rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,715
Ngoja na mimi nije na ya kisonono, ili nipendwe
Ha ha haaa utakua maarufu hatari
Ngoja na mimi nije na ya kisonono, ili nipendwe
Itashangaza aiseeee...
Tena kwa jambo zito kama Maradhi...
Nipo bibi,Teh! missing you babu upo?,
Nipo bibi,
Nahangaika tu kama gia ya gari bovu 1 haikai 2 haiendi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uzee unanihangaisha kama kuku anae taka kutaga
Wazo zuriHivi kuna tofauti gani kati ya Mentor na General Galadudu?
Mnakumbuka hadithi moja ya kijana aliyekwenda chunga mbuzi halafu baadae akawa analia mbweha! The third time they didn't take him serious
he got eaten by wolves
Inashangaza sana aiseee....![]()
![]()
Kiki ya kujitakia balaa..![]()
![]()
Hivi inawezekana kweli kwa mtu kama Mentor kuleta uzi ambao unaogofya kiasi kile, eti kwakua anataka KIKI..!!?
Ebu ngoja niishie hapa aiseeee
Sasa wewe uliamini aliposema hataki dawa kabsaaa!!! Na amekataa kwenda kusoma kwa sababu ukimwi, labda kama afya yake ilikuwa na matatzo mengine kama ebola nk.Mkuu,
Ebu tufumbue macho nasisi tuzijue hizo unazo ziita sehem nyingi alizo jichanganya aiseeee...
Na unapo msemea mtu kama Mentor kutokua na ujasiri wa kusema ukweli wa kilicho msibu, hapa napata mashaka kidogo.
Kimsingi UKIMWI ni ungonjwa unao ogofya pasipo kujalisha umri, uwezo na jinsia. Hivyo kama nikweli lazima jamaa alipata mshtuko.
Na kuhusu kuleta issue yake hapa jamvini, bado naweza nikasema ni kitendo cha kijasiri tu.
Na kaipata kweli...
Siku ya 3 leo nashindwa hata kuchangia chochote humu...narudia tu kusoma 'SITAKI DAWA'!
Atakuwa bonge la kiazi. Huwezi kutafuta kick kwa ugonjwa kama AIDS bwana, si angetumia uhusika mwingine tu, tungemuelewa. Kama ni kick basi jamaa ni kiazi.
Nimeitwa na bibi yako mpya wa hapa jf ambae haumjui![]()
![]()
Nimeimisi hii story ya ndugu yangu Mentor ambayo aliitoa tarehe 25/6/2016 kwa sababu nilikuwa kwenye majukumu mazito ya kumwagilia shamba la mapenzi. Ni hivi sasa nimepata kuisoma hii hadithi ambayo bwana Mentor kwa ustadi mkubwa ameweza kuudhihirishia umma kwamba amehathirika na ugonjwa UKIMWI.
Sijapitia comment zote maana zipo takribani 300 kuweza kudadavua kama kuna mtu aliweza kushtukia detail moja ndogo ambayo ina falsify story nzima na kuifanya kuwa ni ya uongo. Kuna sentensi kwenye story hii imeandikwa ........ "Nilifanikiwa kumaliza mapema nikatoa nakala kama walivyoelekeza; za kupeleka wizara ya elimu na za kutuma kwa barua pepe....."
Unless kama amekosea kuandika ila nimefanya confirmation na mtu wa pale wizarani na pasi na shaka amenithibitishia kabisa kwamba commonwealth scholarship zilizoombwa mwaka jana hazikupokelewa na wizara ya elimu. Hiyo tu inatosha kuifanya story hii kuwa fraud ya aina yake ambayo imetolewa kwa weledi mkubwa.
Lakini mimi binafsi sikutegemea kabisa kama bwana Mentor ambaye ni kati ya watu wenye upeo mkubwa kabisa, alishindwa vipi kudadafua ukweli wa hiyo sentensi hapo juu mpaka ije kumuumbua?
Lengo la thread yangu: Kwanza kabisa story yenyewe inasikitisha sana na najua wana JF wengi wamesikitika. Hivo basi kwa kuwa nimeweza kui falsify hii story ya Mentor napenda sasa kuchukua nafasi hii kuwaambia kwamba " Hii story ni ya uongo na ndugu yetu Mentor bado tunaye, mzima wa afya tele"....... Na wote tuseme Amen.... Mentor ni mzima na haitaji dawa kama kichwa cha thread yake kinavosema....