The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
mtu ambae hawezi kukusaliti kirahisi ni mama yako mzazi au mtoto wako wa kumzaa,ila kwenye mapenzi,mume au mke anaweza kukugeuka saa yoyote coz si ndugu yako wala si damu moja hawezi kukuonea huruma
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Nilishaamua..sitasoma message wala kupokea simu inayopigwa kwa mume wangu.....nilishaamua....sitamuuliza kwa mini kachelewa kurudi..nilishaamua....akienda safari namtakia kila la kheri na wala simsumbui kwa masimu huko aliko...tutasalimiana na kama kawaida.....nilishaamua....yeye na Mimi kupima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu...iwapo mmoja wetu akikataa mapenzi hayatafanyika bila condom......tulishaamua...ya mini kupata pressure za kijinga......?
Wana watoto?Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
wanawake huvumilia sana
huweka mengi mioyoni mwao
ila siku mwanamke akichoka na kuamua lolote liwe,'hakuna rangi mtaacha ona'
Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake
Usitafute dirisha la kutokea, tokea mlangoni. Neno mwanamke kama lilivyotumika hapa linamwepusha mama, dada, shangazi na wanawake wengine wa karibu. Lina maanisha wale tunaoweza kufanya nao urafiki. Hao wapo tu bila kuambatana na imani. Mama mzazi hawezi katu akamfunga mwanaye, dada pia sio rahisi kufikiria kumuweka ndani kaka yake. Kwa mktadha huo kuwaunganisha hao na tukio hili ni kujaribu kutokea dirishani. Wake zetu ambao tuko tayari kuachana na ndugu zetu wote kwa ajili yao ndiyo tunaowazungumzia hapa. Tuwapende tu lakini sio watu wema sana kwetu. Wanaweza kufanya jambo lolote tena hawakumbuki fadhira za jana
Wanawake ni watu ila sio binadamu
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
A woman's heart is like an ocean.....full of secrets and plenty of things hidden..... ukiwa na mwanamke ambae yuko in love with another man.....anything can happen....
Subir,Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Unamwamini mke wa baba yako! Dunia mviringo, na yai na kuku haijulikani kilianza kipi? Khah!nafikiri baba yako alisahau kukwambia kuwa mkeo si ndugu yako, na mtume paulo alituambia tuishi na wake zetu KWA AKILI. mama yako mzazi ndio unaweza kumuamini.
Maumivu mnayowapa wake zenu pindi mchepukapo unafikiri yanajenga nini katika moyo wa mwanamke?