kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,830
mambo ....Hujaenda bado?
ndiyo nimeelewa sasa about the question u asked me that day!! ha ha ha ha....
mambo ....Hujaenda bado?
Ha ha haaa.... Shhhhhhhmambo ....
ndiyo nimeelewa sasa about the question u asked me that day!! ha ha ha ha....
Mmh,
Mimi sioni kama ameleta kurudisha nyuma mpambaji dhidi ya ukimwi basi amesaidia BCC kwa kiasi kubwa!
Hivi kama amedanganya yule alotoa shuhuda anajisikiaje maana alidhani anampa moyo mgonjwa mwenzie walau asikate tamaa alafu imekua hivi labda nayo iwe multipl id
So Sad. Naomba asijihisi aibu awe na amani kama alivyoweza kuwa nayo wakati anampa moyo.Great observation mkuu. Hiyo ni moja ya points (in big picture) muhimu ambazo baadhi ya watu wamekuwa wakizimiss hapa. He failed on this one...he failed big time the fight against unyanyapaa and hence the overall fight against HIV/AIDS !!
hahahaaaa........ mtani umenichekesha sana leo. Yaani hii yote ni kwa sababu uliamini, ukahuzunika na kumfariji na sasa unaona umefanywa mjinga. Take it easy.....and to make matters worse, alipokosolewa amekuja na posts za kujitetea, jinsi alivyofanya application huko TCU na wizarani. Why would he do that? Who is he trying to impress? Kwangu haikubaliki kabisa kujivalisha uhusika wa vitu serious na kuaminisha watu kiasi hiki.
Jamani Mentor is one of the most famous, intelligent and talented guys here. Atafute umaarufu zaidi ya nani wakati hana mpinzani? Tukubali tu kuwa katukamata basi. Watu wazima hawapendi kujiona au kufanywa wajinga.BEST WENGINE WAKITAFUTA FAMOUS LAZIMA WATUMIE MBINU MBALIMBALI NDO KAMA HIYO HUYU DOGO
ILA AMENISHANGAZA SANA SIKUTEGEMEA KAMA MENTOR ANGEWEZA KUFANYA HIVI ALIVYOFANYA
Kama ni hadithi basi sawa ila daah! Wengi tulikosa raha baada ya kusoma,na kama si kweli basi nimekoma kufatilia hadithi za namna hii. Wenye machozi ya karibu tuliyatoa ila anyway yeye ndio mwenye ukweli lakiniJamani Mentor is one of the most famous, intelligent and talented guys here. Atafute umaarufu zaidi ya nani wakati hana mpinzani? Tukubali tu kuwa katukamata basi. Watu wazima hawapendi kujiona au kufanywa wajinga.
Sasa na nyie si mtunge hadithi nyingine inayopinga unyanyapaa kwa kuwa mna ufahamu mkubwa zaidi? Mwandishi kaamua kuonyesha kasumba iliyopo kwenye jamii pamoja na ufahamu mdogo au potofu kuhusu HIV. Mwandishi anaweza kuwa anajua yote hayo mnayosema hapa ila kwa sababu zake akaamua kuchagua theme moja kwa lengo fulani. Tukiichukulia hii hadithi kama fasihi, tutachambua fasihi (kioo cha jamii) badala ya kumchambua mwandishi. Tuchambue hadithi. Tukumbuke pia anachoandika mwandishi kinakuwa limited na ufahamu wake, uzoefu wake, lengo lake pamoja na contextual variables zingine. Hana udhibiti juu ya mwitikio wa hadhira yake. Kila mtu ataipokea na kuitafsiri kulingana na imani yake, mtazamo wake na uzoefu wake. *Hadhira ni audience.well me naona ni EPIC FAIL. UPOTOSHAJI zaidi ya elimu. nasikia ana story nyingi za hivi. inaonekana hana uelewa na HIV au ni mnyanyapaa tu.
elimu ya hivi labda ingetolewa miaka 20 nyuma. yani ni upotoshaji kama Mtu alikuwa ashaanza kukubali hali yake akamsoma huyu "mtunzi" basi ni anamuharibu tu.
HIV haiambukizwi kwa ngono pekee na si wote walioambukizwa kwa ngono walifanya ngono zembe. tena maambukizi mengi huku Africa yapo kwa wanandoa zaidi. fikiria mama aliyeambukizwa kwa starehe za limume lake.
huyu kaeleza vizuri.
Kama ni hadithi basi sawa ila daah! Wengi tulikosa raha baada ya kusoma,na kama si kweli basi nimekoma kufatilia hadithi za namna hii. Wenye machozi ya karibu tuliyatoa ila anyway yeye ndio mwenye ukweli lakini
Hahahaaa.... hujawahi kuangalia tamthiliya ukalia na kutokea kumchukia muigizaji fulani au kumpenda mwingine? Inatokana na jinsi wanavyogusa hisia zako.Kama ni hadithi basi sawa ila daah! Wengi tulikosa raha baada ya kusoma,na kama si kweli basi nimekoma kufatilia hadithi za namna hii. Wenye machozi ya karibu tuliyatoa ila anyway yeye ndio mwenye ukweli lakini
Ahahahahahahaa Baba mmoja mama mmoja matumbo mbali mbaliHivi kuna tofauti gani kati ya Mentor na General Galadudu?
Lakini wewe Valentina...ni nini hasa kilichokufanya uamini mazima kuwa kweli jamaa hicho kisa kinamhusu yeye?
Mbona sisi wengine tuliposoma tu tukahisi harufu ya chumvi, paprika, binzari, vitunguu saumu, pilipili, na kila aina ya vikolezo?
Wewe ulishindwa nini?
Hahahaaa.... hujawahi kuangalia tamthiliya ukalia na kutokea kumchukia muigizaji fulani au kumpenda mwingine? Inatokana na jinsi wanavyogusa hisia zako.

Mtani mimi sikuamini, nilikuwa mguu nje ndani...teh teh! Wazungu wanasema, be careful what you wish for...'hadisi' zingine sizo bwana.hahahaaaa........ mtani umenichekesha sana leo. Yaani hii yote ni kwa sababu uliamini, ukahuzunika na kumfariji na sasa unaona umefanywa mjinga. Take it easy.
mxiiiuw