CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Soma uzi wa Evelyn Salt kuna watu wametengeneza list
Link tafadhali...
Soma uzi wa Evelyn Salt kuna watu wametengeneza list
Mkuu Deception nimesoma hizo karatasi (paper) za prof Duesberg ila nilichoona ana-argue kuwa AIDS haisababishwi na HIV ingawa hasemi kuwa HIV haipo kama wewe unavyodai. Na pia findings zake bado sio conclusive kwa sababu walimkatia funds za kuendelea kufanya research. Ametumia statistical analysis by comparison with other epidemic diseases characteristically to argue that HIV is NOT the agent of AIDS and his arguments makes a lot of sense actually.
Hivyo basi mimi nafikiri wewe unachotakiwa kufanya ni kuwakilisha huu upande wa pili wa shilingi lakini sio kudai ndiyo mwenye ukweli wote kama unavyofanya sasa.
Mentor katika ubora wake nimeisoma ikanikumbusha Verrosa story........asante kwa bandiko hili nitaprint niwapatie vijana wangu......hongera sana kwa kusaidia vijana wajitambue na wasifanye makosa ambayo itakuwa ni majuto kwao milele.....
KabisaNgumu kumeza .....mentor maisha yapo tu ukikubaliana na hali yko utaishi maisha marefu....SITAKI DAWA imewafanya watu jana walale na majonzi
Oooh me nilimquote ushimen. Hizo arguments za Deception ntazipitia siku nikitulia...
Kama mngejua ninachokijua mimi kuhusu uongo huu,nina uhakika wala msingekuwa na huzuni au majonzi hayo mliyonayo kuhusu Mentor.Mimi nina data za watu humu na mitaani,they are fine baada ya kusikiliza haya ninayosema.
Mnapotoa quotes kwenye biblia ili kumfariji mentor kumbukeni pia kwenye hiyohiyo biblia kuna quote inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ,je quote hii mnaijua ina maana gani?
Sehemu mojawapo ambayo quote hiyo inafanya kazi ni kwenye suala hili la HIV/AIDS.Watu hawajui ukweli,hawaulizi,hawataki hata kujua,wana ushabiki wasiouelewa hata wanashabikia nini,wavivu wa kusoma hata ukiwapa mabandiko,hawasikilizi hata ukiwawekea documentary.Yaani ni wavivu wa kila kitu halafu wakati huohuo wanataka eti kujua ukweli,sasa mtu utajuaje ukweli kama hafuati njia hizo,au watu wanataka elimu ije kama roho mtakatifu alivyompa mimba maria?
Ndio maana wazungu wanadharau sana jamii hii yetu,suala la HIV/AIDS kwa weupe liko kidogo mno kwa kuwa na huko nako wajinga pia wapo,ila wachache sana,wengi wanajitambua na ni wadadisi,tumebaki sisi tu tusiojua tunatoka wapi na tunakwenda wapi,hatujui hata kwa nini tunaishi.Jamii hii yetu ni kama imerogwa.
Nikupe wewe Heaven Sent hongera kwa kuwa hata umethubutu kusema kwamba utafuatilia mabandiko haya utakapotulia,lakini wengi hawana hata habari hiyo,wao wamekalia ushabiki tu na kutunisha mishipa kubishana kwa kejeli.
Mkuu nimesema trusted and reliable source kwa sababu wapo watu ambao huja na tafiti zao lakini zina proof wrong. Nitakupa mfano wa babu wa loliondo aliwapa Maji yake watu lakini hayakusaidia watu kupona HIV.
Uzuri wa vyanzo nilivyokuomba unipe taarifa ni kwamba conclusion hufikiwa baada ya jopo la wataalamu NGULI kuafikiana. Mkuu unaweza kututhibitishia kwamba W.H.O wanahusika katika kutengeneza HIV ( fake) Kama unavyoita?
Huna jipya bro. Unatoa hoja nyingi zisizo na mantiki.kwa mfano unasema HIV test haipimi AIDS badala yake inapima vitu vingine , nivitu gani hivyo? Kwanini vipimo hivyo vioneshe + ve kwa mwenye AIDS na - ve kwa asiye na AIDS? Bado unatoa majibu ya jumla jumla.lete hapa sources zinazojulikana na kukubalika na jopo la wanasayansi wanaotambulika kutoka vyombo vinavyojulikana.nitakuamini. don't bit around the bush.haya majibu ya kuniambia kuwa mifano ipo mingi siyataki.nataka ushahidi wa unachokisema.otherwise acha kudanganya watu waache dawa za kuongeza maisha wafe mapema.kwanza nakuhakikishia kama si watu kumeza vidonge tungepoteza ndugu zetu wengi mapema sana.Nani amesema kwamba WHO wametengeneza HIV?Yaani ninyi mnanipa shida sana,yaani mnatoa maneno hewani na kuniwekea mdomoni wakati sikuwahi kusema hivyo,hii ni shida sana,mimi nasema kingine lakini wewe unaelewa kingine kabisa ambacho sikukisema,kwa mtindo huu mnastahili kuwa katika hali mliyonayo kiuelewa.
Sasa tuangalie hao ambao wewe unawaita ni trusted source.Mwaka 1984 Magareth Heckler alimtangaza Robert Gallo kama ndiye mgunduzi wa HIV(kama mnavyomwita) bila hata kuandika scientific paper moja kuthibitisha hilo,bila hata ya jopo la wanasayansi wengine kukaa pamoja na ku verify alichokisema Gallo.Walitangaza kwamba "the probable cause of AIDS has been found".
Sasa hivi the termed probable cause sasa amekuwa real cause na bado hakuna scientific paper iliyojadiliwa na wanasayansi wengine kuthibitisha hilo.Sasa wakati HIV anatangazwa hawakuwa na scientific paper na hawakuwa na uhakika kwamba HIV ni sababu ya AIDS na ndio maana walisema "the probable cause".Lakini pamoja na figisufigisu yote hiyo,WHO wamekubaliana na kina Gallo bila hata Gallo kuleta scientific paper kuthibitisha hilo.Je,bado unawaamini WHO kwamba ni trusted source?
Kama bado unawaamini WHO kwa hili basi WHO watakuwa wachawi.Au kama wewe unapinga hiki ninachosema basi lete scientific paper ya R.Gallo ya mwaka 1980's kuthibitisha kwamba HIV anasababisha AIDS.Kama utaleta hiyo paper hapa basi wewe ni mchawi,kwa maana hata Gallo mwenyewe hana hiyo paper.
Kina Peter Duesberg wanajua figisufigisu ya hao wanaoitwa wagunduzi wa HIV,ndio maana hawakutaka kabisa kushiriki katika mauaji haya ambayo yanaendelea hadi leo hii.Mauaji haya anasingiziwa HIV kumbe ARVs wanazokupa ndizo zinakunyonga baada ya kuzitumia kwa muda mrefu,ukiishi miaka 10 AU 15 kwa kula ARVs watasema "waoooo ARVs zimemrefushia sana maisha",lakini kama hutumii ARVs na kuishi zaidi ya miaka 40 au 50 au 60 (yaani your lifetime) basi watasema "Nooo huyu atakuwa carrier huyu,kwanini hatumii ARVs lakini bado hadhuriki na HIV?"
Najua watu wanasema mimi nazunguka si hit kwenye point,sijui wao kwao point ni ipi zaidi ya kuyafanyia kazi haya ninayoyasema.
1.HIV hasababishi AIDS-hapa scientific paper,documentaries na mifano hai mtaani ipo mingi tu,mtu mwenye kuhitaji niko tayari.Ila waliosema HIV anasababisha AIDS hawana scientific paper.Kama unayo paper ya miaka ya 80 wakati HIV anatangazwa lete hapa.
2.ARVs husababisha AIDS na magonjwa yale yanayowaua wale wanazitumia baada ya muda mrefu-Hapa kuna scientific paper,documentaries na mifano hai mtaani ipo mingi tu kuthibitisha hilo.Hata WHO wenyewe wanakubali kwamba ARVs zinasababisha AIDS,kama unataka mimi nitakupa proof,ukibisha hapa basi wewe sio mtu.
3.Vipimo vya HIV ni feki na havipimi huyo HIV kwa muonekano na badala yake hupima vitu vingine kabisa halafu wanawaaminisha watu kwamba wanapima HIV-Hapa kuna ù papers,documentaries na mifano hai mingi tu mtaani kuthibitisha hilo.Madaktari kutowahi kumwona HIV live kwa macho yao kwa kutumia vipimo hivyo ni moja ya proof,kama huamini uliza.
Nimeweka hizo hints hapo juu ili kuwajibu wale ambao wanasema mimi sielweki,kama kuna mtu au daktari yeyote mwenye hoja kwenye hizo hints hapo juu ajitokeze mbele.Mimi naitwa deception,na niko tayari hata kupelekwa mahakamani kutetea udhalimu huu ovu,ninajiamini ninachosema hivyo nina uwezo wa kukitetea hata mahakamani,hii ni kwasababu kuna kesi kama hizi ziliwahi kufanyika mahakamani nchi nyingine kama vile Ujerumani nk na sisi tunaopinga tuliibuka washindi mara zote lakini wanao support walifanya siri kuogopa aibu na fedheha ya kupoteza wateja wa ARVs.
Karibu yeyote mwenye uwezo wa kujadili hayo hapo juu.
Mi sikubalia nae kabisa.. Kwa sababu mim na miaka 15 natumia ARVs na kama sio kutumia doz nisingekuwa hapa Leo na commentDeception kama hutojali hebu nieleze ushauri wako ninini? Badala ya kutumia ARV unashauri watu hawa wenye maradhi ya UKIMWI watumie dawa gani? Ama wale matunda tu na kufanya mazoezi.nijibu tafadhali.
Asante sana mdogo wangu.huu ni ushuhuda usiokuwa na chenga.huyu bwana anataka kupotosha watu hapa.Mi sikubalia nae kabisa.. Kwa sababu mim na miaka 15 natumia ARVs na kama sio kutumia doz nisingekuwa hapa Leo na comment
Hata mie naomba isiwe na ukweli...Mkuu kama uliisoma vizuri Verossa ilikuwa na ukweli kiasi fulani, hii naomba tu isiwe na ukweli hata chembe. Usishangae kuona wafukunyuzi wanaenda kuufukunyua uzi ule.
Asante mkuu.Mimi si daktari lakini jamaa deception anasema watu wasitumie ARVs unakubaliana nae.? Nafahamu UKIMWI ni upungufu wa kinga.magonjwa nyemelezi ndo humfanya kiumbe kuwa dhaifu na hatimae kufa. Wewe tunaelewana kwa sababu kwanza unakubali kuwa kirusi HIV yupo na anasababisha kupungua kwa kinga ya mwili.mkuu @lincanshire vipimo ya HIV test mfano alere determine,unigold nk vinapima antibodies ambazo mwili unatengeza wakati wa mapambano dhidi ya maradhi katika mwili,na hizo antibodies ndo zinaaminika kuwa zanazarishwa na mwili ili kupambana na HIV.Na vile vile AIDS haipimwi mkuu.
Yan wakat naanza kutumia dawa nilikuwa na miaka 10 na nilikuwa na CD4 8 tu... Hakuna aliyeamin kama ningesimama au ningefika Leo ila baada ya kutumia dawa nilianza kunenepa na nilipopimwa tena CD4 baada ya miez sita nilikuwa na CD4 230Asante sana mdogo wangu.huu ni ushuhuda usiokuwa na chenga.huyu bwana anataka kupotosha watu hapa.
Great attitude mdogo wangu!!!Yes.. Tena ninayejikubali