data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,885
Hahaaaa...... Mentor ndo huyu Naantombeee....mbona mentor haji kujibu hoja huku?
Hahahaaaa.... JF..!!!!!
Hahaaaa...... Mentor ndo huyu Naantombeee....mbona mentor haji kujibu hoja huku?
Atakuwa bonge la kiazi. Huwezi kutafuta kick kwa ugonjwa kama AIDS bwana, si angetumia uhusika mwingine tu, tungemuelewa. Kama ni kick basi jamaa ni kiazi.
@EvelynSalt huyooo.... Jf ukiijua hupati shidaKuna kikundi cha watu kinajaribu kuwachezea wenzao akili, their aim is to tyrannize JF members. They have not done it once but many times. Baada ya Mentor kuweka bandika lake wakaja na orodha ya wahanga wa Mentor. I know them and when the time comes I will divulge. X, X and X, I know the game you are playing.
unamaanisha ni mtu mmoja mkuu??Hahaaaa...... Mentor ndo huyu Naantombeee....
Hahahaaaa.... JF..!!!!!
Eti Nifah , ni kweli una siku ya tatu hujaweza kuchangia kitu huku?
Nina uhakika... Soma vizuri Uzi huu.. Ni yeye mwenyewe anajijibu na ana feel guilty kwa ujinga alofanya.unamaanisha ni mtu mmoja mkuu??
Mbona sio thread ya kwana kuandika hivyo. Hadithi zake zote huwa na anavaa uhusika na zote huhusu HIV. Sema tofauti hiyo ni kwamba inaumiza sana.
Zote zinashabihiana iweje leo atuhumiwe.
Mentor..... I love this guy, very intelligent and talented story teller
Kaisome post yake #340 ktk Uzi wake sitaki dawa . kajishtukia mwenyewe akaja na Uzi huu. Shame.Daaah!kajua kucheza na akili za watu
Na kaipata haswaMentor alikuwa anatafta kiki

Labda sikueleweka vizuri,nilimaanisha uzi ule ndio umechukua muda wangu mwingi humu.Eti Nifah , ni kweli una siku ya tatu hujaweza kuchangia kitu huku?
so ana tungo nyingine za aina hii?Mbona sio thread ya kwana kuandika hivyo. Hadithi zake zote huwa na anavaa uhusika na zote huhusu HIV. Sema tofauti hiyo ni kwamba inaumiza sana.
Zote zinashabihiana iweje leo atuhumiwe.
Kuna kikundi cha watu kinajaribu kuwachezea wenzao akili, their aim is to tyrannize JF members. They have not done it once but many times. Baada ya Mentor kuweka bandika lake wakaja na orodha ya wahanga wa Mentor. I know them and when the time comes I will divulge. X, X and X, I know the game you are playing.