Asante MkuuGreat attitude mdogo wangu!!!
Na si tu bado kwa sababu nilipenda au napenda zaid kama nikija kuolewa niolewe na ambaye yupo HIV+ ili tusizalishe tena maambukiz mapya coz asilimia 99% Mtoto anazaliwa bila maambukiz.Asante... Bado kwa maana bado najipanga kimaisha
Mmmmh....missing u.Great attitude mdogo wangu!!!
Hapa tu ndo napata mashaka ya kuamini hii story.. mwaka jana na mimi nili apply kupitia wizara ya elimu na walinigomea wakasema application zinafanyikia TCU.. sio kwamba umetunga mkuu? Tayari siiamini hii story... umejitahidi sana ila sehemu ndogo sana imekukamatisha...😀😀😀😀Nilifanikiwa kumaliza mapema nikatoa nakala kama walivyoelekeza; za kupeleka wizara ya elimu na za kutuma kwa barua pepe.
Heri mimi mshamba,kama hera ya mboga ninayo lakini najitembeleaga na mafuta ya mgando kwa ajili ya kujichua niwe popote pale gest,chumbani kwangu.
hii dunia ina watu wa ajabu sana.HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?
Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Braza! sikuwahi kujua kama wewe ni maarufu hivi....Na usitake dawa tu...Mwaka jana zilitoka scholarships mbili ambazo zilifadhiliwa/zote ziliitwa Commonwealth Masters Scholarships.
Iliyotoka mwanzo ilikuwa ufadhili kwa ajili ya kwenda kusoma South Africa. Hii ndiyo submission yake ilifanyika wizara ya elimu.
Siku ninapeleka fomu zangu Wizara ya Elimu, aliyezipokea aliniambia wiki inayofuata niangalie website ya TCU nitakuta nyingine bora zaidi ya ile niliyo apply.
Na hii ya pili (ambayo ndiyo niliyoipata) ni kweli fomu tuli submit TCU.
Am sorry for the mix up. #sitakidawa
umegusa miyoyo ya watu... 
Bro kama una nia ya kusaidia wenzako basi walau fungua thread nyingine uweke list ya wadada walio enjoy upanga wako ukatao kuwiliMwaka jana zilitoka scholarships mbili ambazo zilifadhiliwa/zote ziliitwa Commonwealth Masters Scholarships.
Iliyotoka mwanzo ilikuwa ufadhili kwa ajili ya kwenda kusoma South Africa. Hii ndiyo submission yake ilifanyika wizara ya elimu.
Siku ninapeleka fomu zangu Wizara ya Elimu, aliyezipokea aliniambia wiki inayofuata niangalie website ya TCU nitakuta nyingine bora zaidi ya ile niliyo apply.
Na hii ya pili (ambayo ndiyo niliyoipata) ni kweli fomu tuli submit TCU.
Am sorry for the mix up. #sitakidawa
Sasa kama uli apply hiyo ya South Africa pale wizara ya elimu how come kwenye story yako nimekutana na hii statement?... "Nilipewa majibu kuwa nimechaguliwa pamoja na wenzangu wawili kwenda Uingereza....."Mwaka jana zilitoka scholarships mbili ambazo zilifadhiliwa/zote ziliitwa Commonwealth Masters Scholarships.