Sitaki dawa

Sitaki dawa

Hivi nyie wote mnamuamini Mentor? Si kasema hii ni hadithi yake ya nwisho...maana yake ni hadithi. Someni mjifunze but hakuna kitu apa kijana anatuchezea akili.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe hadithi huyu kijana anahitaji achapwe viboko au atumbuliwe jipu naona limeanza kuoza sasa nakuwa usaha
 
bestito kuna uzi mwingine kule umewekwa na NAANTOMBE MUSHI sijui kweli huyu anacheza na akili za watu maana naona kama ni stori vile ila imenishangaza kujitungia stori kwa ugonjwa ule kazi ipo aisee yaelekea kichwa chake kimedata
kama katunga na anatuchezea akili ni sawa kuliko kutuumiza roho kwa taarifa kama hiyo.
 
Soma kwa makini hapa chini:

Prof Peter Duesberg ana paper nyingi tu,labda wewe umesoma mojawapo.Sasa angalia point inakuja.Umesema kwamba Duesberg amesema AIDS haisababishwi na HIV,its fine,ni kweli kasema hivyo na huo ndio ukweli,lakini hukusema Duesberg amesemaje kuhusu sababu nyingine tofauti na huyo HIV zinazosababisha AIDS.

1.Kwa kuwa Duesberg amesema HIV hasababishi AIDS,kwa maana hiyo sababu ya AIDS sio HIV.
2.Kama HIV hana uwezo wa kusabisha AIDS,sasa hilo jina lake linawakilisha nini?Maana ya HIV ni Human Immunodeficiency Virus(yaani kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini kwa binadamu).Sasa kama kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga(HIV) hakiwezi kufanya kama jina lake linavyosema(yaani hakina uwezo wa kushusha kinga ya mtu),sasa jina lake linaleta mantiki kweli?Je,wewe huoni kwamba hili ni jina tu lisiloakisi uhalisia wa jina lenyewe?

Sasa nadhani unaelewa ninaposema hakuna HIV.Ninaposema hakuna HIV maana yake kwa kirefu ni kwamba hakuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini.

Kwa hiyo inabidi ufahamu kwamba HIV ni jina tu kama majina mengine ambalo watu wawili tu wamekaa na kukubaliana kutoa jina hilo na kukipa kitu ambacho hakina hata sifa ya kufanya kama jina hilo linavyosema.Sasa nikisema hakuna HIV nadhani unanielewa.

Kwa mfano mtu akikuuliza unaijua rangi ya upepo?Swali hili lina exist lakini mantiki hakuna.Yaani swali lipo lakini ni invalid.Ni sawa na kusema wewe una uwezo wa kuchuchumaa na kusimama kwa wakati mmoja,hapo sentesi ipo lakini ni invalid.

Kama Duesberg amesema AIDS haisababishwi na HIV na ukweli ndio huo, basi jua wazi hata mimi ninaposema kwamba hakuna HIV ni jambo lilelile tu,yaani hakuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga(AIDS).

Done.
Yaani nimekusoma ila it is ironic you call yourself deception! How do you expect anyone to take you seriously with such a name?
 
Am watching......

Hhahahahaa babuuu Big Sam hahahahaaa..........

It's so sweet to be watched ....... you are my Big Sam and there is no other Bigi, do you know that Kasie love you....!!??

Muah!!
 
Nini Huko!
Uchokozi Tu Watu Tumefunga Apa.
Umwambie Shemeji Avae Soksi Hata Kama Unamuamini Maana Chovyachovya Inaponza. I Dont Wanna Lose You Too Ingawa
Mie Ulishankataliaga Kuchovya.
 
Naendelea kuwaza kama alichoandika Mentor ni stori au ni scenario ya kweli kabisa..... Ohhhh So sad.
Mwenyewe bado sitaki kuamini kama ni kweli. Naamini ni fundisho anatamani kutupa ila ametumia hiyo njia kufikisha ujumbe
 
Ahahahahahaaaaaaa holaaaaaaa😀😀😀😀😀😀.
Wewe ni age mate wangu....ujana ushatupita......mtu umehudhuria food evening shebby robby 90s ujana na wewe wapi na wapi?! Age hio vijana/watoto wa siku hizi wanatuita babu....Kumbuka MJ tulikuwa tunamuita babu wakati amerudi mara ya pili.....!
 
Wewe ni age mate wangu....ujana ushatupita......mtu umehudhuria food evening shebby robby 90s ujana na wewe wapi na wapi?!

Unaona sasa ulivyo sucker? Uliwahi kuniona huko kwenye food evenings au unaamini hook, line, and sinker kila niandikacho humu?

Hunijui sikujui, huo uhakika wa mimi kuhudhuria food evenings unautoa wapi wewe? Teh teh teh we jamaa bana...

Age hio vijana/watoto wa siku hizi wanatuita babu....Kumbuka MJ tulikuwa tunamuita babu wakati amerudi mara ya pili.....!

Age gani unayozungumzia? We ndo mama yangu kwani?

Kwanza, hivi unanijua wewe au huwa unanisoma tu humu?
 
Wewe ni age mate wangu....ujana ushatupita......mtu umehudhuria food evening shebby robby 90s ujana na wewe wapi na wapi?! Age hio vijana/watoto wa siku hizi wanatuita babu....Kumbuka MJ tulikuwa tunamuita babu wakati amerudi mara ya pili.....!
Ngoja niulize kishabiki bila kumbeba komredi Nyani Ngabu. Ujana huishia umri gani?

Kama itawezekana na hautàjali kwa upeo wako naomba age limits za.... utoto, ujana, uzee, ukongwe.
 
Wewe ni age mate wangu....ujana ushatupita......mtu umehudhuria food evening shebby robby 90s ujana na wewe wapi na wapi?! Age hio vijana/watoto wa siku hizi wanatuita babu....Kumbuka MJ tulikuwa tunamuita babu wakati amerudi mara ya pili.....!

Kama nilijiunga JF 2006 kutokana na hali ya tech ilivyokua, at least member unakua kwenye 20s na sasa nitakua 30s, hakuna ubishi. Ila kutokana na mauzoefu ya maisha na ninavyomwaga historia ya viwanja inaashiria nipo kati ya 40 na 50. Kuna vitu millenials hawavijui, hawajavishuhudia, hawana uzoefu navyo.
 
Ngoja niulize kishabiki bila kumbeba komredi Nyani Ngabu. Ujana huishia umri gani?

Kama itawezekana na hautàjali kwa upeo wako naomba age limits za.... utoto, ujana, uzee, ukongwe.

Jamaa anadai mi ni age mate wake...wakati hata simjui naye hanijui.

Teh teh teh....watu bana.

Mtu unaweza ukatunga tu mambo humu na ukawazoa wengi sana aisee.

Sasa hapa itabidi ni enlist msaada wa mzee Mtambuzi na sister waje kukata mzizi wa fitna...
 
Jamaa anadai mi ni age mate wake...wakati hata simjui naye hanijui.

Teh teh teh....watu bana.

Mtu unaweza ukatunga tu mambo humu na ukawazoa wengi sana aisee.
Ishu ni kwamba ulishasema uliwahi angalia movie Cameo sinama... yani ishu za drive inn walotokea usweke wanaohisi ilikuwa enzi za ukoloni. Kuna watu ukiwaambia pale ubalozi wa usa baby... kulikuwa na uwanja wa basketball wanahisi ilikuwa enzi ya Nyerere...

Zile timu pendwa kama Pazi wanahisi zilikuwa za kikoloni.... basi tu hamna jinsi...
 
Back
Top Bottom