Sasa na nyie si mtunge hadithi nyingine inayopinga unyanyapaa kwa kuwa mna ufahamu mkubwa zaidi?
kwani hataki CRITICISM? Akija mtunzi anayetetea mapenzi ya jinsia moja msianze oohh apigwe marufuku, anatuharibia vijana. mtunzi alijua art ina nguvu, kajaribu kadri ya uwezo wake. but what's the point kama inaharibu zaidi ya kusaidia?
Mwandishi kaamua kuonyesha kasumba iliyopo kwenye jamii pamoja na ufahamu mdogo au potofu kuhusu HIV.
well next time he writes about serious issues he should be better informed if at all what he really wants is to help people.
Mwandishi anaweza kuwa anajua yote hayo mnayosema hapa ila kwa sababu zake akaamua kuchagua theme moja kwa lengo fulani.
maybe. again what's the point if it does more harm than good.
yani katika chovya chovya yoote hajawahi hata kupata genital warts? gono? alilipia abortions ngapi?
angefast forward mbele aonyeshe alivyoepuka misala yot mwishowe kamuambukiza mkewe HPV kapata cancer ya kizazi.
tena mijanaume ya huku inavyoteteaga michepuko, angeandika kuwa amemuambukiza mkewe HIV baada ya kucheouka MARA MOJA TU ingesaidia zaidi.
kasaidiaje wasomaji walioathirika (tena wengine wakiambukizwa na watu waliowaamini) zaidi ya kuwakumbusha kuwa they're broken.
kasaidiaje kupigana na unyanyapaa zaidi ya kuweka msisitizo kuwa hili gonjwa ukipata umeisha.
yani me nilichoona ni dont have random sex you'll get HIV and die!
Tukiichukulia hii hadithi kama fasihi, tutachambua fasihi (kioo cha jamii) badala ya kumchambua mwandishi. Tuchambue hadithi.
well I got curious about this guy nilipoona mtu kasema ana story za HIV za hivi.
Tukumbuke pia anachoandika mwandishi kinakuwa limited na ufahamu wake, uzoefu wake, lengo lake pamoja na contextual variables zingine. Hana udhibiti juu ya mwitikio wa hadhira yake. Kila mtu ataipokea na kuitafsiri kulingana na imani yake, mtazamo wake na uzoefu wake. *Hadhira ni audience.
OFCOURSE. na huo ndo mtazamo wangu.
overall he is a good writer. naona alivyokamata wengi.