DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Naona victims wa kamanda mentor bado wako kwenye denial stage....dawa ya sitaki dawa ni kwenda kupima tu, si kufungua thread za kujifariji
Nashukuru kusikia ni story tu.
Sikumuamini kivile ndio maana
Nika muuliza Kama story yake ni ya kweli
ama La. Hakunijibu.
Nahisi alicomment huku machozi yanamlengalengaMi nilisoma nikachangia kimoyomoyo, ila Heaven Sent yeye aliishia kuhuzunika tu 'maskini Mentor'
mentor coming with another ID to falsefy his own story
Ngoja na mimi nije na ya kisonono, ili nipendweNimekupenda san mentor umefanikiwa kuuteka moyo wangu aiseee niliumia mnoo
Ahahah, had to Laugh Out Loud.Ngoja na mimi nije na ya kisonono, ili nipendwe
Itashangaza aiseeee...ukimwi ufanyie matangazo jukwaani ha ha ha aa
nimeshaanza kuzihesabu...
nahisi nitakuwa wa mwisho kuupandisha uzi

Naona victims wa kamanda mentor bado wako kwenye denial stage....dawa ya sitaki dawa ni kwenda kupima tu, si kufungua thread za kujifariji

Mkuu.....Ngoja na mimi nije na ya kisonono, ili nipendwe
, kisa ame share masahibu yalomkutaMkuu,Ni sehemu nyingi tu alichanganya mambo, ukimwi kwa sasa si issue kubwa hadi izuie maendeleo yako, labda uwe choka mbaya lakni kwa mtu ka mentor kama alivojitanabaisha sidhani kama angeleta huo uzi hapa.