Sitaki dawa

Sitaki dawa

Yani kama upo moyoni mwangu vile. "saikolojia" yangu imekufa kabisaaa. Kupima mbona napima tu hata sasa hivi. Kuna hii statement " Mungu ungeninyima scholarship, ukanipa afya yangu". Nishawahi ishuhudia statement kama hiyo kwa mtu wangu wa karibu sana. its a very sad long story, ila katika yote alimuomba Mungu amuachie tu afya yake, basi. Since that day HS niamke sijui nina majanga gani, ila nikiwa tu na afya, siumwi mmmh nasahau mengine yote kwa muda

I still pray ninachokiamini kuhusu story hii kiwe hivyo kweli. Otherwise as ulivyosema maisha lazima yaendelee whether + or -. As long as mtu huumwi kwamba umelazwa tu kitandani.....you just go out there and validate your dreams.
Uje hapa AMREF nikupime mwenyewe ndo ntaamini.

BTW nlikuwa nakuona we mjanja kumbe nlikosea. kwanini uogope wadudu bhana?? Yani umawaogopa mpk unaamua ukawapime??

Ila nashukuru kwa kuifuatilia hadithi yetu
 
Sina uhakika kama akili yako iko sawa kupokea nitakachokwambia,nataka nijiridhishe kwanza kama wewe uko sawa au la,maana unabadilikabadilika,sikuelewi kabisa.Halafu UKIMWI sio maradhi,ndio maana nasema mnatakiwa mtulize munkari mfundishwe,lakini hamtaki.Kama huamini nachokisema basi muulize daktari yeyote anayejielewa na yeye atakwambia vivyo hivyo kwamba UKIMWI sio maradhi.

Suala hili linahitaji utulivu sana,lakini ninyi mnachukulia kirahisi tu.Halafu ninyi hamjui kama watu kama mimi ndio marafiki zenu na tunawapenda,lakini badala yake mnawashabikia wale wenye nia ya kuwaua taratibu.Yaani rafiki mnamuona kama adui halafu yule adui halisi ndio mnamsujudia bila kujijua.

Ukiwa tayari nitajua tu,na kama hutaki kuwa tayari na umesusa,basi sikulazimishi kwa kuwa silipwi hapa,nitaendelea na wengine tu.
Sipo tayari kufundishwa ujinga na wewe mkuu.asante sana kila la kheri
 
Huyo anaitwa Kary Banks Mullis.Mwambie amtafute na amsikilize vizuri huyo.Yaani huyo Prof ana ubongo mkubwa sana,walishamtunuku Nobel Prize wao wenyewe kuonesha kwamba wanamkubali,lakini alikuja kukataa kwamba HIV hasababishi AIDS ndio akaanza kuwa adui wao.

Kama watu bado hawajiulizi hapa pia,basi wanatembea kama makasha tu huku akili zao zikiwa zimeshikwa na wengine.Fikiria kwamba mtu anagundua PCR halafu wakati huohuo anapinga kwamba HIV hasababishi AIDS,ndio maana mimi husema hapa kwenye hili bila kutulia watu hawawezi kuambulia kitu,wataishia kushabikia wasioyajua tu.

Kama yupo mtu anapinga kwamba Prof Kary Mullis hakubaliani na suala hili la HIV/AIDS aje hapa tumpe evidence.
Mbona hata wewe unapinga? Mpo wengi wenye akili za ajabu. Tupeni mbadala siyo kujifanya mnapinga huku hamtoi njia za kuokoa maisha ya watu huo tunaita ni ujinga wa mwendokasi.
 
jikeshupa damu ya mama na mtoto haviingiliani mtoto akiwa tumboni hivyo uwezekano wa kuambukiza mtoto akiwa tumboni ni asilimia ndogo sana,mtoto anaambukizwa wakati wa kuzaliwa au kunyonyesha vinginevyo mnaweza mkawa wote + lakin mtoto akawa - hiyo ipo.
Ni kweli... Na amin hilo Mtoto wangu atakuwa salama
 
Umetaja majina ya mabinti wawili ambao nimetembea nao majuzijuzi tu ingawa wote tumepima kwa style tofauti na tukaonekana safi.. Next time usirudie kutaja majina masafi kwenye mambo machafu.

Ila kama mchezo wenyewe ulioucheza ndo huu (Najua ni hadithi) basi huna haja ya kuhitaji dawa.. Acha waliopata kwa bahati mbaya wapewe. Yan ulicheza kama Kicheche vile. Nadhani una vinasaba vya "kicheche"
 
Hahahaha, Mentor, a good story as always, this time u have decided to put the fans in limbo for sure and u have succeeded. Thats what i call being an artist.
 
Mkuu kama uliisoma vizuri Verossa ilikuwa na ukweli kiasi fulani, hii naomba tu isiwe na ukweli hata chembe. Usishangae kuona wafukunyuzi wanaenda kuufukunyua uzi ule.
mbona mnaleta kitu ambacho kiilishapita mkuu usiwakumbushe wataanza kutafuta makablasha huko chemba hahaaa
 
Hata mie naomba isiwe na ukweli...
. Kumbe verrosa ilikuwa kweli basi mkuu maisha yana changamoto sana.....
ahahahaaaaa hamkumbuki maharage ya mbeya maji mara moja mkuu naweza hii fani ya utungaji inabidi nikusanye stori zake nimtengenezee kitabu kita kiki sana
 
Mwaka jana zilitoka scholarships mbili ambazo zilifadhiliwa/zote ziliitwa Commonwealth Masters Scholarships.

Iliyotoka mwanzo ilikuwa ufadhili kwa ajili ya kwenda kusoma South Africa. Hii ndiyo submission yake ilifanyika wizara ya elimu.

Siku ninapeleka fomu zangu Wizara ya Elimu, aliyezipokea aliniambia wiki inayofuata niangalie website ya TCU nitakuta nyingine bora zaidi ya ile niliyo apply.

Na hii ya pili (ambayo ndiyo niliyoipata) ni kweli fomu tuli submit TCU.

Am sorry for the mix up. #sitakidawa
Huu uzi sitotia neno mpaka nionane uso kwa uso na mdogo wangu Mentor.

Kamati ya utendaji, kwa idhini ya mwenyekiti Kaizer napenda kuwataarifu wajumbe wote tufike kikaoni kuujadili huu mswada jumamosi saa tisa kamili pale Corner bar

cc:
Preta
sweetlady
KakaKiiza
Paloma
Madame B
Mtambuzi
Filipo
badiebey
Valentina
AshaDii
King'asti
BADILI TABIA
Evelyn Salt
Blaki Womani

BCC:

Wajumbe wote wa mkutano mkuu
babu corner bar hakuna utulivu.....tufanye goba bwana.......na umemsahau Jiwe.
 
take it easy Mentor Mungu mkuu anaweza mwamini yeye na kuwa mtu wa maombi, vilevile ishi maisha yampendezayo Mungu tubia dhambi yako naye atakusamehe na kuifanya dhambi iliyonyekundu kuwa kama theruji
mkiri kwa kinywa chako na mtegemee Mungu atakutokea katika hali hiyo.

njooni mumutie moyo na kumpa ushauri bestito mwenzenu mentor
cc: Mtambuzi @Passiona Lady Lady doctor sister mwallu KakaKiiza Asprin nawengine wote
dah naona naota tu hapa.......
 
dah naona naota tu hapa.......
bestito kuna uzi mwingine kule umewekwa na NAANTOMBE MUSHI sijui kweli huyu anacheza na akili za watu maana naona kama ni stori vile ila imenishangaza kujitungia stori kwa ugonjwa ule kazi ipo aisee yaelekea kichwa chake kimedata
 
Huu uzi sitotia neno mpaka nionane uso kwa uso na mdogo wangu Mentor.

Kamati ya utendaji, kwa idhini ya mwenyekiti Kaizer napenda kuwataarifu wajumbe wote tufike kikaoni kuujadili huu mswada jumamosi saa tisa kamili pale Corner bar

cc:
Preta
sweetlady
KakaKiiza
Paloma
Madame B
Mtambuzi
Filipo
badiebey
Valentina
AshaDii
King'asti
BADILI TABIA
Evelyn Salt
Blaki Womani

BCC:

Wajumbe wote wa mkutano mkuu
aisee babu yaani mm hujaniweka katika hiyo list ya wajumbe jamani vibaya hivyo,
kukwita hapa nimekwita halafu umenisahau heee haya babu sawa
 
Back
Top Bottom