Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
That story will keep making a donkey outta many people, straighten up a few lifestyles, and ruin some lives.
Wewe nakufahamu in MTU wa kukurupuka. No second thought.Labda sikueleweka vizuri,nilimaanisha uzi ule ndio umechukua muda wangu mwingi humu.
Kwa jinsi nilivyo...mimi sio mtu wa kukaa takribani siku 3 nikideal na thread 1 tu.
Mimi ni mtu ambaye huchangia kwa wingi sana katika posts mbalimbali.
Ukiangalia kwa umakini...ni jana usiku ndio nimechangia threads nyingine...
Sio case anyway...take it or leave it.
Naomba unipe sikio kiduchu....Sasa wewe uliamini aliposema hataki dawa kabsaaa!!! Na amekataa kwenda kusoma kwa sababu ukimwi, labda kama afya yake ilikuwa na matatzo mengine kama ebola nk.
....and to make matters worse, alipokosolewa amekuja na posts za kujitetea, jinsi alivyofanya application huko TCU na wizarani. Why would he do that? Who is he trying to impress? Kwangu haikubaliki kabisa kujivalisha uhusika wa vitu serious na kuaminisha watu kiasi hiki.My brother, una haki ya kuwa na huo mtazamo. Nilikuwa nafikiria hivyo pia kabla ya ile thread yake. Obviously, he is not that intelligent as I wrongly thought. Sad! Soma comment yangu #57 kwenye huu uzi wa Naantombe Mushi.
Huu uzi wa Mentor utasemewa kila aina aina ya ushuhuda na maneno ya kila rangi.Kuna kikundi cha watu kinajaribu kuwachezea wenzao akili, their aim is to tyrannize JF members. They have not done it once but many times. Baada ya Mentor kuweka bandika lake wakaja na orodha ya wahanga wa Mentor. I know them and when the time comes I will divulge. X, X and X, I know the game you are playing.
....and to make matters worse, alipokosolewa amekuja na posts za kujitetea, jinsi alivyofanya application huko TCU na wizarani. Why would he do that? Who is he trying to impress? Kwangu haikubaliki kabisa kujivalisha uhusika wa vitu serious na kuaminisha watu kiasi hiki.
ZIPI HIZO?Invisible MULTIPLE ID HIZI UTUONDOLEE WAPUUZI
Nami nimepanga nikamuone soon nitakapo rejea kutoka shama, ili anieleze undani wa sakata hili aiseeeeMentor ndiye mwenye majibu so nyie pigeni tarariraaaaaaaa ila yy ndio ajuaye, isitoshe ni best angu ntaenda kwake jioni ntaleta majibu hapa
well me naona ni EPIC FAIL. UPOTOSHAJI zaidi ya elimu. nasikia ana story nyingi za hivi. inaonekana hana uelewa na HIV au ni mnyanyapaa tu.hata mim nilielewa kaleta ELIMU ya ukimwi kiujanja il watu waache ngono zembe,,,,,,,
Ni kweli kuna uwezekano mkubwa sana kuwa hii ni fiction. Ukisoma comment yangu ndefu kwenye ule uzi wake Mentor utaona kuwa nilionyesha mashaka yangu kuhusu ukweli wa habari yake. Nilitoa mfano wa Diagnosis iliyokuwa documented kwenye ile form yake haikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na HIV/AIDS.
Hata hivyo, niliendelea kumpa ushauri kwa kumpa benefit of doubt.
Nafikiri nifupishe tu maelezo yangu kuwa kama kweli ile ni story ya kutunga, then amefanya kosa kubwa sana. He is very misinformed. Huyu Jamaa ni miongoni mwa watu ambao nimekuwa nikiwaona wanajitambua hapa JF. Nilimheshimu. Kwa hili, I repeat, kama ni utunzi, then nimemdharau sana. Intelligent people hawafanyi makosa ya kijinga kama hayo. Lakini kama ni mtu muelewa huwezi kutumia HIV/AIDS kama uchochoro wako wa kutokea. Alitakiwa ajue kuwa UKIMWI ni ugonjwa ambao bado global community ina-struggle kuondoa tatizo la unyanyapaa na ubaguzi kwa watu wanaoishi na VVU. Obviously, ana ufahamu mdogo na hakujishughulisha kufanya homework ili asipotoshe watu.
Mentor atakuwa ni mbaguzi kwa PLHA. Iko obvious na it seems that has subconsciously motivated him kuja na aina ile ya uzi.
If indeed he was playing with people's minds, then anatakiwa aombe msamaha. With his writing, amefanikiwa kuumiza hisia za watu, ikiwa ni pamoja na wale ambao tayari wanaishi na VVU. Kimsingi ni pigo kwenye mapambano ya UKIMWI. It is a disincentive!!
Naweka full stop hapa kwa kuomba kuwa wakuu tuweni makini na tunzi zetu. Tuwe tunafikiria nje ya box. Hata kams wakati mwingine nia zetu ni kufurahisha watu, basi tijitahidi tu tunzi zetu ziwe constructive na sio destructive.
Cheers!!!
We nae unatetea kuZin pekupeku?? kajarbu uone ndan y sekunde unatoweka dunian,,,,, hapa angekuja na styl vijana achen ngono kuna ukimwi angepondwa na matusi juu nakuambiw anajifanya baba paroko,,,, lakn coz anaelew vichwa vy digtal ndo maana kapost kimtindo,,,,, SHIGONGO amtafte aisee.well me naona ni EPIC FAIL. UPOTOSHAJI zaidi ya elimu. nasikia ana story nyingi za hivi. inaonekana hana uelewa na HIV au ni mnyanyapaa tu.
elimu ya hivi labda ingetolewa miaka 20 nyuma. yani ni upotoshaji kama Mtu alikuwa ashaanza kukubali hali yake akamsoma huyu "mtunzi" basi ni anamuharibu tu.
HIV haiambukizwi kwa ngono pekee na si wote walioambukizwa kwa ngono walifanya ngono zembe. tena maambukizi mengi huku Africa yapo kwa wanandoa zaidi. fikiria mama aliyeambukizwa kwa starehe za limume lake.
huyu kaeleza vizuri.
wewe unajihusisha zaidi na watu ambao hawajaambukizwa wakati mimi naRelate na watu walioambukizwa.We nae unatetea kuZin pekupeku?? kajarbu uone ndan y sekunde unatoweka dunian,,,,, hapa angekuja na styl vijana achen ngono kuna ukimwi angepondwa na matusi juu nakuambiw anajifanya baba paroko,,,, lakn coz anaelew vichwa vy digtal ndo maana kapost kimtindo,,,,, SHIGONGO amtafte aisee.
mm nitakuwa wa mwisho kutoka wewe ili tuendeleze stori hiyo hahahaaaanimeshaanza kuzihesabu...
nahisi nitakuwa wa mwisho kuupandisha uzi
mbona unamshaangaa bwana mkubwa Mentor kafanya yake jf si mchezo aisee
upo utofauti mkuu galadudu humwezi kwa vimbwanga vyake na huyu mentor ndo kiboko yakeHivi kuna tofauti gani kati ya Mentor na General Galadudu?
umeamua umquote sms zake zote kuonesha kuwa anasema uongo kuwa ajacomment chochote asante mkuu umefanya vyema
Hahahahaahaaa labda hawajui hadithi zakeMbona sio thread ya kwana kuandika hivyo. Hadithi zake zote huwa na anavaa uhusika na zote huhusu HIV. Sema tofauti hiyo ni kwamba inaumiza sana.
Zote zinashabihiana iweje leo atuhumiwe.
aisee hadithi zingine shida yaani unajitungia hadithi ya namna hiyo kweli ipo kazi kwenye ufahamuwake inaelekea mentor ameshadata aisee ipo kaziHahahaah hata yale majina ya wale mabinti aliyoyataja, ingekua Kweli Asingeweza kuweka details za wazi kiasi kile! Hahahaha Mentor nani anakumbuka shairi lake la inside verossa? Hahha watu walifungua nyuzi kumpinga but it was the best