Sitaki dawa

Sitaki dawa

Kwanza kabisa inabidi ujue hiyo term 'viral load' ina maana gani,vinginevyo yatakuwa yaleyale kama vipimo vinapopima kitu kingine kabisa lakini watu wanaambiwa kwamba vinapima HIV.Ukielewa hapa itakuwa rahisi kuelewa na jibu nitakalokupa.Inabidi twende taratibu ili uelewe,hata wao waliotudanganya walitumia muda mrefu kujenga IMANI hii kwenye vichwa vyetu,vivyo hivyo ili na mimi niitoe imani hiyo kwenye vichwa vya watu inabidi niende taratibu na kwa mipango.

Ukila green food CD4 zinapanda,ukila mbegu za mlonge CD4 zinapanda,Ukipima CD4 nyakati mbalimbali za siku ie mchana na asubuhi utapata viwango tofauti bila kujali kama umepimwa HIV+ au la.CD4 zinaweza kuwa chini ya kiwango lakini mtu ukawa na afya njema sana.Hivyo CD4 ni function yenye variable nyingi sana lakini 'HIV' si mojawapo kati ya hizo variables.Unaweza ukawa na CD4 katika kiwango kinachohitajika halafu ukawa unaugua ugua pia.Immunity ni suala pana sana na complicated as far as knowledge ya wanasayansi ilipofikia kwa sasa.

Kama ukichukulia viral load kama ni wingi wa HIV kwenye damu basi hilo ni tatizo,hii ni kwasababu,kama hata huyo HIV hajawahi kuonekana kwa macho kwa kutumia hivyo vipimo vyao,sasa wanapata wapi data za viral load?Kama wanapima kitu kingine na kusema kwamba ndio viral load,basi hiki kitu kingine ndio nataka kiwe mjadala wetu sasa,maana hapa ndipo watu wanapodanganywa.

JIBU:
Swali lako liko kimantiki zaidi,hii ni kwasababu inategemea mlengwa ana matatizo gani ndani ya damu yake.Swali hili ni rahisi kulijibu kwa kutumia mfano halisi wa mlengwa.Kwa kuwa najua hata kama mlengwa ameambiwa ni HIV+ na hatatumia ARVs,kuna mambo mengine ya kufanya kwenye mwili wake ili kumfanya apime HIV- na kama nitataka CD4 zake zipande pia(ingawa sio muhimu) nina uwezo huo,ni rahisi sana,ni suala la nutrition na antioxidants kulingana na tatizo lake la msingi.Hivyo kama hakuna mfano unaoonekana,ni vigumu kujibu swali lako moja kwa moja.Vitu vingi vinaweza kufanya CD4 zipande au zishuke,lakini si 'HIV'.Ni kweli kwamba ARVs zinapandisha CD4,but is it a big deal?NO.Ni ujanja wa kisayansi tu ili kujenga IMANI kwa watumiaji wa ARVs.

Kumbuka yule mgunduzi wa huyo anayesemwa kuwa ni 'HIV' alitanabaisha kwamba,"immune system of many African people doesn't work well already,even if they are not infected with HIV".Hivyo kujua kwanini kinga ya mlengwa haiko sawa inabidi kumwona mlengwa,kujua utaratibu wake wa maisha ambao mwisho wa siku ndio uliomsababisha awe hivyo.
Mbona hueleweki kaka. Kwani HIV iko africa tu dunia nzima. Maana Europe, Asia, Australia, US kote kuna HIV na watu wanakufa..........so unaposema immune za Africans haziko sawa. what abt nchi zingine watu wanapokufa na huo ukimwi. Acha kutoposha watu. Kama unatafuta umaarufu au kupiga hela. Piga kimya kimya na Sio kupotosha watu. Na kama unatafuta watu wa kuwatibu nakushauri nenda ma hospital huko ilala, mwananyamala, muhimbili nenda kawaokoe kuna wagonjwa kibao wako desparete watakusikiliza
 
Mentor katika ubora wake nimeisoma ikanikumbusha Verrosa story........asante kwa bandiko hili nitaprint niwapatie vijana wangu......hongera sana kwa kusaidia vijana wajitambue na wasifanye makosa ambayo itakuwa ni majuto kwao milele.....
Kumbe umeona nilichokiona. Huwezi kupata habari ngumu ya hivi halafu ukawa so composed na kuandika simulizi la namna hii. Ila Mentor umeona watu wameanza kupakaziwa sasa, naamini hukulenga kuleta mtafaruku huo.
 
Akina nani hao?
 
HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?

Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Wala hujakosea kushare nasi Mentor ulichofanya ni kitendo cha kishujaa. Anaekutukana na kukudhihaki kwahili Mungu atashuhulika nae.
 
Hili andiko lako limenindosha chozi aiseeee....
Na hapa ndipo najifunza kwamba ubinadam ni mgumu sana kwa binadam....
Ama kwa hakika nimetamani hata huu uzi ufutwe kwasababu watu tunakosa utu. Ikiwa umeamua mwenyewe tena kwa utashi wako pasipo kulazimishwa na mtu yeyote kuja kutusimulia yalio kusibu ili nasi kama wadau/marafiki/kaka/dada tujifunze kupitia wewe.
Cha ajabu watu huleta ujuaji na kutonesha kidonda chako ukingali bado mwenye jeraha bichi kabisa.
Najaribu kuvaa kiatu chako aiseeee hadi naogopa
Kuna watu wamekosa utu kabisa yani. Hakuna aliemsafi ila tu wepesi sana kuhukumu na kunyoosha vidole kwa wengine as if tu watakatifu sana. Lakini hakuna shida kama Mungu aishivyo haki yao wataipata
 
Kumbe umeona nilichokiona. Huwezi kupata habari ngumu ya hivi halafu ukawa so composed na kuandika simulizi la namna hii. Ila Mentor umeona watu wameanza kupakaziwa sasa, naamini hukulenga kuleta mtafaruku huo.

tusubiri tutapata anachotaka wanajamii kujifunza......mmmhh kupakaziana tena je akijasema ni hadithi mambo yatakuwaje?
 
HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?

Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Sasa mkuu nawewe inavyosemekana ni mtu wa stori.labda hawaamini ulichokieleza hapa wanafikiri ni kama kawaida yako. By the way we wapotezee tu mkuu panga mipango yako ya baadae.
 
Mbona hueleweki kaka. Kwani HIV iko africa tu dunia nzima. Maana Europe, Asia, Australia, US kote kuna HIV na watu wanakufa..........so unaposema immune za Africans haziko sawa. what abt nchi zingine watu wanapokufa na huo ukimwi. Acha kutoposha watu. Kama unatafuta umaarufu au kupiga hela. Piga kimya kimya na Sio kupotosha watu. Na kama unatafuta watu wa kuwatibu nakushauri nenda ma hospital huko ilala, mwananyamala, muhimbili nenda kawaokoe kuna wagonjwa kibao wako desparete watakusikiliza
Mkuu huyu jamaa ni hatari sana yani anakomaa kabisa kutuaminisha kama kikombe cha babu vile.
 
Daaah....... So sad asee... Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu kwako!

Pole sana Mentor
 
Mkuu huwezi kuwa na hoja bila ya kuwa na facts. Hili la wa wazazi kuwa HIV negative na mtoto kuwa HIV positive haliwezi kutokea. Uzuri siku hizi technology inatusaidia kutafuta hivi vitu mtandaoni kirahisi na juhudi zangu mpaka sasa hivi za kutafuta uwezekano wa hili kutokea sijaambulia chochote Mkuu.

Kuna nyuzi nyingi,zingine zina page hadi 100,za deception zitafute...nazani ana hoja
 
Ikiwa hivyo itakuwa bomba sana, huu ugonjwa huwezi hata kumuombea adui yako. Watu wanaishi siku hizi tena kwa miaka mingi tu huku wakiwajibika na shughuli zao za kila siku, pamoja na hayo ugonjwa huu bado unatisha.

Tulia tu.

Soon utamuna Mnetor hapa anakuja na bonge la story jingine, na main character atakuwa ni yeye yule yule
 
Eeh mungu wangu,niepushe na huu ugonjwa mana nauogopa kupita kiasi.lakini mungu wangu ntafanya nn ikiwa mm ni mke niliyetulia kwny ndoa yngu na sielewi mwenzangu anafanya nn huko???nakutegemea ww mungu wa haki unilinde.kaka mentor pole sana jaribu kujiunga kwny club za walioathirika pengine utapaja namna nzuri ya kuishi.pole sana bro
 
Back
Top Bottom