaniuma kuona watu wanaangamia wakati ukweli naujua.
Tuendelee kusubiri broHapa nimeamka na kwanza nikafungua huu uzi ili nione pengine jamaa amekanusha na kusema alikua anatupa simulizi ya kutunga
Shukrani... sana.Natanguliza pole zangu
Wapendwa, thanks for the wishes ingawa sidhani kama ninastahili pole kutoka kwenu.
I am on my way kwenda Moshi kwa wazazi, kichwa kinaniuma kuwaza nitamueleza nini mama yangu. If only I could turn back the years.
Kama nilivyosema mwanzo sitatumia dawa ya mtu yeyote ile. I chose this.
![]()
![]()
I think I'll be the second person to confess after Mentor...
do you think I wish for this?Be careful what you wish for.
do you think I wish for this?
if so Mentor is doing the same.
Leo imekua siku mbaya sana kwangu, hata sijaweza kufanya kazi zangu za kila siku kama ninavyo paswa nifanye.Tuendelee kusubiri bro
